Fainali za Epiq Bongo Star Search kutoka Diamond Jubilee.!

Fainali za Epiq Bongo Star Search kutoka Diamond Jubilee.!

Mmenifurahisha sana wadau,nilibeep tu lkn kesho tutaamia huko. Kwa mtazamo wangu Walter atachukua hii ndoo labda kama wameshampanga mshindi kwa memo ya wadhamini.
 
Naona nyota ya Walter inang'aa hapa, anateka jukwaa bila ya shaka mshindi ni Walter wa BSS2012. Salma kafanya kosa kubwa kuchagua wimbo usiojulikana.
 
Walter naye jamani loanakaba hadi penati

watu hawataki kutoka mbele.
 
Hivi hawa ma du wanamrushia nn dogo Walter? Sio Ch*p* zile??
 
Watu wameaza kutafuta sababu but ukweli ni salma atachukuwa 4 real yule demu ni mkali kila sector za nje za ndani bado sina information nazo coz sijaziona

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
salma anachukua,hao wengine wanajua ku copy.dada n mbayaaa vbaya
 
ITV wapo offline na kutukosesha uhondo hapa.

Ok naona wamerekebisha kasoro na mambo ni yeketeeeee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom