Fahamu sifa kubwa ya Infinix Hot 10 PLAY zaidi ya Samsung A02S

Kuipenda simu haiji hivi hivi tu.
Lazima kuna vitu flan vinakuvutia.
Mie iphone hapana aiseh.

Mi napenda vitu unique

LG kibongo sio nyingi sana

Unaweza ukakaa na washkaji mahala ukawa nayo peke yako.
Nadra sana kujikuta mpo yeboyebo
kama harufu ya ubaguzu just kiding weye ni left hand
 
Hzi infinix na itel na kaka yao tekno ni simu flani hiv zina waka kama tubelight.

Kustack stack sasa!! Mara ijizime na kujiwasha!!

Mara ijipige selfie!! Simu za hovyo hovyo tu!
😂😂😂😂
 
Ulichokifanya ni kuipa promo hiyo INFINIX. Hapo hiyo INFINIX ungelinganisha na SAMSUNG GALAXY C9 PRO hivi. Hapo umekuja kama tangazo la kuipromot INFINIX na si ulinganisho. Unapolinganisha tafuta zinazoelekeana
 
Tecno niliotumia nikaipenda kuna camon series kule atleast wanajitahidi...
Camon x waliua simu kali
Camon 15 ipo poa nmeiona kwa mtu

Ila hawa wakina play
Sijui go edition
Simu ina 6000 mah hii si silaha kabisa ukimbonda nayo mwizi unaua ...
Kwa mtu asiyekua na interest na simu inafaaa sana
Ila kwa wale wakina sisi ambao hatuwezi tumia simu isiyokua na kioo cha amoled....
Kwa kweli mtatusamehe
 
hili simu unaweza tumia kuvunjia vioo vya magari
 
Ulichokifanya ni kuipa promo hiyo INFINIX. Hapo hiyo INFINIX ungelinganisha na SAMSUNG GALAXY C9 PRO hivi. Hapo umekuja kama tangazo la kuipromot INFINIX na si ulinganisho. Unapolinganisha tafuta zinazoelekeana
🙏 🙏 🙏 🙏❣️
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom