Fahamu sifa kubwa ya Infinix Hot 10 PLAY zaidi ya Samsung A02S

Krait

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
3,050
2,000
Mafundi kanjanja wa kkoo, wanawaibia maboya sana, bora umempa za uso
Ndo unavyojidanganya sio?,

Hiyo kitu ikishalock kurecovery password ni kipengere kingine,

Kuna watu na elimu zao huwa wanashindwa kurecovery, sio kama wanashindwa kufuata maelezo, hapana ila utashangaa unaingiza namba ya simu uliyofungulia Oppo ID na bado inakugomea,

Mfano halisi leo kuna jamaa alikuja na iPhone 6s plus, ipo desabled baada ya kuingiza lockscreen passcode mara kadhaa na anasema alikua anaingiza kwa usahihi lakini akashangaa inakataa, nikairestore kwa iTunes kisha nikaanza kumsaidia kurecovery password ya iCloud, kwenye taratibu za kurecover wanaonyesha namba kabisa ambayo watatuma veryfication code lakini cha ajabu msg hazingii na laini ipo hewani, ikabidi nimwambie tutumie email ndo wakatuma kupitia email, lakini bado kwenye kurecovery ikawa inagoma kutokana na kujaribu mara nyingi ikawa suspended kwa masaa 24

Nyie mnaojifanya wajuaji ndo huwa mnaibiwaga simu kizembe sana kwa madai simu zenu mmeziwekea security, lakini zikipelekwa kwa mafundi simu huwa zinavurugwa kirahisi sana

Watu wanatoa iCloud za iPhone zenye MEID na simu inashika Network sembuse hizo OPPO?

SIKU JISAHAULISHE PASSCODE KWA MADAI UMEILINK NA OPPO ACCOUNT KISHA ANZA KUIRECOVER NDO UTAKAPOJUA HUJUI
 

Krait

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
3,050
2,000
password nimelink na oppo account

Oppo account nimelink na namba ya simu.

Namba ya simu nimesajili na NIDA.

150K yangu hupati
Ukishasahau password hata access ya Oppo account hupati mpaka utumie pc au device nyingine

Kulink na namba ya simu unaweza ukalink ila kwa mitandao hii ya kibongo bongo utashangaa sms haziingii
 

Philipo D. Ruzige

Verified Member
โœ…
Sep 25, 2015
7,302
2,000
Ukishasahau password hata access ya Oppo account hupati mpaka utumie pc au device nyingine

Kulink na namba ya simu unaweza ukalink ila kwa mitandao hii ya kibongo bongo utashangaa sms haziingii
Jins nimelink vitu vyangu suala la password kusahau au kusumbua ni ndoto ya mchana bro.


Nina hakika kabisa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom