Zifahamu simu bora za Infinix mwaka 2023

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—•๐—ผ๐—ฟ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐—œ๐—ป๐—ณ๐—ถ๐—ป๐—ถ๐˜… ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฏ

Moja Kati ya kampuni inayokuja kwa Kasi mwaka 2023 ni Infinix ambayo imekua ikitoa simu za aina mbalimbali zenye muonekano mzuri, picha, uwezo , ufanisi nk.

Leo nakuletea list za simu Bora toka kampuni ya Infinix ikitokea unahitaji simu basi hakikisha unamiliki hizi simu utazipenda balaa

Tumeangalia mambo mbalimbali katika kutoa list za simu Bora toka kampuni ya Infinix
โ€ข muonekano mzuri , ufanisi wakati unatumia simu
โ€ข betri imara Yani yenye kudumu na chaji
โ€ข speaker nzuri zenye kutoa sauti nzuri
โ€ข storage ya kuhifadhi vitu , ram,
โ€ข kamera yenye kutoa picha Kali Kwenye mazingira yoyote bila shida.
โ€ข zenye uwezo wa kupokea android version 14, na kuendelea.

images%20(78).jpg


Tafuta simu zifuatazo
  • Infinix Note 30 VIP
  • Infinix Note 30 Pro 4G
  • Infinix Hot 30
  • Infinix Zero ultra 5G
  • Infinix Zero 20
  • Infinix Note 10 pro
  • Infinix Zero X
  • Infinix Note 12 5G
  • Infinix Gt 10 pro

Ukifanikiwa kutumia hizo simu utaweza ku enjoy sana vipi tuachie maoni Yako unatumia simu gani ya Infinix ? Je utakuja kununua hizi simu au lah ?
 
Back
Top Bottom