Fair Game Katika Mahusiano!!!!!!!! Kuwepo Rules na Guidelines!!!!!!

Fair Game Katika Mahusiano!!!!!!!! Kuwepo Rules na Guidelines!!!!!!

Ni kweli dadaangu unayosema..yaani dates zimekuwa za kuviziana wala si uongo...si umemsoma hapo juu Neylu anavyolalamika!....Bado nawashauri wadogo zangu wa kike kutotumbukia 'mazima' aisee...na wewe mtoto wa kike usidhani kila relationship itazaa 'ndoa'...zingine zipo tu just kupitisha muda...ikizingatiwa 'vigezo na masharti'...vimetolewa..BTW dadaangu gfsonwin.. wewe na shemeji ilikuwaje?...ulimpa muda au ilibidi????.................................

huwaga napenda sana sana kujitolea ushuhuda wangu binafsi kwani naamin ndicho kitu ambacho nimekishuhudia kwa macho na matendo yangu, sasa hapa naomba nitoe ushuhuda kidogo tu juu ya hali ilivyokuwa enzi zangu:

nilikutana na hubby enzi hizo nikiwa chuo yeye akiwa mwaka wa 3 mie nkiwa mwaka wa 1. kimsingi ilikuwa ni coincidence ya ajabu kwani alikuwa rafiki yangu wa karibu kwa muda mrefu sana na alisoma darasa ambalo wengi wa wanafunzi wake walikua marafiki zangu wa kawaida.

nilikuwa na bf ambaye tulidumu katika maisha ya usafi sana kwa muda wa miaka 8, yani hatukujaribu hata siku moja kuikaribia zinaa ingawa tulikuwa tunatoka disco na dinner mara kwa mara. kumbe mahusiano yangu na huyu bf yalikuwa yakimuumiza ingawa hakuniambia mm.

nakumbuka iliwah kutokea two times anakuja kwangu ananikuta nataka kutoka na bf wangu, tena pasi kujali nlikuwa namwambia nsubiri naenda kuoga naja navaa yy yupo na kisha naondoka kwenda zangu disco na bf yeye anaenda kwake huku roho ikimuuma. anyway sikujua kama nilikuwa namuumiza kabisa hivyo i took it just simple na mie niliamin kwamba bf wangu huyo loya ndo angekuwa hubby.

kiukweli ilitokea siku moja huyu loya akaniboa sana sana niliia sana nikasema sitak tena kuwa na mahusiano na mtu, but kama bahati nikakutana nae njian nikiwa nalia nikamsimulia akanionea huruma sana akanipeleka rum kwangu. basi kwakua nilimsimulia kila kitu alikuwa karibu ana na mm ili kulinda kwamba sitojiumiza zaid na alikuwa ananitania " mm ni mfariji wa wajane " basi nilikubali kampani yake kwa mwaka mzima bila kusema jambo lolote lile. baada ya mwaka ndipo aliposema ananipenda na ulikuwa ndo mwaka wake wa mwisho chuoni so sikuwa na pingamizi ila tu nilimpa msimamo wangu kwamba nataka mahusiano ya aina gani.

tulikubaliana na yale ambayo tuliyaona ni ya maana kwetu kwa wakati huo, na tukawashirikisha wazazi nilipokuwa sasa nimesha tambulisha nyumban mahari imeshatolewa nilijikuta nmevunja mwiko wangu na kuanguka katka dhambi ya zinaa and huwez kuamin nilipata ujauzito wa mwanangu wa kwanza. but atleast nilikuwa tayari nimesha pata assuarance ya kile nikitakacho sikujali sana ingawa siku ya kutubu niliumia sana. i had to push ili ndoa ipite kabla tumbo halijaonekana nili- confess mbele ya padre kwamba nimezini na nimjamzito hivyo nikapewa malipizi ya kufanya nikabariki ndoa.
 
Sasa hujasema baada ya Jamaa kumwagika nama hiyo umemfungulia mlango au bado unajifikiria dada Lara1
 
Ahsante mwalimu gfsonwin kwa stori yako nzuri..labda kitu ambacho Ciello na lara 1 wangependa kujifunza ni kwamba huyo LOYA kosa alilolifanya lilikuwa kubwa kiasi gani cha kutosameheka?..Je? huwezi kukuta LOYA naye kwa upande wake anakulaumu kuwa alikuvumilia muda mrefu na hata kijipu hakutumbua halaf kosa dogo tu ukamtosa...Au mtuwangu ulikuwa ushedevelop love na huyu aliyekuwa mshika pembe??...(i mean your hubby wa sasa).........................
 
Last edited by a moderator:
hahahah SnowBall una maswali mengi kwani ww ni police?? loya aliharibu na mshika pembe akajibebea mzigo kiulainiiii..hahahahah hongera kwa washika pembe wote...msikate tamaa kwani u never no!!!!

Umeonaeeh...inabidi atuambie bwana..ilikuwaje mshika pembe akabeba mzigo kiulainiiii kama ananawa vile......

hahahah SnowBall una maswali mengi kwani ww ni police?? loya aliharibu na mshika pembe akajibebea mzigo kiulainiiii..hahahahah hongera kwa washika pembe wote...msikate tamaa kwani u never no!!!!
 
Markhabaa bibie,lakini mi na ''SHAKA'' kidoogo, kwanza umemwita WAKUJA FLANI, pili ukamsifia yuko VERY OPEN,na tatu UMEIPENDA DESIGN YAKE MPYA ya putting all the cards on the table. Sasa yatakayoendelea utatuelezea maana na B/card ya msela umechukua au mtapiga kimyakimya?
:der::A S 103:
 
Ahsante mwalimu gfsonwin kwa stori yako nzuri..labda kitu ambacho Ciello na lara 1 wangependa kujifunza ni kwamba huyo LOYA kosa alilolifanya lilikuwa kubwa kiasi gani cha kutosameheka?..Je? huwezi kukuta LOYA naye kwa upande wake anakulaumu kuwa alikuvumilia muda mrefu na hata kijipu hakutumbua halaf kosa dogo tu ukamtosa...Au mtuwangu ulikuwa ushedevelop love na huyu aliyekuwa mshika pembe??...(i mean your hubby wa sasa).........................

kiukweli yapo makosa ambayo kwenye urafiki hayavumili kabisa kabisa kabisa. ukiona akama wewe ni mwanamke na bf wako hakuapi ile nafasi kama gf wake jua anatatizo ambalo mbeleni litakutesa sana. miaka 8 toka enzi tuko secondari sikumjua vizuri manake tulikuwa tunawasiiana kwa barua zaid kuliko kuonana. sasa maisha ya chuo hapa mnaonana kila siku ndipo nilipo jua ale ambayo yalikuwa yamejificha.

mwanaume ambaye ni bf unamshauri jambo zuri tena la maendeleo yeye akitoka anaenda kuongea na dada zake anarudi na idea tofauti ukimuuliza anasema dada ndo kaniambia nifanye hivi lol! akifanya mbelen anakwama anarudi tena kwako unamsaidia kurekebisha, next time inajirudia tena utasema ni dharau ama ni kutokujali?? kwangu mm nilikuwa naletewa vya kurekebisha tu ushauri wangu mmh! haupewi kipaumbele nikajionea cha kuoanekana fundi viatu kitu gani kila siku ninakazi ya kurepea tu wanaoharibu wenzangu nikampiga chini fasta. ila nilimwambia kwamba nimevumilia nimeshindwa sasa as long as sie ni marafiki tuachane kwa amani ili tusaidiane mbeleni siwez kuish na mtu ambaye anapewa akili na watu baki.

aliumia na hakuamin manake alijua sina mtu na ukweli sikuwa na mtu, but wapo waliokuwa wanaiona na walionitamania basi akaja hubby akadumu mwaka mzima na mm pas kusema chochote mwaka wa pili ndipo akafunguka na alikuwa na tabia ambazo nilizipenda sana mwanaume awe nazo hasa ile ya kusimamia nafasi yake kama mwanaume lol! huwa napenda mwanaume akiongea sauti yake iwe na mamlaka na nisiweze kuipinga bali niishahihishe kwa adabu. sipend mwanaume bendera fwata upepo ama mwanamme ambaye akisema ndani ya nyumba basi anaonekana kama mtu tu.

a man has to act like one, na kauli yake iwe ni moja tu not double statements.
 
hahahah SnowBall una maswali mengi kwani ww ni police?? loya aliharibu na mshika pembe akajibebea mzigo kiulainiiii..hahahahah hongera kwa washika pembe wote...msikate tamaa kwani u never no!!!!
Ciello hubby wangu hakuwa mshka pembe, kwani alikuwa rafiki wa kawaida sana na darasa lao wote walikuwa narafiki zangu wakubwa ambao walinifunza kuwa mhandisi wakati nasomea ualimu. huwez amini wao walijua kabisa kwamba nina loya na walikuwa wakinitania juu ya loya wangu, na wao walimwita shemeji sasa sijui what was btn us loya akaachia ngazi mhandisi akapata nafasi
 
Last edited by a moderator:
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!!!!!!

