Fainali za Epiq Bongo Star Search kutoka Diamond Jubilee.!

duh sasa yule mtoto bado mdgo kwanza ndo ana 17 izo 50 mil atazifanyia nn? Dah sijui nimchumbie nikale bata nae? Nipeni ushauri.
 
mzee Yusuph hiyo suti imeshonwa kwa madini ya bati? Dah suti zingine bhana akiivaa juani si atawaumiza watu macho!
 
Master J amemwambia wababa sio mkali kivile ila kilichomfikisha hapo ni kuaga vizuri kwa 'BABU' tu. Kwa kweli ameumia maana alikuwa anajiamini mno, amekuwa kama timu flani hivi ya hapa kwetu mwanzoni mwa ligi inaongoza weee mwishoni wakali wanakatiza kwa kasi.
 
Oya mbona fainal show inachelewa hv? Yan karibu nitaizgima t.v manake kesho natinga mzigon kama kawa.
 
Nilikuwa bored na hili shindano lakini baada ya kulog in najisikia raaahaaa! Ahsante wakuu wote ambao mnachangia na kuleta updates jf never die!
 
Mzee Yusuph anadhihirisha hana mpinzani katika tasnia yake ya mataarabu hapa. Good performance.
 
Master J amemwambia wababa sio mkali kivile ila kilichomfikisha hapo ni kuaga vizuri kwa 'BABU' tu. Kwa kweli ameumia maana alikuwa anajiamini mno, amekuwa kama timu flani hivi ya hapa kwetu mwanzoni mwa ligi inaongoza weee mwishoni wakali wanakatiza kwa kasi.

Sasa unaita mingu kwa maana ni bss we mcharko unaleta soka we wakuletwann!.
 
Master J amemwambia wababa sio mkali kivile ila kilichomfikisha hapo ni kuaga vizuri kwa 'BABU' tu. Kwa kweli ameumia maana alikuwa anajiamini mno, amekuwa kama timu flani hivi ya hapa kwetu mwanzoni mwa ligi inaongoza weee mwishoni wakali wanakatiza kwa kasi.
Mkuu usitake.kutuharibia starehe...mambo ya ligi yamefikaje kwenye bss
 
Huyu mtoto wa zenji akitinga na gitaa stajin walter asahau ushindi,manake ndio utakuwa mwisho wa walter.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom