Faida na hasara za kuishi na mama mkwe

Faida na hasara za kuishi na mama mkwe

Soma vizuri nimesema kila wiki sio kila siku. Yaani boss ambae ameniajiri hanijui simjui anaweza leo akanifukuza akaajiri mwingine anivumilie kutoroka kazini kila wiki ila wewe uliyekiri mbele ya mashahidi kuwa unanipenda and you want to spend the rest of your life with me ushindwe kunitimizia jambo dogo tu hilo la kupitia saluni???

Usitumie kiapo cha mtu kama weakness ya kupitia ili uwe unarudi usiku!

Panga ratiba,j2 nenda saluni kuanzia saa 12 asubuhi urudi saa kumi jioni.....

Nyumbani yupo dada wa kazi kama siku zingine zozote!

Huwezi rudia mwanaume usiku saa nne wewe!

No way!
 
Mimi pia nimememwambia hivi, kama anateseka akakae nae saluni asubirie asikilize na umbea haha

Sent using Jamii Forums mobile app

Saluni siendi na sikusubiri popote!

Wewe kama unaona usiku wakati watu wanarudi majumbani halafu wewe ndio unajiona kumekucha,we'll see who's who!

Unarudi unakuta geti limefungwa,gusa geti uone!
 
Basi nipeleke saloon na unisubiri
Ni heri hivyo, unitafute uniambie mr nipeleke saluni halafu tumpe mama taarifa kwamba tunaweza chelewa, na nikitoka job nakupitia nitakusubiri turudi wote nyumbani, hata mama yangu hatakusema wala kukuwekea visa, kinachotakiwa ni kufanya mke na mama wawe wanapendana sisi wanaume tunatakiwa tufanye hivyo, ila pia kwa mwanamke unatakiwa kumpa mumeo heshima ili akuweke kifua mbele kwa wakwe zako na hakika watakupenda mno, na mwanaume makini atachagua mwanamke makini siku zote huwa ipo hivyo believe me or not

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri hata wao walisema hivyo hivyo ila mambo yakawa tofauti.
Mwenza utavuka mto when you get there[emoji6][emoji6]
Weee wengine huwa wanapania kabisa, kuna ndugu yetu mmoja alikuwa akija nyumbani anaona mambo fulani wanayopishana mama na wifi anamwambia mama yangu na wewe mama umezidi upole yaani mimi ujinga huu sitovumilia mwanamke atakayekayeolewa na mwanangu ajipange

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani,hivi wanawake kumbe wanaenda saluni "KILA SIKU"?

This is new to me!

Nachojua,atleast once a week....

Sasa unashindwaje kupanga j2 kuanzia asubuhi ukafanye hiyo kazi urudi saa kumi jioni?

Dada wa kazi si unao?

Usenge wa kurudi saa nne unatoka wapi?

Women hate themselves,you want to be men so bad,why are you guys not happy in your own skin?

Being a man sio rahisi kama mnavyodhani!Be happy with yourselves in your own lane!

Wala kupendeza sio ishu,ishu hapa ni ratiba tu!

Wanaume wanaumia sana mwanamke akirudi nyumbani usiku hata iwe sababu kubwa kiasi gani,they hate it to death!

Sema basi tu...!
Kwahiyo mwanamke haumii mwaume akirudi usiku? Hata mimi pia nachukia sana mume wangu akichelewa kurudi home
 
Weee wengine huwa wanapania kabisa, kuna ndugu yetu mmoja alikuwa akija nyumbani anaona mambo fulani wanayopishana mama na wifi anamwambia mama yangu na wewe mama umezidi upole yaani mimi ujinga huu sitovumilia mwanamke atakayekayeolewa na mwanangu ajipange

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo wapo ambao ni visirani by nature!
 
Saluni siendi na sikusubiri popote!

Wewe kama unaona usiku wakati watu wanarudi majumbani halafu wewe ndio unajiona kumekucha,we'll see who's who!

Unarudi unakuta geti limefungwa,gusa geti uone!
Hahaha baba sio kwa kiranga hicho, lakini nadhani hadi mwanamke anaenda huko na anajua anachelewa kurudi atakutaarifu kabla hajaenda na povu atakalomwagiwa ndio ataamua yeye aende au aahirishe tu ikibidi akanyoe kipara lol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani,hivi wanawake kumbe wanaenda saluni "KILA SIKU"?

This is new to me!

Nachojua,atleast once a week....

Sasa unashindwaje kupanga j2 kuanzia asubuhi ukafanye hiyo kazi urudi saa kumi jioni?

Dada wa kazi si unao?

Usenge wa kurudi saa nne unatoka wapi?

Women hate themselves,you want to be men so bad,why are you guys not happy in your own skin?

Being a man sio rahisi kama mnavyodhani!Be happy with yourselves in your own lane!

Wala kupendeza sio ishu,ishu hapa ni ratiba tu!

Wanaume wanaumia sana mwanamke akirudi nyumbani usiku hata iwe sababu kubwa kiasi gani,they hate it to death!

Sema basi tu...!
Mwanaume akirudi nyumbani usiku ni sawa?!!!!!!!! Hakuna kitu wanawake tunachukia kama waume zetu kurudi nyumbani usiku, basi tu.
 
Hakuna mtu anatamani kuwa mwanaume wala sidhani eti kuomba masaa mawili matatu ya kwenda saluni eti ndio kutaka kujilinganisha na wewe.
Umeambiwa saluni weekend zinakuwa busy sana kwa hiyo uko tayari siku ya jumapili mkeo aondoke nyumbani saa mbili asubuhi akapange foleni siku nzima arudi saa kumi huku pale nyumbani akifanya housegirl kila kitu?

Ipo wazi mnataka kujifanya wanaume sana!

Sijui kwanini hampendi mumezaliwa wadada....

Ndio maana kila siku mnatafuta cha kushindana na wakaka tu,inaonesha wazi hampendi nyie kua wanawake!

Smartness ni kujua what you can do and what you can't!

Hilo swala la saluni kujaa weekend lilipatiwa solution mbona...

Maana aliponirudia mara kama mbili tatu saa nne niliwasha moto na amsha amsha moja ya hatari sana mtu akaa sawa siku hizi anasuka mchana for whatever means possible!
 
Mweeh ila we kaka sipati picha mkeo nahisi anaishi kama mtoto ndani ya numba

Back
Top Bottom