hot

  1. Kitomai

    Hotel rental alert– 4 bedroom house, Upanga

    Looking for space, comfort, and prime city living? This is your opportunity! 4 Spacious Bedrooms (Master Ensuite) Bright & airy living + dining area Modern kitchen with quality fittings Secure compound with 24/7 security Parking space available 🚗 Located in the heart of Upanga – close to...
  2. Kitomai

    🔥 HOT DEAL – APARTMENT YA GHOROFA INAUZWA | UPANGA 🔥

    Unatafuta nyumba ya kisasa au uwekezaji wenye faida kubwa? Hii hapa nafasi yako! 🏡✨ 📍 Location: Upanga ✨ Features Kuu: • Vyumba 3 vya kulala (1 Master Self-Contained) 🛏️ • Sebule kubwa + sehemu ya dining 🍽️ • Jiko la kisasa 🍳 • Swimming Pool 🏊‍♂️ • Gym ya kisasa 💪🏽 • Generator (hakuna stress ya...
  3. M

    Value ya wanawake inapungua haraka, Yule binti aliekuwa too hot tukiwa rika la 20s leo anajitongozesha kwangu tukiwa 30s nimlipie deni la elf 50

    Miaka hio tukiwa kwenye 20s hii pisi haikuwa type ya kawaida, kuitongoza unywe maji koo liyakauka na huambulii kitu, kichwani smart anajijua ni mashine yenye hadhi ya watu wa aina flani, n.k. Niliwahi kujaribu kutupia nyavu lakini niliambulia virungu vya ugoko na kuishia kuwaita mashem...
  4. Kitomai

    Hot Listings Available Now!

    🔥 🏢 3 Bedrooms Apartments 🏡 Villas mpya 🌊 Sea view apartments Unit zinaenda haraka — usichelewe! 📞 0784225000
  5. COLTAN

    Naomba msaada kwenye Infinix hot 30i.

    Habariini. Natumia Infinix hot 30i. Ninatumia sim cards mbili halotel na Vodacom. Shida ipo hivi nimechagua sim 1 ambayo ni halotel kutuma meseji.Sasa nikituma meseji inaenda kwenye upande WA Vodacom ambapo sijaset Vodacom kutuma ujumbe.Shida itakuwa nini niendelee kutuma sms sim card 1 ya...
  6. Nyamwage

    Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

    Lakini washikaji hawataki kunielewa hapa wananiambia eti nimeacha bunduki nimechukua rungu🥲🥲🥲
  7. Ziroseventytwo

    Infinix hot 8 inataka PIN. Nikiweka inakataa.

    Hii simu ilivunjika display kama miezi minne iliyopita. Jana nikaweka kioo kipya. Simu inawaka vizuri ila inadai niweke PIN ambayo naweka ila inaniandikia Pin required after divice restarts. Nikii restart inaendelea kudai PIN. Ukiipigia inaita na naweza kupokea. Ila apps hazionekani. Msaada...
  8. W

    Hatua kwa hatua, Jinsi ya kuiba nyama kwenye hot pot

    01.Ingia jikoni,angalia kushoto na kulia Kama Kuna mtu anakuja 02.Angalia mkao wa mwiko / kijiko umekaaje ili mda wakuondoka uache vile vile usigeuze, usifanye kosa kizembe 03. Fungua hot pot pole pole ,usiache mfuniko upige kelele au uanguke(utashtukiwa) 04.Hesabu vipande vya nyama hakikisha...
  9. W

    Lunya alikuwa hot, kosa alilofanya ni kusaini label ya Sony, kajizika !

    Young Lunya alikuwa kwenye nafasi nzuri kwenye game kwa kutoa kazi mara kwa mara zilizo hit na kumpa umaarufu. lakini tangu asaini na label ya Sony Africa ni kama kajizika, Sony wamembana sana asitoe nyimbo kama alivyozoea, label haimpi kipaumbele.
  10. Sister Abigail

    Wanaume wanakuwaga mzunguko na hot days?

    Nauliza tu kujifunza.huwezi jua kesho naweza kuwa na familia mume anaehangaika mi sielewi kitu Je wanaume nao wanakuwaga na siku zao za joto kupanda ama hot days ambapo hormone zao zinakuwa juu na hamu pia? Ama wao ni regular tu? Nimezoea Kwa wanawake katika ule mzunguko wao Kuna siku zinaitwa...
  11. Prof_Adventure_guide

    Weka Stress Kando, Chemka Hot Spring Ni Real Vibes – Usikose!

