Fair Game Katika Mahusiano!!!!!!!! Kuwepo Rules na Guidelines!!!!!!

hahahah ila nakumbuka uliniquote kwa bold!!! hapo ndo ishu ilipoanzia...wanapingana na ukweli...eti prostitute ni yule wa kona bar wengine aaahhh..swali ni je huduma atoayo wa kona bar hao walo decent hawatoi??? au ishu ni location ya business na type ya customers....

namna wanavyoendesha biashara yao tu ,nahisi ndiyo tatizo
 
Ticha umetishaaa... Ciello njoo umuone ticha na enzi zetu zileee..
Mapenzi yalikuwa yale bwana..kitu barua kutoka weruweru inasomwa assemble..unalala unaisoma ucku mzima..lolest!!

wee enzi hizo blues za judy b basi mnkumbatiana hadi mnalala kifuani ama doly p basi tulikuwa tunaita kubembea lolest!
ilikuwa raha sana sana. mkumbato tu labda na kiss ila utakumbuka mwaka mzima na miaka yote unajua nina bf sehem lol!
 
Last edited by a moderator:
ok kumbe ishu ni namna ya kudo business...ukiwa na single customer daily ambaye ana pata menyu sehemu nyingine wherever he fills like..its not prost...bt ukiwa unahudumia different customers daily akiwemo wa yule decent ndo prost!!! the world is nt fair...
namna wanavyoendesha biashara yao tu ,nahisi ndiyo tatizo
 
hahahahah ticha ametishaaaaa....
Ticha umetishaaa... Ciello njoo umuone ticha na enzi zetu zileee..
Mapenzi yalikuwa yale bwana..kitu barua kutoka weruweru inasomwa assemble..unalala unaisoma ucku mzima..lolest!!
 
Ticha umetishaaa... Ciello njoo umuone ticha na enzi zetu zileee..
Mapenzi yalikuwa yale bwana..kitu barua kutoka weruweru inasomwa assemble..unalala unaisoma ucku mzima..lolest!!

hhhhhahahha! tena ilikuwa ujiko kusomwa asembly barua halafu unakuta ni ya bf lol! hivi wajua card tulikuwa tunazipataje ili tuwatumie?/
tulikuwa tunatuma wagonjwa waliokuwa wanakwenda mjini kwaaajili ya kutibiwa basi ananunua kadi za love miss you lol! poket money yote unaimalizia kwa mtu ambaye humuoni zadi ya barua tu na kadi na tulikuwa tunaiman kweli na yale mapenzi.

imagine mtu yuko o school wewe uko weruweru anaish labda dar wewe unaish mosh lkn mnakuwa friends na siku ya disco unaomba ifike manake akija siku hiyo ni gud time uspime. mnastorisha mnacheza blues hadi unachanganyikiwa ila sijui ilikuje hatukuweza kabisa kuvuana chupi zaid ya kiss tu. ingawa disco lilikuwa linachezwa usiku.
 
ilboru o'level
duh! nipe shkamoo yangu a-level weruweru

Nilkuwepo old...wewe ndo yule alikuwa na 'aibu' saaana??

hahahahah! enzi hizo aibu ilikuwa ndo sifa ya kike. unakumbuka pale ambapo mnatakiwa kufungua disco?? ilikuwaje?? eti mkaka anasimamishwa anakwenda kumpik mdada lol! basi kama ndo bf wako lazima aje kwako kukupik eti anakubusu anakupeleka kwenye dancing floor mnacheza unabembeeeeaaaaaaa hadi stress zote zinaondoka lol!

asbh mkiondoka ama tukiondoka ndo nanga inapaa na madesa lol!
 
Enzi zimepita mwalimu..nadhani na teknolojia nayo ilikuwa tatizo (ila pia some guys mbona walikuwa wanazivua tu pichu)
Unadhani kungekuwa na facebook/JF ..ingekuwaje?
Au kungekuwa na mobile?....watu ni wale wale na dini ni zile zile, makabila na mila zile zile..sema maendeleo yameleta mabadiliko makubwa kiasi cha kuathiri hadi mahusiano/mapenzi...........siwalaumu sana dot.com ila nawaonea huruma!!

hhhhhahahha! tena ilikuwa ujiko kusomwa asembly barua halafu unakuta ni ya bf lol! hivi wajua card tulikuwa tunazipataje ili tuwatumie?/
tulikuwa tunatuma wagonjwa waliokuwa wanakwenda mjini kwaaajili ya kutibiwa basi ananunua kadi za love miss you lol! poket money yote unaimalizia kwa mtu ambaye humuoni zadi ya barua tu na kadi na tulikuwa tunaiman kweli na yale mapenzi.

