Hapo nimekupata kijanano Saint Ivuga ila ukiangalia post anavyokaribishwa mamdogo... kuna commet ya kwanza mamdogo kajibu.. sasa jina naona limeandikwa gentlemanx ndo sijaelewa hapo..!!!!
Mi sina mambo hayo kama daby
jiandae na yale maswali ya kuvuruga kikao.. si unayo!!!!The End... nipo tufuatilie interview ya Daby na Shunie
Yani weqe jamaa unamfungua ili aingiebkingi umchapeWow, kumbe kuna watu mnapendana na mmejuana kupitia JF HONGERA japo umetuachia maswali mengi.
Maswali bado bado. Naomba univumilie kidogo.
Unahisi ni changamoto zipi kupata mpenzi kupitia mtandaoni? Zinaweza kuepukika? How
mimi umenipata fresh... vp huyo aliyejibu nae umempata..!!!!!Hapo nimekupata kijana
Pamoja chief...... Hukupanga sub????Wadau naona shunie kapotea.
Mamdogo kama mida za kumhudumia shemeji zimefika tunaweza kuquit na kuendelea wakati mwingine.
Samahanin wakuu tulichelewa kuanza ndiyo maana hii changamoto imejitokeza.
Changamoto za kuziepuka unajua mtu anaweza kukufata labda amekutamani tu sbbu unavutia kikubwa ni kusomana na kujua huyu mtu ni sahihiWow, kumbe kuna watu mnapendana na mmejuana kupitia JF HONGERA japo umetuachia maswali mengi.
Maswali bado bado. Naomba univumilie kidogo.
Unahisi ni changamoto zipi kupata mpenzi kupitia mtandaoni? Zinaweza kuepukika? How
halaf nasinziaNi decent girlKwakuwa Yeye Ni..........????
Ikifika muda wa kuvuruga nistuejiandae na yale maswali ya kuvuruga kikao.. si unayo!!!!

Sijampataamimi umenipata fresh... vp huyo aliyejibu nae umempata..!!!!!
Vikao vya arusi au???Ikifika muda wa kuvuruga nistue
Nina degree ya kuvuruga vikao![]()
Chochote kinachoitwa kikao ..hata vya misibani pia nimebobeaVikao vya arusi au???
Nakupenda bure skyNingependa nikutane na mtu iwe love at the first sight,haya mambo ya online dating mtu ana ghairi mawawazo baada ya kukuona live. Wakati huo umepoteza muda mwingi kuchat na kuongea kwenye simu.
Changamoto za kuziepuka unajua mtu anaweza kukufata labda amekutamani tu sbbu unavutia kikubwa ni kusomana na kujua huyu mtu ni sahihi
Bamdogo punguza bas maswali makalihalaf nasinzia
sawa bamdogo usiku mwema tutaonana kesho mapemaChangamoto ni kutamaniwa badala ya kupendwa na njia umesema ni kumsoma huyo mtu kabila ya kumkubali. Nice.
Kama unasinzia na kesho ni siku ya kazi nikutakie usiku mwema mama mdogo naomba kesho utenge muda tumalizie wadau wanamaswali mengi saana..usiku mwemaa.
Mbona hujaniita mpk ubuyu unaisha humuNi decent girl