Exclusive interview: Online dating(uchumba-ndoa)

Kwa wenzetu ng'ambo online dating ni jambo la kawaida sana ila kwetu linachukuliwa kwa namna tofauti..shida unafikiri ni nini?

Wew, Unauthubutu wa kumwambia mzazi wako baba nimekutana na Daby Facebook,JF, hivyo tunataka kuoana!!!
shida ya kwetu uongo mwingi na usanii wazungu wako wazi
kuhusu swala la kumwambia mzazi ikifikia unamwambia mlipokutana na mwenzio kama ni fb, kama ni insta au jf
 
Safi, kwa mzazi wako haileti ukakasi kumwambia kuna mpenzi wangu tumekutania Facebook anataka kunioa? Au utaficha ilihali siri mnaijua wawili na mpenzio!
 
hahaha naweza sana
Hapo vidume wa humu lazima watachekelea.

Love connect ya JF imewasaidia wengi saana kupata wenza ila wengi pia wanapinga mahusiano ya namna hii ndiyo maana mtu akianzisha thread watu wanamuuliza mtaani pamekushinda..n.k

Pia, wanadai wanaotafuta wenza mitandaoni ni rejects. Na kweli ukiangalia kuna kaukweli fulani..!unaliongeleaje hili! Unaimani wengi ni rejects!
 
hapana si kweli ila inategemea mwingine hawezi kumface mtu kumwambia ukweli ana kwa ana
 
Duuh inategemea Daby ujue nina mfano wa kaka angu alimpata mke wake fb nikaona kwenye familia yetu mpk wakakaa sawa ilichukua mda
Na imani ndoa yao bado ipo..mungu awafikishe mbali.

Kwanini wazazi wanakuwa wagumu kukubaliana na hili. Je, unahisi wapo sahihi kuwa na wasiwasi na haya mapenzi yetu ya mitandaoni?
 
Domo zege au sijakuelewa. Ok labda nisikulishe maneno. Watu wanaotafuta wenza mitandaoni ni watu wa namna gani maana kanisani wanawake /wanaume wapo mashuleni /mitaani wapo kwanini aje mtandaoni?
Sio kwamba wanatafuta mitandaon hapana sema uwa inatokeaga watu kukutana mitandaon sio kwamba awajaona mitaaani wala mashulen wala kanisani uwa inatokea tu mda mwngn uenda ukasema Mungu kapend kunikutanisha na uyu mtu mtandaon pia nayo kuna nyingine pia utokeaga mashulen mitaaaani naweza jib vle vle ni mipango ya Mungu muda mwingine

kila kitu kinatokea kwa sababu
 
Lakini pia kuna makanisa yanapinga mahusiano ya namna hii.(tutatoka nje ya mada)

Naomba niulize swali chokonozi. Asilimia nyingi za mabandiko ya love connect umri ni 28-30-40 kwenda juu. Mtoe wasiwasi member wa JF kwanini inakuwa hivi kama kweli sio rejects..?
 
Na imani ndoa yao bado ipo..mungu awafikishe mbali.

Kwanini wazazi wanakuwa wagumu kukubaliana na hili. Je, unahisi wapo sahihi kuwa na wasiwasi na haya mapenzi yetu ya mitandaoni?
Inategemea na mzazi na mzazi kua na wasiwasi kwa kua wazaz hawalingani kuna wazazi waelewa
na kuna wazazi ambao kidogo ni watata mana huwez kuingilia mapenz ya mtt wako kwa kuwa huwez jua walikokutana na walivoishi mpaka akaja kumleta kwako na kumtambulisha
 
Kuna changamoto sana kwenye hilo

Kuna couple walikutana fb wakaoana lakini ni wachache ndio tuliojua ukweli

Ila walikubaliana wadanganye wasiseme walifahamiana fb hasa kwa wazee
 
Lakini pia kuna makanisa yanapinga mahusiano ya namna hii.(tutatoka nje ya mada)

Naomba niulize swali chokonozi. Asilimia nyingi za mabandiko ya love connect umri ni 28-30-40 kwenda juu. Mtoe wasiwasi member wa JF kwanini inakuwa hivi kama kweli sio rejects..?
hahahha Daby bwana eb naomba nisijibu hili swali
 
Back
Top Bottom