imagine mtu yuko o school wewe uko weruweru anaish labda dar wewe unaish mosh lkn mnakuwa friends na siku ya disco unaomba ifike manake akija siku hiyo ni gud time uspime. mnastorisha mnacheza blues hadi unachanganyikiwa ila sijui ilikuje hatukuweza kabisa kuvuana chupi zaid ya kiss tu. ingawa disco lilikuwa linachezwa usiku.
 
hahahahh ticha bana...mie pia nimecheza sana disco secondari na hatukuwahi vuana pichu kabisa....ila hali ya sasa imebadilika, ni vigumu mambo yaende kwa mtazamo uusemao wewe....otherws mtu utajikuta out of place aseee..ni lazima tuaccept changes na tudil nazo no matter wat....

ha ha ha ha ha! si unazipata nyingi sana shuleni hizo ticha! 98 ilboru tulienda ashira na weruweru mara 1,sijui nilikuona vile.

baada ya hapo nikatinga old moshi advance ,wadogo zako uliowaacha wanaweza kukusimulia story zangu hapo weruweru
 
haya bana ila maisha ya wakati ule yalikuwa na raha sana
 
haya bana ila maisha ya wakati ule yalikuwa na raha sana[/QUOTE said:
sana ,huwezi kuamini tulikuwa tunazunguka weruweru ,ashira ,kibosho ,machame n.k kuanzia disco mpaka graduation tupo tunakodisha na hiace kabisa.........miaka yetu machame na kibosho ndiyo walikuwa na bifu juu yetu old ,hlf old na umbwe tulikuwa na bifu kuhusu watoto wa machame.
vipi nyie miaka yenu?
 
hahahahh ticha bana...mie pia nimecheza sana disco secondari na hatukuwahi vuana pichu kabisa....ila hali ya sasa imebadilika, ni vigumu mambo yaende kwa mtazamo uusemao wewe....otherws mtu utajikuta out of place aseee..ni lazima tuaccept changes na tudil nazo no matter wat....

Dogo mbona unaingilia mada ya kiutu uzima!!!!!!!! Unatukata STIMU bwanaaa! Wenzio tunacheki LA MUJER DE MIVIDA!!!!!! Swali ni jeee SnowBall atamla Tichaa @Gifonwin!!!!! Au ataamua kumla Lisa kama ilivokuwa planned!
 
Last edited by a moderator:
Na mimi ngoja nilete stori za Kuchu kuchu Hotae za Aghakan Mzizima!!!!!!!!! Hahahaaaaaa! Shuke ushahidi picha lote mtaani tu! Asubuhi kuhadisiana yaliyojiri jioni!

Never kumpeleka mwanangu boarding! Ni kumnyima maraha ya dunia tu!
 
Mtoto mpana wewe.....lolz
Wewe unadhani ticha anatafunika?...tulimshindwa enzi za old ndo ije kuwa sasaivi?

Dogo mbona unaingilia mada ya kiutu uzima!!!!!!!! Unatukata STIMU bwanaaa! Wenzio tunacheki LA MUJER DE MIVIDA!!!!!! Swali ni jeee SnowBall atamla Tichaa @Gifonwin!!!!! Au ataamua kumla Lisa kama ilivokuwa planned!
 
Naenda church nikirudi humu Nakinukishaa kama sio Kulichokozaa! naanzisha mada ya 2012 MMU SEXIEST BACHELORS!!!!!!!! Na vigezo vyao! Nani na nani watakuwemo?????? Usikose kesho chrissmass hakuna kulala humu!

BWANA AWE NANYI!!!!!!!!
 
hahahahah ticha lazima aliweeee..chezeya kukumbushwa mabo ya la mujer....hahahahah. Lisa kizugio tu cha kumnasa ticha....
Dogo mbona unaingilia mada ya kiutu uzima!!!!!!!! Unatukata STIMU bwanaaa! Wenzio tunacheki LA MUJER DE MIVIDA!!!!!! Swali ni jeee SnowBall atamla Tichaa @Gifonwin!!!!! Au ataamua kumla Lisa kama ilivokuwa planned!
 
Last edited by a moderator:
hahahah niombeee..lol

Back
Top Bottom