Kati ya Infinix na Samsung simu gani nzuri?

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Infinix NOTE 30 na Samsung A24 ni miongoni mwa simu janja ambazo zimeachiliwa Mwaka huu na kuuzika katika mataifa mbalimbali. Simu hizi zinatofautiana bei na baadhi ya sifa hivyo basi leo tutaangaza tofauti kati ya simu hizi mbili

Infinix%20%20Vs%20Samsung.jpg

Camera
Infinix Note 30 upande wa kamera nyuma imekuja na 64mp+8mp+2mp na kamera ya mbele ni 16mp Wakati Samsung A24 kamera ya nyuma ni 50mp + 5mp + 2mp na kamera ya mbele ni 13mp ila Infinix inatoa picha Kali zaidi kwenye mazingira yoyote Yale kuanzia jua Kali , kiza kinene kuliko Samsung.

View attachment 2741166

Processor
Simu zote zinatumia processor aina Moja Mediatek Helio G99 zikiwa na CPU ni 2.2Ghz , zote zinatumia processor nzuri zenye nguvu kuweza kuendesha app mbalimbali , games, kuperuzi, kupakua vitu mtandaoni bila kuganda ganda au kuwa nzito.

View attachment 2741167

Battery
Simu zote zimekuja zikiwa na ujazo wa mah5000 ila ziko tofauti kwenye teknolojia ya fast charging Infinix Note 30 iko na 33W na Samsung A24 25W. Infinix Iko spidi kwenye kupeleka chaji kwa haraka na kuja kuliko Samsung kwani Infinix inachukua dakika 30 kujaa chaji mpaka toka asilimia 0 mpaka 70%.

View attachment 2741170

Ram na Rom
Infinix Note 30 imekuja ikiwa na uwezo mkubwa wa kuhifadhi vitu storage yake ni 256Gb na Ram 8Gb unaweza kuongeza mpaka kufikia asilimia 16Gb wakati Samsung A24 storage yake ni 128Gb na Ram 6Gb Infinix imemzidi uwezo Samsung.

View attachment 2741163

Android version
Simu zote zimekuja zikiwa na mfumo wa android version 13 utaweza kujipatia feature mbalimbali mpya kwa kila moja, pia zote zitapokea android version 14 ikitoka pia zote zinatumia 4G kwenye upande wa kuperuzi mitandaoni bila shida yoyote.

Speaker
Infinix note 30 imekuja ikiwa na dual speaker zenye kutumia mfumo wa JBL wakati Samsung imekuja ikiwa na speaker Moja tu hivyo Infinix ukiwa unaangalia kitu unaweza sema umefungia home theater.

View attachment 2741168

Display & refresh rate
Samsung imekuja ikiwa na kioo Cha AMOLED Display vyenye kutoa picha Bora kama mnavyojua wakati Infinix imekuja ikiwa na kioo Cha IPS vina sifa ya kuwa imara sio vepesi kuvunjika.

Refresh rate ni muhimu inaongeza ubora kwenye kioo kwani refresh ikiwa kubwa ndipo unavyozidi kufurahia ufanisi wa simu Samsung refresh rate imekuja na 90Hz wakati Infinix note 30 ni 120Hz.

View attachment 2741164

Muundo wake
Zote zimekuja zikiwa na umbo tambarare, vikiwa na vioo vipana frame zake ni za plastiki isipokuwa nyuma Zina tofautiana Samsung nyuma ni plastiki wakati Infinix Note 30 material yake ya nyuma ni glass na leather. Note 30 imejichukulia tuzo ya Paris award 2023 kwa kipengele Cha best product design/ media & home electronic.

Simu zote zinapatikana madukani yote ya simu pia zinapatikana kwa mkopo katika kipindi hiki Cha promosheni ya jipatie kwa Infinix.

Unaweza wapigia sasa kupitia namba hii
0659987284

View attachment 2741169

Kwa sifa nilizozitaja unafikiri ni simu Gani Bora kati ya Infinix Note 30 Vs Samsung A24 tuachie maoni yako ? View attachment 2741165
 
Huyu jamaa anafanya matangazo ya biashara ili apate wateja,basi sawa mi nimekuelewa mkuu
 
Bei ingesaidia sana kujua ipi ni nzur na bora zaidi ya nyingine.
 
Back
Top Bottom