Kuwa muwazi tu kuwa nini unataka toka kwa mwenzio! Au kama hujielewi mwambie i like you ila kuhusu ndoa sina uhakika for now! Kesi za kupotezeana muda zinakuwa hakunaaa! Kila mtu anajua atakacho vuna hapo! Uwazi ndo fashion ya sasa! Hata vizinga vinapungua na drama zitaisha! Ni goodtimes mwanzo mwisho!

Nyie mwaonaje hizi changes za times!!!!!!!!!

Veery interesting suggestion lara 1...
lakini unajua nini!?mimi huwa nasema women just cant 'date'!!...
uzoefu wangu umenionesha kuwa ni mwanamke 1 kati ya 50 pengine anayeweza kuwa na uhusiano bila kuwa na 'feelings' attached...
chukua mfano umeamua kuwa na jamaa kwa style hii halafu mara kwa mara unakutana naye akiwa na wifey wake,,roho haitauma??
...lolz...men can do this better..my view!!
 
Last edited by a moderator:
Umeonaeeh...inabidi atuambie bwana..ilikuwaje mshika pembe akabeba mzigo kiulainiiii kama ananawa vile......
hahahah! unafikir kuna mwanamke yyte atakaye kubali kuolewa na mwanaume ambaye hajameet vigezo vyake kwa asilimia mia?? kama yuko siriaz hawez atajitahd ili afiishe japo 97% lol!
 
Sina ZAWADI ya kukupa kwa kuandika maneno mazuri namna hiyo..ila amini kupitia kwa pacha wangu snowhite utaipata aisee...if that is what your man has, the have my conglats!... Ciello njoo uone mwanaume wa ukweli anatakiwa awaje.......BTW ..swali la mwisho: Wewe una bahati huku-date na your former BF's ..tofauti na sasa ambapo dating it's like compulsory...unawashauri nini mabinti ambao japo wanaona 'mwelekeo' wa BF's sio lmzuri..akini simply tu kwa sababu wameshatoa papuchi huwa hawataki kuwatema jamaa zao wanaoonekana kwamba hawana mwelekeo???

.... na alikuwa na tabia ambazo nilizipenda sana mwanaume awe nazo hasa ile ya kusimamia nafasi yake kama mwanaume lol! huwa napenda mwanaume akiongea sauti yake iwe na mamlaka na nisiweze kuipinga bali niishahihishe kwa adabu. sipend mwanaume bendera fwata upepo ama mwanamme ambaye akisema ndani ya nyumba basi anaonekana kama mtu tu.

a man has to act like one, na kauli yake iwe ni moja tu not double statements.
 
Last edited by a moderator:
Sina ZAWADI ya kukupa kwa kuandika maneno mazuri namna hiyo..ila amini kupitia kwa pacha wangu snowhite utaipata aisee...if that is what your man has, the have my conglats!... Ciello njoo uone mwanaume wa ukweli anatakiwa awaje.......BTW ..swali la mwisho: Wewe una bahati huku-date na your former BF's ..tofauti na sasa ambapo dating it's like compulsory...unawashauri nini mabinti ambao japo wanaona 'mwelekeo' wa BF's sio lmzuri..akini simply tu kwa sababu wameshatoa papuchi huwa hawataki kuwatema jamaa zao wanaoonekana kwamba hawana mwelekeo???

thanks mkuu!

nirudi kwenye swali lako, kwanza nieleweshe hivi kudate ni kufanya ngono?? ukinijibu hapa nitakuwa na uwanja mzuri wa kujidadavua.
 
Veery interesting suggestion lara 1...
lakini unajua nini!?mimi huwa nasema women just cant 'date'!!...
uzoefu wangu umenionesha kuwa ni mwanamke 1 kati ya 50 pengine anayeweza kuwa na uhusiano bila kuwa na 'feelings' attached...
chukua mfano umeamua kuwa na jamaa kwa style hii halafu mara kwa mara unakutana naye akiwa na wifey wake,,roho haitauma??
...lolz...men can do this better..my view!!

Hahahaaaaaa! Itauma ila utajikazaa coz sio makubaliano kuendekeza feelings!!! Ila kama mkataba hakuna ndoo uko na wife nakutext dear kuja chooni ASAP kabla sijaja kumsabahi mkeo! Utainukaje kama kiti kina mwiba!!!!!! Ila kama kwenye bargain wife ni part n parcel ya mimi kuwa na wewe sitokuwa na jinsi zaidi ya kushushia na dompo uwepo wa wife wako!
 
@Snowballs ni rahisi kusema game lazima iwe na rules na guidelines za kufuatwa na wahusika wote lakini ikitokea bahati mbaya kukawa na chemistry ya hali ya juu kati ya hao wahusika basi rules na guidelines zote huwekwa pembeni na hapo ndio kunakuwa kizungumkuti.

Kuna mke wa mtu na mume wa mtu wote walikuwa wanatafuta watu wa kupeana uroda hivyo wakashuka katika hii website http://www.ashleymadison.com/ ili kutafuta kila wakitakacho. Baada ya kukutana kule kwa minajili ya kupeana uroda tu ikatokea penzi likawazidi nguvu na kukuta wanataka kuwa pamoja kwa muda mwingi tu hata baada ya kumaliza shughuli zao za kupeana uroda. Wakaanza kwenda lunches na dinners, movies n.k. na penzi ndio likazidi kurutubika. Ikabidi wakae chini na kufanya discussion ya kiutu uzima wapi wanaelekea na penzi lao. Ndio kila mtu akamwambia mwenzake kwamba yuko tayari kuvunja ndoa yake ili wawe pamoja. Waliweza kutimiza adhma yao na kuvunja ndoa zao na hatimaye kufunga pingu za maisha.

Ninachotaka kusema/kuonyesha hapa ni kwamba ikitokea kuna chemistry ya hali ya juu kati ya wahusika basi rules na guidelines husahaulika na watu kufanya kile ambacho mioyo yao inapenda bila kujali athari za maamuzi yao. Hawa wahusika baadaye waliamua kwenda kwenye vyombo vya habari kuelezea kuhusu walivyokutana na hadi kuamua kufunga pingu za maisha.

Game yeyote lazima iwe na rules na guidelines...unajua sio kila 'aniitaye bebi' anafaa kuurithi ufalme wangu..wengine wapo just for good times tu....Kama ulivosema ifike wakati tutofautishe 'games' na 'real love'...hapa ndipo wengi tunakwama..mwingine anadhani ile ku-do naye tu basi ndio umempenda...nooo...sometimes ni issue ya muda tu..hawakukosea waloweka 'one night stand'..Naafikiana na wewe kwamba ifike wakati 'vigezo na masharti' vizingatiwe..use me when i use you........................... .........................
 
Last edited by a moderator:
hii haifai kuiapply kwa mume wa mtu....ni bachela kwa bachela ndo mwake!!!
Veery interesting suggestion lara 1...
lakini unajua nini!?mimi huwa nasema women just cant 'date'!!...
uzoefu wangu umenionesha kuwa ni mwanamke 1 kati ya 50 pengine anayeweza kuwa na uhusiano bila kuwa na 'feelings' attached...
chukua mfano umeamua kuwa na jamaa kwa style hii halafu mara kwa mara unakutana naye akiwa na wifey wake,,roho haitauma??
...lolz...men can do this better..my view!!
 
nimeiona hiyo...ila men wa hivyo wako adimu kwakweli...wengi hawana maamuzi wala sauti ka men wanvyopaswa kuwa
Sina ZAWADI ya kukupa kwa kuandika maneno mazuri namna hiyo..ila amini kupitia kwa pacha wangu snowhite utaipata aisee...if that is what your man has, the have my conglats!... Ciello njoo uone mwanaume wa ukweli anatakiwa awaje.......BTW ..swali la mwisho: Wewe una bahati huku-date na your former BF's ..tofauti na sasa ambapo dating it's like compulsory...unawashauri nini mabinti ambao japo wanaona 'mwelekeo' wa BF's sio lmzuri..akini simply tu kwa sababu wameshatoa papuchi huwa hawataki kuwatema jamaa zao wanaoonekana kwamba hawana mwelekeo???
 
Hivi hao watu wa kufukuzia mdada miezi sita au mwaka mzima bado wapo kweli?

Wengine tupo straight tunaweka karata mezani kwenye second date or 3rd date.. Na tena tunawekana wazi kabisa kwamba mambo ya marriage could happen if God wishes..

Ukishaanza kuzungusha zungusha tunakubali matokeo tumekosa tu na move on,, harakati za maisha, career world, business world zinatupa stress nyingi sana vijana wa kisasa.. Sasa na wewe naekufukuzia uniongezee stress za nini?

Stress tutazipata kwa wife tukishapanda church lakini kwa tunaokutana njiani kwenye jungle la mawindo ni fasta fasta tunawekana wazi kila mtu ajue mapema inakuaje

Hahahaaaaaaaaaaaaaaa! Mkatakiu Utakuwa huoi mwaka ujao!!!!!!!!!! Umenichekesha sanaaaaaa! Ila zamani foleni mlikuwa mnapanga! Mi nikisema humu times are changing watu wananiona nimekubuhu nimeshindikana! LOL! Bora mseme nyie wanaume!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom