Faida na hasara za kuishi na mama mkwe

Faida na hasara za kuishi na mama mkwe

Naona wanayme wote mnafanana, mi i.efika mahaki hafi msusi ananifata nyumbani kwa gharama yoyote, sikumbuki mara ya mwisho kwenda salon ilikua lini labda ile siku ya harusi nilipoenda kupambwa, nikitoka kazini ni one way home, weekend kutoka ni na watoto au na Mr, nimeshajizoelea hayi maisha and i do enjoy it though mwanzo niliona kama ni maisha ya gerezani, but now with these four kids duuh hata muda wa kutoka kwenda salon sina

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera mama una four kids

Hata mi wangu mwanzoni aliona shida,ila sasa ameshajulia suala la saluni na mambo mengine!

Anafanya mpaka saa mbili kashamaliza kila kitu na yuko home....

Hiyo wasusi kuja home hua anafanya mara kwa mara na sidhani kama ni expensive sana...

Ni kwamba wadada wengine ni wamafia wanataka kuleta ubabe tu,anatinga saa TANO mamaeee!
 
Kuna mama wana visa, atakutafutia because tu mgombane
Sasa ukitaka mambo yaende vizuri mpende mumeo na kumheshimu utaona atakavyompanga mama yake akupende hata kama ana visa gani, jitahidi kumfanyia mumeo mambo mazuri hakika utapendwa na wakwe vizuri mno, pitia coments zangu utapata furaha ya maisha kama utazitekeleza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume tuna ushirikiano zaidi unavyofikiria.....

Mi niko chamani na wana kibao wapo chamani,sasa stori tunazipiga tunazijua wenyewe!

Hata hivyo sio wote,kuna % haipo hivi,labda wewe umebahatika na mmoja!

Ukitaka kupata takwimu sasa,pitia huu uzi mwanzo mwisho halafu angalia replies za wanaume,halafu utaniambia!

Kuna siku wanaume wa jf walishawahi kuwa imperfect!!!

Wakikaa nyuma ya keyboard wote wakamilifu

Mwingine unakuta ni marioo hapa atajifanya baba mwenye nyumba
 
Ujue kuna wanaume hawana hata habari za kuongelea maisha Yao na hao wana.

Hahahahaha

Wewe,hakuna kitu kama hicho,wanaume tuna brotherhood sana!Na hapa simaanishi pombe na baa...Nooooo!

Ila hao waduwanzi wasiokua na marafiki wenzao wa kiume hata mmoja wapo...

Ila wachache sana,na wapo kwenye depression moja ya kiduwanzi sana...

Mostly wanaume tunajuana sana makazini,kwenye biashara,nk...

Huwezi mjia mwanaume saa TANO mamaee eti akaa anakuangalia weweee.....
 
Hahahahahahah

Eti "bitter"....wala sio bitter...naongea reality hapa....

No man atakae ruhusu mkewe awe anarudi nyumbani saa NNE au TANO kila wiki wewe!

No one!

Hiyo sahau!

Ukiona unarudi haongei jua anakuvutia pumzi tu,siku ana change kibao mbona uta-blow na roho yako!
Kuna fakilia mama ndio anachelewa kurudi nyumbani na walaa hakuna shida. Ni ndoa ya miaka 30 sasa.
 
Hata mi wangu mwanzoni aliona shida,ila sasa ameshajulia suala la saluni na mambo mengine!

Anafanya mpaka saa mbili kashamaliza kila kitu na yuko home....

Hiyo wasusi kuja home hua anafanya mara kwa mara na sidhani kama ni expensive sana...

Ni kwamba wadada wengine ni wamafia wanataka kuleta ubabe tu,anatinga saa TANO mamaeee!
Ila salun panachosha maana mabo mengiii, kwa kifupi niliamua kununua vifaa vyangu muhimu vya kutengeneza nywele kama pasi, drier, hand drier kea hiyo nina chumba maalum kama min salon nyumbani ndio maana i akua rahisi kumuita msusi, na msusi mwenyewe amekua msusi wangu kwa miaka sasa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha

Wewe,hakuna kitu kama hicho,wanaume tuna brotherhood sana!Na hapa simaanishi pombe na baa...Nooooo!

Ila hao waduwanzi wasiokua na marafiki wenzao wa kiume hata mmoja wapo...

Ila wachache sana,na wapo kwenye depression moja ya kiduwanzi sana...

Mostly wanaume tunajuana sana makazini,kwenye biashara,nk...

Huwezi mjia mwanaume saa TANO mamaee eti akaa anakuangalia weweee.....

Ulivyomalizia imeonesha upo kwenye age mate gani

Ni kundi tofauti sana na ulilopo wewe.
 
Wanaume tuna ushirikiano zaidi unavyofikiria.....

Mi niko chamani na wana kibao wapo chamani,sasa stori tunazipiga tunazijua wenyewe!

Hata hivyo sio wote,kuna % haipo hivi,labda wewe umebahatika na mmoja!

Ukitaka kupata takwimu sasa,pitia huu uzi mwanzo mwisho halafu angalia replies za wanaume,halafu utaniambia!
Thubutuuu!! Wanaume wa jf mnajitiaga wababe kumbe hamna kitu, kuna hadi wanaopigwa na wake zao humu ila mnavyojikutaga kujitutumua sasa!![emoji134][emoji134][emoji134]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani ananichekeshaga huyu mtu na kunisikitisha juu.

Hahahahaha

Eti nakusikitisha......

Ongea na watu walio-face reality baada ya kuolewa kama dada Mtende wakueleze!

Huyo boyfriend wako unaekula nae bata sasa hivi atakavyokubadilikia siku amekuoa umemjia saa NNE ndio utaamini nasema kweli!

Wewe enjoy maisha to the fullest now while you can...

Once huyo matako mwenzangu kashakuoa,wewe fanya jaribio la kurudi saa TANO uone reaction yake!
 
Wewe ushalipiwa mahari na you belong to your inlaws! Kwa hiyo wewe ni mtoto wa wakwe. Na mtoto kwa mzazi hakui. Kwa hiyo kibao, fimbo toka kwa mkwe ni halali kwako[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Lol! Kwan mahari ni nin!? Ki kwetu mahari ni zawadi tu mume anampa kitu! Kitu chochote atachopenda mke!
Bado cjaona sababu yakupigwa na mkwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku wanaume wa jf walishawahi kuwa imperfect!!!

Wakikaa nyuma ya keyboard wote wakamilifu

Mwingine unakuta ni marioo hapa atajifanya baba mwenye nyumba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mmoja alitutusi wanawake kwenye uzi akidai kwanza ana uwezo wa kutulisha na ukoo wetu.
Mweeeh Mungu sio jiwe siku namkuta kwa uzi wa ontario anaomba ajira maana amechoka kunyang'anyana remote na wadogo zake nyumbani. Haki nilichekaaa.
 
Thubutuuu!! Wanaume wa jf mnajitiaga wababe kumbe hamna kitu, kuna hadi wanaopigwa na wake zao humu ila mnavyojikutaga kujitutumua sasa!![emoji134][emoji134][emoji134]

Wanaopigwa na wake zao wapo,ila percentage ni ndogo!

Tuongelee reality hapa dada yangu...

Tusiongee ushabiki tu!
 
Back
Top Bottom