Fair Game Katika Mahusiano!!!!!!!! Kuwepo Rules na Guidelines!!!!!!

Fair Game Katika Mahusiano!!!!!!!! Kuwepo Rules na Guidelines!!!!!!

Matatizo mengi yanakuja kwa sababu hatuwi wakweli...mfano mshikaji mlokutana naye kakuchana 'live' tu hapa kazi tu kula kwenu au siyo?.....Shida inakuja pale nyie wadada mnapoletaga lile neno lenu nisilolitaka..'la umenipotezea muda wangu'..cmon....muda haupotezwi kwako tu hata kwangu..tufike wakati tuwe wakweli kwa nafsi zetu na tukubali kuwa sio kila game ni 'champions league'...zingine 'friend match' tu...............

Siyo kupotezeana Muda, Tatizo linakuja pale Game inapokukolea halafu Jamaa anakwambia yeye basi!!! Hapo chacha ndipo songombingo la kaboka mchizi linapoibuka, na ndipo mambo ya lawama yanapoanza, maana unakuta mdada Kafall in Love, wakati wewe unajua ni Free Game.
 
Achana na stori ndefu lara 1, umemwambia utampa? Au ndo tayari mpo kwenye 'good time'?
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahahahaaaaaaaa!!!! Lara 1 umenifurahisha sanaaaaaaaaaaa! Maana BHAAAAA Mungu Kukupa Bure Kunyima Ntu Dhambiiii!!!

Duh!!! Inabidi na mm nitangaze kuomba Fair Game na Mtu wa Humu JF,

Angalizo:- Naomba sanamNitakayemchagua kuomba hiyo Fair Play Game asining'a ng'anie. maana wengine wakinogewa tu atataka Kumiliki kama yake.
 
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Girl You Nasty!!! Naomba ni bold haya maneno yamenikosha sanaa! Waache wazuge wakati ukweli wao wanaujua rohoni!!!!!!!!!!!!!! Ila haya ni makavu live!!!!!!!!

mtu anajidai ooooh sitaki 1nit stand miye siyo changudoa while kwa mwaka anagongwa na men zaidi ya 7 anaowaita Bf's...evry woman is a prostitute on her levo .

....dah?!

"Evry woman is a prostitute on her levo" ....HAPANA Bana...duhh...

For me "every woman" means pamoja na mama zetu, dada zetu, shangazi zetu etc etc.... Kuwashusha kwenye level ya PROSTITUTES ni kuuvuka mpaka...

Sikubaliani na hoja.
 
hahhahahahah gfsonwin bana....yaani bado waamini ktk kumbebesha msalaba jinsi ke?? kama ni ishu ya risk ulizotaja si wanaplay safe tu.....isitoshe mwili ni wa gal mwenyewe so anadil na body yake jinsi atakavyo yeye na wala si according to jamii inasema nn!!
hapo ndipo mnapoharibu, kuchezea mwili wako utakavyo hukatazwi but bado maisha hayakupi wewe nafasi ya kufanya hayo na kupata peace of mind like a boy can do.

btw kwakua ni ishu ya haki za binadamu its ok manake at last mwili ni wa gal na yeye ndo mwenye say ya mwisho juu ya huo mwili wake.
 
....dah?!

"Evry woman is a prostitute on her levo" ....HAPANA Bana...duhh...

For me "every woman" means pamoja na mama zetu, dada zetu, shangazi zetu etc etc.... Kuwashusha kwenye level ya PROSTITUTES ni kuuvuka mpaka...

Sikubaliani na hoja.

na haya ni matusi kwa wengine ambao hata iyo zinaa hawajawah kuikaribia.

je lara 1 anataka kuniambia kwamba mama lara nae ni prostitute?? ama dada zake?? ila Mbu mie nimewaelewa wanataka nn kwao ishu ni ule uhuru wa kutumia miili yao wapendavyo so sishangai sana kwa comment kama hii toka kwa lara 1 kwani na assume ndo ukombozi anaoutaka
 
Last edited by a moderator:
Si ndio maana ikasemwa 'vigezo na masharti kuzingatiwa'..
Kama mchezaji ni wa mkopo na kaonyesha kiwango kizuri kwa nini ucmsajili mazima???

Siyo kupotezeana Muda, Tatizo linakuja pale Game inapokukolea halafu Jamaa anakwambia yeye basi!!! Hapo chacha ndipo songombingo la kaboka mchizi linapoibuka, na ndipo mambo ya lawama yanapoanza, maana unakuta mdada Kafall in Love, wakati wewe unajua ni Free Game.
 
Ombi langu unikumbuke kwenye uzima wako utakapoanza uchaguzi bila kusahau lakini vigezo na masharti............

hahahahahahahahaaaaaaaa!!!! Lara 1 umenifurahisha sanaaaaaaaaaaa! Maana BHAAAAA Mungu Kukupa Bure Kunyima Ntu Dhambiiii!!!

Duh!!! Inabidi na mm nitangaze kuomba Fair Game na Mtu wa Humu JF,

Angalizo:- Naomba sanamNitakayemchagua kuomba hiyo Fair Play Game asining'a ng'anie. maana wengine wakinogewa tu atataka Kumiliki kama yake.
 
....dah?!

"Evry woman is a prostitute on her levo" ....HAPANA Bana...duhh...

For me "every woman" means pamoja na mama zetu, dada zetu, shangazi zetu etc etc.... Kuwashusha kwenye level ya PROSTITUTES ni kuuvuka mpaka...

Sikubaliani na hoja.

Jiulize hawafanyagi!!!!!!!!!!?????????

Exception ni kwa Wabibi (Retired) na Nuns/Masister Baaaaaaaaass!
 
na haya ni matusi kwa wengine ambao hata iyo zinaa hawajawah kuikaribia.

je lara 1 anataka kuniambia kwamba mama lara nae ni prostitute?? ama dada zake?? ila Mbu mie nimewaelewa wanataka nn kwao ishu ni ule uhuru wa kutumia miili yao wapendavyo so sishangai sana kwa comment kama hii toka kwa lara 1 kwani na assume ndo ukombozi anaoutaka

Tichaaaa! Naomba msamaha kama nimekukwaza ila kuhusu hio statement Hata Mama Lara 1 nae alikuwaga binti kigoli sasa mimi sikuwepo enzi hizo so siwezi jua myenendo yake!Mi mwenyewe nikiwa mtu mzima binti yangu ole wake afate nyendo zangu!!!!!!!! Nasisitiza ole wake! Namtupa convent shirikani huko akapate wito wa Usister!!!!!!!
Mambo ya kipuuzi sitotaka kabisaaa kutoka kwake!

Huu ni usemi tu ila kama unajijua haumo baasi unaupuuzia! Huu usemi sio utabiri wa kinabii kuwa lazima utimie! La hashaaaa!
Mbu huo ni usemi tu so take it seriously!
 
relax lara 1!!!

do you know kwann nakupenda mdogo wangu??
u are so easy to admitt your mistakes and repent. i love that.

BTW merry x-mass and happy new year my dearest
 
Last edited by a moderator:
sometimes rules zinabadilika kadri game inavyoenda, lazima pawe na muda wa kutathmin kama rules bado ziko valid, vinginevyo game inaweza change huku mnataka rules zibaki zilezile...
 
Hahahaha...my dada..why??
Usiogope sana..'dirisha dogo' hili si unajua naimarisha beki..beki zangu hazikabi!

hey broda!
is that you?? mmmh! ngoja nikae pemben naona nazi kavu inataka kuvunja jiwe lol!
 
Nimekusoma my dada...x-mass vipi lakini??
x-mass poa tu hapa nilipo naoka x-mass keki na napika vijisambusa na kababu za kula usiku wakati wa eve.
nimeanda juice ya ubuyu na ukwaju, pamoja na ya nanasi, embe na passion. vinywaji vyenye kileo nilitengeneza mvinyo wa embe na rozella kwa hiyo kuna mvinyo uliopikwa na kutengeneza kitaalamu kabisa na ni swt wine red.

kwa upande wa barbecue kuna grilled pork, na bata ila pia kuna main dishes wali &french fries pamoja na brow stew na dessert creamed cake buttered cake.
 
relax lara 1!!!

do you know kwann nakupenda mdogo wangu??
u are so easy to admitt your mistakes and repent. i love that.

BTW merry x-mass and happy new year my dearest
Sweetlo mwalike lara 1 tufanyepo 3some.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom