Fainali za Epiq Bongo Star Search kutoka Diamond Jubilee.!

Fainali za Epiq Bongo Star Search kutoka Diamond Jubilee.!

Sound engineer wa haya mashindano amezingua sana sauti zasikika hovyo walivyoanzia kutumia vipaza sauti tofauti na muda wa auditions
 
leo mitambo inagoma ITV, hapa sijui imekuwaje tena, safari haitokei.
 
Ee bana hawa majaj sijui wanachakachua,mbona wanachelewa hv kupublish?
 
Walter namkubali sana kwa sauti yake nzuri lkn Salma ana added advantage ya kumudu kutumia vyombo hivyo ni msanii aliyekamilika zaidi so yeyote atakuwa amestahili.
 
Walter namkubali sana kwa sauti yake nzuri lkn Salma ana added advantage ya kumudu kutumia vyombo hivyo ni msanii aliyekamilika zaidi so yeyote atakuwa amestahili.

Hata mimi kwa hapa yoyote atakayepata am happy for him/her. Wana deserve.
 
Kweli kabisa.

Mbona wanachelewa, wanachakachuaa?

Wanapoteza muda tu,kuna thread ilikuwa hapa toka mwezi wa8,sasa sijajua kama udhamini wa zantel umepelekea watu wahisi mshindi atatokea zenji,kwa maana yakuwa kule ndo wameteka interms of coverage
 
Huyu Dimpoz akifanikiwa kutoa nyimbo zingine japo 2 zenye ubora kama 'Baadae' atakuwa hakamatiki maana wadau wanaonekana kumbubali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom