Faida na hasara za kuishi na mama mkwe

Faida na hasara za kuishi na mama mkwe

Tatizo ni pale anapotaka niishi na mwanae kama yeye alivyoishi na mumewe.
 
Kwahiyo mwanamke haumii mwaume akirudi usiku? Hata mimi pia nachukia sana mume wangu akichelewa kurudi home

Ila wakaka wana privilege ya kuchelewa kijamii...Hili inatakiwa ulielewe!

Ila mnaweza wekeana maximum zenu...

Mi mwenyewe maximum yangu niliyojiwekea ni saa 4,zaidi ya hapo lazima niombe ruhusa na nitoe sababu za kutosha!

Mwanamke wangu saa mbili maximum,zaidi ya hapo ajieleze mwanzo mwisho!
 
Hili lipo wazi hata majumbani kwetu watoto wa kike wanatakiwa kurudi mapema kuliko wa kiume ila kuna special case kama hizi za saluni kaka zetu mnatakiwa muelewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mweeh ila we kaka sipati picha mkeo nahisi anaishi kama mtoto ndani ya numba

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahahahaha

Walaaaa....

Tuko poa sana and I really appreciate hua anaelewaga hoja.....

Tatizo nyie mnataka uhuru wa ajabu aisee!

Unarudi nyumbani saa NNE?..

Over my dead body,amsha amsha ntakayowasha aisee hatari!
 
Hili lipo wazi hata majumbani kwetu watoto wa kike wanatakiwa kurudi mapema kuliko wa kiume ila kuna special case kama hizi za saluni kaka zetu mnatakiwa muelewe

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani kusuka umeanza leo ulipoolewa?

Ulianza kusuka tangu ukiwa la kwanza!

Mbona ulipokua kwa baba yako ulikua unasuka na hujawahi chelewa nyumbani?

Leo umeolewa tayari ushaota pumbu ee unataka kurudi saa NNE!

Haya ngoja tuzikate zisije leta matatizo!
 
Haha majukumu unapokuwa nyumbani yanatofautiana na unapokuwa kwako tena unafanya kazi, eti kuota pumbu hahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very bitter and agressive.

Hahahahahahah

Eti "bitter"....wala sio bitter...naongea reality hapa....

No man atakae ruhusu mkewe awe anarudi nyumbani saa NNE au TANO kila wiki wewe!

No one!

Hiyo sahau!

Ukiona unarudi haongei jua anakuvutia pumzi tu,siku ana change kibao mbona uta-blow na roho yako!
 
Unavyong'hang'aniaga hiyo No man as if umekaa kwenye akili za wanaume wote.
 
Hili lipo wazi hata majumbani kwetu watoto wa kike wanatakiwa kurudi mapema kuliko wa kiume ila kuna special case kama hizi za saluni kaka zetu mnatakiwa muelewe

Sent using Jamii Forums mobile app

Sio wote dia, Nina aunt Yangu nyumbani kwake SAA kumi na mbili wote muwe mmeshaingia si wa kike wala wa kiume. Na kwa mzee kwangu watoto wa kike tu ndo alikua ana angalia umeaga? Umeenda wapi na umetumia muda gani kurudi? LA sivyo muda wote uwe home ila wa kiume full kujiachia.
 
Haha majukumu unapokuwa nyumbani yanatofautiana na unapokuwa kwako tena unafanya kazi, eti kuota pumbu hahaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahahahaa

Tena wewe Khantwe unaweza kuja kuolewa na kichwa maji mmoja ndio utaelewa somo!

Nakwambia atakata hizo kende unazofuga!

Chezea wababa wewee...

Rudi nyumbani saa tano mara mbili au tatu ndio utashangaa hivi huyu mwehu ndio yule alienioa kweli au jini!
 
Unavyong'hang'aniaga hiyo No man as if umekaa kwenye akili za wanaume wote.

Wanaume tuna ushirikiano zaidi unavyofikiria.....

Mi niko chamani na wana kibao wapo chamani,sasa stori tunazipiga tunazijua wenyewe!

Hata hivyo sio wote,kuna % haipo hivi,labda wewe umebahatika na mmoja!

Ukitaka kupata takwimu sasa,pitia huu uzi mwanzo mwisho halafu angalia replies za wanaume,halafu utaniambia!
 
Sio wote dia, Nina aunt Yangu nyumbani kwake SAA kumi na mbili wote muwe mmeshaingia si wa kike wala wa kiume. Na kwa mzee kwangu watoto wa kike tu ndo alikua ana angalia umeaga? Umeenda wapi na umetumia muda gani kurudi? LA sivyo muda wote uwe home ila wa kiume full kujiachia.
There is an exception to every rule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee ni heri utoroke kazini uende......

Aisee hakuna kitu kinawauma wanaume kama mwanamke kurudi usiku...

I can just kill only for that.....!

Unarudi nyumbani mwanaume keshafika?

Si ni laana hiyo mnajitafutia akyanani!
Naona wanaume wote mnafanana, mi imefika mahali hadi msusi ananifata nyumbani kwa gharama yoyote, sikumbuki mara ya mwisho kwenda salon ilikua lini labda ile siku ya harusi nilipoenda kupambwa, nikitoka kazini ni one way home, weekend kutoka ni na watoto au na Mr, nimeshajizoelea hayo maisha and i do enjoy it though mwanzo niliona kama ni maisha ya gerezani, but now with these four kids duuh hata muda wa kutoka kwenda salon sina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahaa

Tena wewe Khantwe unaweza kuja kuolewa na kichwa maji mmoja ndio utaelewa somo!

Nakwambia atakata hizo kende unazofuga!

Chezea wababa wewee...

Rudi nyumbani saa tano mara mbili au tatu ndio utashangaa hivi huyu mwehu ndio yule alienioa kweli au jini!
Haha tutakata za kwake kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume tuna ushirikiano zaidi unavyofikiria.....

Mi niko chamani na wana kibao wapo chamani,sasa stori tunazipiga tunazijua wenyewe!

Hata hivyo sio wote,kuna % haipo hivi,labda wewe umebahatika na mmoja!

Ukitaka kupata takwimu sasa,pitia huu uzi mwanzo mwisho halafu angalia replies za wanaume,halafu utaniambia!

Ujue kuna wanaume hawana hata habari za kuongelea maisha Yao na hao wana.
 
Back
Top Bottom