Tena Mkristu kamshinda Muislam lol
Walter bravooo.
Na wote tuliokuwa tunafuatilia pamoja mpumzike kwa raha masaa haya machache.
udini umettumika kumng'oa salma,aibu zao,huyu dada alikuwa anaweza xana tangu mwanzo kushinda washiriki wote.
Moyo umeniuma. Ila nitafanyaje sasa?
Tena Mkristu kamshinda Muislam lol[/QU Una akili sana wewe umejuaje?
Watu mshageuza finally kuwa siasa tayari ati zanzibar na tanganyika??
udini umettumika kumng'oa salma,aibu zao,huyu dada alikuwa anaweza xana tangu mwanzo kushinda washiriki wote.
Pole, sijui atamgaia mwenzie hata mil 2?
Amina nawe pia.
Mmh iyo pesa asipotulia ataja jutia!kama Alex wa maisha plus.
mmeimaliza ladha sred hii kuleta utanganyika na uzanzibar, na mambo ya dini.
Ngoja nilale tu bora
Lala Mama we i mean we love you allmmeimaliza ladha sred hii kuleta utanganyika na uzanzibar, na mambo ya dini.
Ngoja nilale tu bora
Anatakiwa apate financial advisor eti?
Namshukuru Mungu, kwa jinsi nilivyotabili ndivyo ilivyokua.hadi sasa mambo yameenda vizuri, nafasi hiko wazi kwa washindi wangu
1. Walter Chilambo
2. Salma
3. Wababa
Ata matokeo yakija vinginevyo sitakuwa na wasiwasi.
Namshukuru Mungu, kwa jinsi nilivyotabili ndivyo ilivyokua.