    Yoo! Kama bado hujapiga luku Chemka Hot Spring kule Hai – Kilimanjaro, bro uko nyuma mbaya! Hii spot iko kijiji cha Rundugai, ni hidden gem ya ukweli. Maji yanachemka natural, clean afu ni hot lakini fresh – kama jacuzzi ya nature. Perfect kwa kupiga picha, kuchill na kubalance akili. Weka...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Hot Stori: "KITOTO CHA AFU MBILI"

    KITOTO CHA AFU MBILI Mtunzi: Robert Heriel #+255693322300 Age. 18+ EPISODE 01 "Unafikiria nini Mpenzi" " Mmmh! Sio Jambo kubwa!" " Upo mbali Sana. Kama sio Jambo kubwa litakuwa Jambo gani " " Bado natafakari mtunzi wa simulizi ya mapenzi yetu. Natamani...
  13. M

    Nauza Simu Infinix hot 40 pro

    Nauza simu NI mpya kabisa Infinix hot 40 pro GB 256 Ram 16
  14. Prof_Adventure_guide

    HAYA FURSA NYINGINE HII HAPA YA KUTEMBELEA CHEMKA HOT SPRING KWA WAKAZI WA MOSHI NA ARUSHA HII INWAHUSU

    Habari za kila mmoja humu, leo nawaletea mchingo mwingine huu hapa wa kwenda kutembelea paradiso ya maji moto ya chemka iliyopo wilaya ya hai mkoani Kilimanjaro. Hapa huoendwa kutembelewa na watu wengi zaidi hasa wanachuo hivyo tunakuletea fursa hii mezani ili uweze kutembelea paradiso ya maji...
  15. Prof_Adventure_guide

    Karibu Chemka Hotspring. Unaweza kutembelea Chemka kwa gharama nafuu zaidi

    Leo nawaletea fursa nyingine hii ya kutembelea Hidden game iliyopo mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Hai, Kijiji cha Rundugai, tunatoa ofa kwa wakazi wa Kilimanjaro na Arusha kutembelea Chemka Hot Springs kwa gharama nafuu sana zaidi Kwa TZS 35,000 unaweza kwenda kupumzusha akili katika paradiso...
  16. Prof_Adventure_guide

    Twende tukaifahamu chemka hot springs kwa waliopo kilimanjaro na Arusha, Tangazo letu lipo hapo chini na mawasiliano yetu yapo kwenye Tangazo

    Habari! Karibu kwenye jukwaa la jamii yetu! Leo tungependa kujadili safari ya kutembelea Chemka Hot Springs. Kwa kufanya hivyo, wageni watajipatia fursa nyingi muhimu. Kwanza kabisa, kutembelea Chemka ni njia nzuri ya kupumzika na kujiondoa mbali na msongamano wa maisha ya kila siku. Pia, wageni...
  17. Waufukweni

    Aliyefutiwa Uraia Afrika Kusini, Chidimma ashika nafasi ya tatu kwenye Miss Universe Pre Arrival Hot Picks

    Mrembo wa Nigeria aliyefutiwa Uraia nchini Afrika Kusini, Chidimma Vanessa Adetshina ameshika nafasi ya tatu Duniani kwenye Miss Universe Pre Arrival Hot Picks. Soma, Pia: Afrika Kusini yamfutia uraia mrembo wa Nigeria, Chidimma Adetshina pamoja na Mama yake Chidimma Adetshina, ambaye alikuwa...
  18. Action and Reaction

    Kioo cha Infinix Hot 10i kinauzwaje kwa duka!

    Mafundi simu wanasema pamoja na ufundi ni 45 mpaka 55 elfu.... Sasa me nataka nijue gharama ya kioo chenyewe ili ikiwezekana nibadishe mwenyewe hicho kioo!
  19. Action and Reaction

    Naomba mnijuze kioo cha Simu aina ya Infinix Hot 10i kinauzwaje kwa duka!

    Hivi vioo bya simu sikujui wanauje maana mafundi wengi wanakwambia, kubadili kioo ni 45 mpaka 55 elfu... Me nataka nijue bei ya kioo pasipo ufundi
  20. Dj_pacha the baddest

    Infinix Hot 11 Play haingizi charge kabisa

    Habari wanazengo? Mwezi ulipoita nilichukua simu aina ya Infinix hot 12 play nikawa natumia lakin charge yake nikasahau Mkoa flani na mimi nikaenda mkoa mwingine sasa nikawa naitumia na simu ilikuwa na asilimia 100% na ilipokuwa inapungua nikawa natumia charge ya infinix lakini tofauti na...
Back
Top Bottom