infinix

  1. K

    JamiiForums Tanzania Chaji Aina ya Infinix Type C inauzwa

    Habari wakuu chaji Aina ya Infinix inauzwa bei sh 15000 aina kipengere chochote karibuni
  2. K

    JamiiForums Tanzania Chaji Aina ya Infinix Type C inauzwa

    Habari wakuu nauza chaji ya Infinix Type C bei 15000 maelewano yapo ndo mpya inachaji vizuri karibuni wakuu
  3. COLTAN

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natumia Infinix Smart 6

    Habari. Natumia Infinix smart 6 Nikita kukata simu kwenye display inaonesha rangi nyeusi mpaka akate MTU niliye mpigia. Nawezaje kuondoa hii??
  4. Sister Abigail

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu yangu Infinix note 12, nimekwama

    .
  5. COLTAN

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwenye Infinix hot 30i.

    Habariini. Natumia Infinix hot 30i. Ninatumia sim cards mbili halotel na Vodacom. Shida ipo hivi nimechagua sim 1 ambayo ni halotel kutuma meseji.Sasa nikituma meseji inaenda kwenye upande WA Vodacom ambapo sijaset Vodacom kutuma ujumbe.Shida itakuwa nini niendelee kutuma sms sim card 1 ya...
  6. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

    Lakini washikaji hawataki kunielewa hapa wananiambia eti nimeacha bunduki nimechukua rungu🥲🥲🥲
  7. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Infinix hot 8 inataka PIN. Nikiweka inakataa.

    Hii simu ilivunjika display kama miezi minne iliyopita. Jana nikaweka kioo kipya. Simu inawaka vizuri ila inadai niweke PIN ambayo naweka ila inaniandikia Pin required after divice restarts. Nikii restart inaendelea kudai PIN. Ukiipigia inaita na naweza kupokea. Ila apps hazionekani. Msaada...
  8. Royal Son

    JamiiForums Tanzania ORIGINAL INFINIX BUDS LITE

    Sauti Safi na Basi Nzito: Vina spika za 13mm zinazotoa sauti yenye uwazi na basi yenye nguvu, inayofaa kwa wapenzi wa muziki. ✅ Uondoaji wa Kelele kwa Simu (AI ENC): Teknolojia ya AI ENC inahakikisha mawasiliano ya simu ni wazi hata katika mazingira yenye kelele. ✅ Muda Mrefu wa Betri: Hutoa...
  9. black-tz

    JamiiForums Tanzania Ushawahi zurura kweny simu yako ukakuta neno "NFC" au watumia infinix okay

    USHAWAHI ZURURA KWENY SIMU UAKO UKAKUTA NENO "NFC" 🥲 AU WATUMIA 😂 INFINIX okay NFC NI KIFUPI CHA (Near Field Communication) NFC ni teknolojia ya wireless communication inayoruhusu mawasiliano kati ya vifaa viwili vilivyo karibu (karibu cm 4–10). Inatumika wapi? Kufanya malipo (e.g...
  10. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Tunauza Infinix Buds Lite. Tuko Arusha

    Infinix Buds Lite Clear Vocals ✅ Rich Bass & Powerful Sound✅ Noise Cancellation for Calls✅ AI for ENC✅ Comfortable & Secure Fit 25 hrs playTime Witha Case Tsh 30,000/= 🔥 INFINIX BUDS LITE ☎️ 0712350159 FREE DELIVERY AROUND ARUSHA TOWN
  11. P

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Infinix smart 7Hd

    Infinix smart 7hd Storage 64Gb Bei 140,000/= Ubungo darajan 0️⃣7️⃣6️⃣9️⃣5️⃣0️⃣3️⃣9️⃣6️⃣8️⃣
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Simu Infinix hot 40 pro

    Nauza simu NI mpya kabisa Infinix hot 40 pro GB 256 Ram 16
  13. K

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Infinix Smart 8 ipo sokoni

    Infinix smart 8 Imenunuliwa mwezi wa 7 mwaka huu. RAM 3GB Storage 64GB Battery 5000mAh Bei 220,000/= maongezi kidogo yapo. Mwenye uhitaji karibu inbox Asante.
  14. Achimwene2014

    JamiiForums Tanzania Muuzaji wa simu mpya aina ya Infinix anahitajika

    Wakuu kuna dada mmoja anajihusisha na uuzaji wa simu za Infinix ila simkumbuki na uzi wake sijaupata humu jf. Hivyo kama bado anaendelea na huduma hii naomba tuwasiliane. Nawasilisha.
  15. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Infinix, Tecno na Itel ni friendly kwenye matumizi ya MB

    Nina experience ya muda mrefu wa kutumia Infinix, Tecno na Itel Kuna kitu nimenotice baada ya kuachana na matumizi ya simu hizo kimsingi ukweli usemwe hizo simu ziletengenezwa kuminimize cost kuanzia price ya kununulia mpaka maintenance. Wakati natumia Infinix wiki kadhaa nyumba bundle la jero...
  16. jahanbaksh

    JamiiForums Tanzania Chukua Infinix Smart 7 au Sony Experia 8 kwa 170 na 180

    Sony Experia 8 Rom 64 GB PRICE 180
  17. 90sgeneration

    JamiiForums Tanzania Fib & spring sofaset 390k

    Sofaset nzuri sanaa ya fiber na springs pia. Ipo mbezi Contact: 0697224996
  18. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Kioo cha Infinix Hot 10i kinauzwaje kwa duka!

    Mafundi simu wanasema pamoja na ufundi ni 45 mpaka 55 elfu.... Sasa me nataka nijue gharama ya kioo chenyewe ili ikiwezekana nibadishe mwenyewe hicho kioo!
  19. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Naomba mnijuze kioo cha Simu aina ya Infinix Hot 10i kinauzwaje kwa duka!

    Hivi vioo bya simu sikujui wanauje maana mafundi wengi wanakwambia, kubadili kioo ni 45 mpaka 55 elfu... Me nataka nijue bei ya kioo pasipo ufundi
  20. Dj_pacha the baddest

    JamiiForums Tanzania Infinix Hot 11 Play haingizi charge kabisa

    Habari wanazengo? Mwezi ulipoita nilichukua simu aina ya Infinix hot 12 play nikawa natumia lakin charge yake nikasahau Mkoa flani na mimi nikaenda mkoa mwingine sasa nikawa naitumia na simu ilikuwa na asilimia 100% na ilipokuwa inapungua nikawa natumia charge ya infinix lakini tofauti na...
Back
Top Bottom