The End..
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 4,362
- 3,846
nakuaminia.. mpaka tutekwe mwaka huu...!!!Ikifika muda wa kuvuruga nistue
Nina degree ya kuvuruga vikao![]()
nakuaminia.. mpaka tutekwe mwaka huu...!!!Ikifika muda wa kuvuruga nistue
Nina degree ya kuvuruga vikao![]()
Hahaha.Hehee nimekua wapi mm jamanView attachment 500661
Nitakuwa nakushtua. Nilijua unapika mida ileMbona hujaniita mpk ubuyu unaisha humu
Sawa.

U need to polish your interviewing skills....this is the worst interview i've read in JF.Za muda huu wadau. Hope mpo Ok.
Karibuni katika interview. Kama mada ilivyo ni pana ila Tutajaribu kuangalia kwa ujumla ni kwa namna gani suala la online dating kwa context yetu ya kitanzania linavyochukuliwa na jamii hasa wazazi na daters wenyewe.
Interviewee kwa leo atakuwa Shunie. wadau wengine mtakaribishwa kuuliza maswali pale itapowezekana.
Sijawahi kufikiria criticisms kama ni hating bro.. I always take it as way to pave.U need to polish your interviewing skills....this is the worst interview i've read in JF.
I aint no hater, im just being honest.
Maswali too predictable. Hakuna seriousness kutoka kwako,unaemhoji na wasomaji. Haijulikani nani anauliza,nani anaulizwa.Sijawahi kufikiria criticisms kama ni hating bro.. I always take it as way to pave.
ndiyo mara ya kwanza ndiyo maana. Shida nini...questions, languages, or?
Maswali too predictable. Hakuna seriousness kutoka kwako,unaemhoji na wasomaji. Haijulikani nani anauliza,nani anaulizwa.
Wasomaji wanauliza,wanajibu yaani vurugu tupu na hio yote ni kwasababu wewe umeshindwa ku control situation.
Hahaha..!! Itaundwa kamati ya uchunguz mda si mrefuVp mbona kimya bashite kavamia studio nini?
mhhhh humu kuna ukoo tena?? DABY huku unaita shemeji uzi huu una mamdogoAisee
asante bamdogo nimekaribia
Karibu saana mamdogo ----
Interviewee mwenyewe mwoga, anataka simple questions, mara amechoka anataka akalaleNi kweli watu wanazingua nilimwomba paw anisaidie kuhariri hizo comments zingine lkn sijui kwann hajafanya hivyo. Watu niliwaomba watulie lakini wapi nafikiri waliendeleza ule utani wangu na wao sehemu tuwapo nyuzi zingine.
.interviewee ilinichukua muda kumpa ujasiri maana alikuwa hatak anaona aibu na aligoma kuulizw technical quest. Vingine nitarekebisha mkuu.
. Hii kitu inahitaji mtu jasiri anayeweza kujibu kila anachotupiwa
Sure..Interviewee mwenyewe mwoga, anataka simple questions, mara amechoka anataka akalale. Hii kitu inahitaji mtu jasiri anayeweza kujibu kila anachotupiwa
![]()
Jibu mubasharaSijawahi ila nina mifano kadhaa kupitia rafiki zangu
Maminto jiaminiNingependa nikutane na mtu iwe love at the first sight,haya mambo ya online dating mtu ana ghairi mawawazo baada ya kukuona live. Wakati huo umepoteza muda mwingi kuchat na kuongea kwenye simu.
Pole mamyNilijenga nyumba kumbe iko angani.
Ni kweli watu wanazingua nilimwomba paw anisaidie kuhariri hizo comments zingine lkn sijui kwann hajafanya hivyo. Watu niliwaomba watulie lakini wapi nafikiri waliendeleza ule utani wangu na wao sehemu tuwapo nyuzi zingine.
.interviewee ilinichukua muda kumpa ujasiri maana alikuwa hatak anaona aibu na aligoma kuulizw technical quest. Vingine nitarekebisha mkuu.
Ni kweli mkuu.Siyo mbaya ukichukulia kwamba ni mwanzo, ila nadhani kulikuwa na umuhimu wa kumwandaa mapema interviewee ili muda uwe sahihi, maana amechoka tukiwa bado tunasubiri.
Watu wamefanya interference nyingi sana, wamezingua.
All the best for next interviews, Shunie pia katubania.
Ni kweli mkuu.
Najaribu kuwasiliana na mods hizo interference zifute ili baadae tuendelee.