Fainali za Epiq Bongo Star Search kutoka Diamond Jubilee.!

Fainali za Epiq Bongo Star Search kutoka Diamond Jubilee.!

Walikuwa kimahaba zaidi na Amini wake.
Amini anaimba vibaya sana.. Mwanzoni nilidhani ni mshindani wa watafuta vipaji nikajua Salama atammaliza fasta kuwa haendani na wimbo hata sauti haijakaa vizuri kama anaongea tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom