Fair Game Katika Mahusiano!!!!!!!! Kuwepo Rules na Guidelines!!!!!!

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Posts
15,700
Reaction score
29,210
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!!!!!!

Peopleeeeeeeeeeeeesss!!!!!!!!!!!! (Salam ndo inamalizia mwaka)

Leo nikiwa safarini bana nimekutana na wakuja flani hivi! Basi kaanza michakato ya kuomba chance! Kikubwa ni sound zake ndo haswaa zimenileta kuanzisha thread! Alikuwa very open! Like a book! Kasema black n white! Yuko interested na mimi, katoa wasifu wake ikazi, maisha na vingne! Ila akasisitiza yeye yuko interested kupeana good times na kupiga game za kirafiki! Kafunguka kuwa yeye hana mpango wa kuoa leo wala kesho so ni bora nikajua what im getting into!!!!! Khaaaaaaa! Pia kadai kuwa nikiwa nae ni kuspend quality time mwanzo mwisho! Hakuna ahadi ahadi za uongo wa kuoana au kutambulishana kwa wazazi! Ni just two adults having good times! Kama nipo tayari nimbeep! Nikapewa na business card! Khaaaaaaaaa! Kwenda na wakati huku!!!!!! Ila nimependa hii design mpya ya putting all the cards on the table!!!!!

Imekuwa ni jambo la kawaida katika mahaba wengi wetu kuwa si wa waziii!!!!!!!! Jst imagine unaenda kumuomba mtu nafasi moyoni mwake, ilhali unajijua kabisaa utakacho ni game tu! Au huna uhakika nini unataka ila unamchota mwenzio akili kuwa yeye ndo chaguo lako! Mda wotee mko mwenzio anakaa kukuimpress yeye ni wife material! Drama haziishi! Hata quality time mnasahau!!!!! Tabu ya nini vijana wadogo!!!!!! Kuwa muwazi tu kuwa nini unataka toka kwa mwenzio! Au kama hujielewi mwambie i like you ila kuhusu ndoa sina uhakika for now! Kesi za kupotezeana muda zinakuwa hakunaaa! Kila mtu anajua atakacho vuna hapo! Uwazi ndo fashion ya sasa! Hata vizinga vinapungua na drama zitaisha! Ni goodtimes mwanzo mwisho!

Hata MBA's (Married but Available) Katika hizo responsible cheatting zenuu hii policy inawafaa sanaaa! We mwambie bibi dada mi nina mke na wanangu hapa kwako ni kula goodtimes too! Siku quality ya goodtimes ikishuka nakuacha! Stress * 2 za wife na zako sizitaki! Mambo ya unanizalia siyataki! Sijakuomba! Be carefull ukishika mimba situnzi huyo mtoto zawadi yako! Na uwe na adabu ya kujali mambo yako, mke wangu hakuhusu kabisaaaa! Uko tayari? Akikubali basi mnakuwa on the same page! Hata we mdada unaejivinjari na kijigallow chako nje ya ndoa hivo hivo set the rules na boundaries! Sio tabia yenu ya kuvua pete na uongo mwingiii! Some times the Truth is Sexy!

Kweli kabisaa, uwazi wa nini unakitaka katika hayo mahusiano kwanza yanaonesha ni mkweli, pili Umepevuka na kukomaa kimahaba! Tatu hujipi madeni yasiyo na msingi! Hujaahidi usichoweza kukitimiza! Nnne mizambi unapunguza tano! Tano unampa mtu chance ya kuamua vingine akipata nafasi! Sita Mnazingatia zaidi jambo la msingi la kula maraha kuliko kuimpressiana!, Saba kila mtu ana follow the rules! zile mambo za kufatiliana hakuna! Kila mtu anabaki na uhuru wake!, Nane Unakuwa in control na unaretain control! Tisa! Hupimiwi game coz ndo sababu ya msingi ya kuhusiana! sio sababu saidizi! Kumi malizia mwenyewe!

Nyie mwaonaje hizi changes za times!!!!!!!!!
 
Sasa vipi tupige game za kirafiki kama starz na zambia..

Au na wewe unataka formal game za champions league kama man utd vs real madrid, juventus vs celtics or shaktar donesky vs borussia dortumund ( hii ni bonge ya game usisahau kuitazama february)

Sijachakachua thread ni mifano tu
 
Ntarudi na wewe just give me some few minutes..i have got something to share..
 
Kweli kabisaa, uwazi wa nini unakitaka katika hayo mahusiano kwanza yanaonesha ni mkweli, pili Umepevuka na kukomaa kimahaba! Tatu hujipi madeni yasiyo na msingi! Hujaahidi usichoweza kukitimiza! Nnne mizambi unapunguza tano! Tano unampa mtu chance ya kuamua vingine akipata nafasi! Sita Mnazingatia zaidi jambo la msingi la kula maraha kuliko kuimpressiana!, Saba kila mtu ana follow the rules! zile mambo za kufatiliana hakuna! Kila mtu anabaki na uhuru wake!, Nane Unakuwa in control na unaretain control! Tisa! Hupimiwi game coz ndo sababu ya msingi ya kuhusiana! sio sababu saidizi! Kumi malizia mwenyewe!

hayo niloyacopy ndo kitu nilichomaanisha kwenye intrvw yetu ilee, kwann umpotezee mtu wakati wake ilhali wajua you are there 4the sake of the game??? be open ka huyo jamaa, bana eeh!! am here to enjoy the game whenevr necessary, no strings attached, afu na mashosti pia muwage mnauliza sio kuingia kichwakichwa ukijiandaa kuwa wife kumbe mwenzio anafanya praktiko....
 
zaweza kuwa game za kirafiki ama formal game....ila rules lazima zizingatiwe na la muhimu katika hilo ni uwazi...
Sasa vipi tupige game za kirafiki kama starz na zambia..

Au na wewe unataka formal game za champions league kama man utd vs real madrid, juventus vs celtics or shaktar donesky vs borussia dortumund ( hii ni bonge ya game usisahau kuitazama february)

Sijachakachua thread ni mifano tu
 
Sasa vipi tupige game za kirafiki kama starz na zambia..

Au na wewe unataka formal game za champions league kama man utd vs real madrid, juventus vs celtics or shaktar donesky vs borussia dortumund ( hii ni bonge ya game usisahau kuitazama february)

Sijachakachua thread ni mifano tu

Hahahaaaaaa! Za kirafiki zina nogaga sanaaaa!
 
Game yeyote lazima iwe na rules na guidelines...unajua sio kila 'aniitaye bebi' anafaa kuurithi ufalme wangu..wengine wapo just for good times tu....Kama ulivosema ifike wakati tutofautishe 'games' na 'real love'...hapa ndipo wengi tunakwama..mwingine anadhani ile ku-do naye tu basi ndio umempenda...nooo...sometimes ni issue ya muda tu..hawakukosea waloweka 'one night stand'..Naafikiana na wewe kwamba ifike wakati 'vigezo na masharti' vizingatiwe..use me when i use you....................................................
 
asanteee!!! umenena,,,kweli xmass imekaribia....hahahahah
Game yeyote lazima iwe na rules na guidelines...unajua sio kila 'aniitaye bebi' anafaa kuurithi ufalme wangu..wengine wapo just for good times tu....Kama ulivosema ifike wakati tutofautishe 'games' na 'real love'...hapa ndipo wengi tunakwama..mwingine anadhani ile ku-do naye tu basi ndio umempenda...nooo...sometimes ni issue ya muda tu..hawakukosea waloweka 'one night stand'..Naafikiana na wewe kwamba ifike wakati 'vigezo na masharti' vizingatiwe..use me when i use you....................................................
 
Kweli kabisaa, uwazi wa nini unakitaka katika hayo mahusiano kwanza yanaonesha ni mkweli, pili Umepevuka na kukomaa kimahaba! Tatu hujipi madeni yasiyo na msingi! Hujaahidi usichoweza kukitimiza! Nnne mizambi unapunguza tano! Tano unampa mtu chance ya kuamua vingine akipata nafasi! Sita Mnazingatia zaidi jambo la msingi la kula maraha kuliko kuimpressiana!, Saba kila mtu ana follow the rules! zile mambo za kufatiliana hakuna! Kila mtu anabaki na uhuru wake!, Nane Unakuwa in control na unaretain control! Tisa! Hupimiwi game coz ndo sababu ya msingi ya kuhusiana! sio sababu saidizi! Kumi malizia mwenyewe!

hayo niloyacopy ndo kitu nilichomaanisha kwenye intrvw yetu ilee, kwann umpotezee mtu wakati wake ilhali wajua you are there 4the sake of the game??? be open ka huyo jamaa, bana eeh!! am here to enjoy the game whenevr necessary, no strings attached, afu na mashosti pia muwage mnauliza sio kuingia kichwakichwa ukijiandaa kuwa wife kumbe mwenzio anafanya praktiko....

Hahahaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!! Afu mwanaume ukimwambia hivo anafurahiije!!!!!!!!! Yaani anaweza hata kufanya party la kusherekea!

Ila ndo mpango mzima! Sio kuliana timing! Uko na mtu anakutegemea akuoe kumbe wewe unafaidi game huku unatafuta mwengine wa husband material!
 
tatizo mashosti hawataki kuambiwa ukweli wao mtu akiwaaproach wanajua husband...kumbe katamani mzigo...ni simple na inakupa hata we mwenyewe uhuru wa kutest different products zilizoko sokoni kwa uhuru kabla ya kufika deadline...
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!! Afu mwanaume ukimwambia hivo anafurahiije!!!!!!!!! Yaani anaweza hata kufanya party la kusherekea!

Ila ndo mpango mzima! Sio kuliana timing! Uko na mtu anakutegemea akuoe kumbe wewe unafaidi game huku unatafuta mwengine wa husband material!
 
Game yeyote lazima iwe na rules na guidelines...unajua sio kila 'aniitaye bebi' anafaa kuurithi ufalme wangu..wengine wapo just for good times tu....Kama ulivosema ifike wakati tutofautishe 'games' na 'real love'...hapa ndipo wengi tunakwama..mwingine anadhani ile ku-do naye tu basi ndio umempenda...nooo...sometimes ni issue ya muda tu..hawakukosea waloweka 'one night stand'..Naafikiana na wewe kwamba ifike wakati 'vigezo na masharti' vizingatiwe..use me when i use you....................................................

Thank you! Afu inakuwa raha kweli manake guessing games zinaondoka! Ishu ya kulazimishana mimba inakuwa haipo kabisaaa! Yaani good times mwanzo mwisho!

Tatizo ndo hilo watu wanashindwa kutofautisha SEX na LOVE !!!!!!!! Ndo madeni ya kupotezeana muda yanapoanza!
 
tatizo mashosti hawataki kuambiwa ukweli wao mtu akiwaaproach wanajua husband...kumbe katamani mzigo...ni simple na inakupa hata we mwenyewe uhuru wa kutest different products zilizoko sokoni kwa uhuru kabla ya kufika deadline...

Hahahaaaaaaaa! Ukweli unaumaaaa!!!!!!!! Tusifanye masikharaa! Ila mimi na appreciate a bitter truth and honesty kuliko a sweet lie!!!!!

Kwanza mtu kakufanya mjinga! Pili anakuwa fakeroooo! Baby i love you nyingiii! za mdomoni! Heri karata zikiwa mezani inakuwa Baby you are sexy! I realy like you! Na mambo temporary kama hayo!

Hahahaaaaaaaaaaaa @ kutest product zilizoko sokoni!!!!!!!! Hii ina maana sana unapokuwa na jitu limejua halikuoi ila limenyuti kimyaa unajibweteka kulingojea afu unakataa ofa ya ndoa kutoka kwa mtu mwengine ambae hilo jitu lingekwambia ukweli usingekataa! Mwisho linakukosesha yote!
 
kuna wakati hapa niliwah kusema na leo narudia tena b4 anyrelationship terms and conditions applied shld be put in place.
huwez kutoka na mtu pasi kujua unatoka ukiwa na mategemeo gani. kama ni za kirafiki sema na highlight your terms and condition.

BTW hivi kuna watu ambao wanaingia kwenye mahusiano wakiwa empty slate??
 
Matatizo mengi yanakuja kwa sababu hatuwi wakweli...mfano mshikaji mlokutana naye kakuchana 'live' tu hapa kazi tu kula kwenu au siyo?.....Shida inakuja pale nyie wadada mnapoletaga lile neno lenu nisilolitaka..'la umenipotezea muda wangu'..cmon....muda haupotezwi kwako tu hata kwangu..tufike wakati tuwe wakweli kwa nafsi zetu na tukubali kuwa sio kila game ni 'champions league'...zingine 'friend match' tu...............

asanteee!!! umenena,,,kweli xmass imekaribia....hahahahah

Hahahaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!! Afu mwanaume ukimwambia hivo anafurahiije!!!!!!!!! Yaani anaweza hata kufanya party la kusherekea!

Ila ndo mpango mzima! Sio kuliana timing! Uko na mtu anakutegemea akuoe kumbe wewe unafaidi game huku unatafuta mwengine wa husband material!
 
kuna wakati hapa niliwah kusema na leo narudia tena b4 anyrelationship terms and conditions applied shld be put in place.
huwez kutoka na mtu pasi kujua unatoka ukiwa na mategemeo gani. kama ni za kirafiki sema na highlight your terms and condition.

BTW hivi kuna watu ambao wanaingia kwenye mahusiano wakiwa empty slate??

Hahahaaaaaa! Wapo watu wanatumia 1980s technique ya USINIKUBALI HARAKA HARAKA!!!!!!!!! Basi bi dada ndo kuzungusha na kuzungusha! Akikubalia Ana assume tu huyu KANIPENDAAA! Unaona hapo chaka linapoanzia!!!!!!!! Hakuna anaeweka wazi malengo yake au anaeulizia malengo ya mwenzie! Wote mnajiassumisha kila mmoja kinachomfurahisha hata kama kiko ndivo sivo!!!!!!

Ndo maana nasisitiza hizi zama ukitumia mbinu za zamani umekwishaaaaaaaaa! Unaongejea 5 years afu chalii!!!!!!!!!! Unatafuta pa kuweka sura yako! Ukweli na Uwazi ndo mpango mzimaa!
 
wajua nn hiyo ya kusema mtu amempotezea muda wake ni kwakuwa hakuwa wazi 4m the begining, shosti anakuwa bize na jamaa akijua amehit jackpot kumbe msela yuko kwenye mazoezi ktk kumpata the one...ila mkiwa wazi tangu mwanzo hayo ya kusema umepotezewa muda haitokuwa relevant kwani mhusika anakuwa ameridhia mwenyewe...mie niliwahi mdamp jamaa kutokana na situation ka hiyo!!!
Matatizo mengi yanakuja kwa sababu hatuwi wakweli...mfano mshikaji mlokutana naye kakuchana 'live' tu hapa kazi tu kula kwenu au siyo?.....Shida inakuja pale nyie wadada mnapoletaga lile neno lenu nisilolitaka..'la umenipotezea muda wangu'..cmon....muda haupotezwi kwako tu hata kwangu..tufike wakati tuwe wakweli kwa nafsi zetu na tukubali kuwa sio kila game ni 'champions league'...zingine 'friend match' tu...............
 
Matatizo mengi yanakuja kwa sababu hatuwi wakweli...mfano mshikaji mlokutana naye kakuchana 'live' tu hapa kazi tu kula kwenu au siyo?.....Shida inakuja pale nyie wadada mnapoletaga lile neno lenu nisilolitaka..'la umenipotezea muda wangu'..cmon....muda haupotezwi kwako tu hata kwangu..tufike wakati tuwe wakweli kwa nafsi zetu na tukubali kuwa sio kila game ni 'champions league'...zingine 'friend match' tu...............

Hahahaaaaaaaaaaaa! Afu kweli hata mimi napenda kweli kujivictimize na situation! Utafikiri sijui tuliahidiana kwa contract na maandishi kabisa! LOL!
 
Sasa naulizaje ile mbinu yetu sugu ya USINIKUBALI HARAKA HARAKA!!!!! Hapa ina blend vipi? Manake ile mbinu nayo ya muhimu kweli! Ina raha yake!!! Sitting back while enjoying watching him sweat for it!!!!!! It was kind of sexy i must admit!!!!

Au katika hii model ya kisasa, Hukatai katai kama 1990's isipokuwa unatoa mixed signals ili kupitisha kale ka probation period!!!!! LOLEST!
 
Back
Top Bottom