Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,194
- Thread starter
- #41
Naona umetoa majibu mawili kwa mpigo yes na no. Ila nilivyokuelewa usahihi wa online dating kwako utakuwa yes baada ya kuangalia uelekeo wa hayo mahusiano yaliyoanzishwa.Siwez sema ndio au hapana kwasababu unaweza ukaaanzisha mausiano kweny mitandao na mtu ambae bdae ukafika nae mbali ki maendeleo na mkaoana na mkafanya maisha
2: naweza sema hapana kwa sababh hizi unaweza anzisha mahusiano kweny mitandao ukapata mtu ambae haelewek yan sio mkwel ni mchezeaji akakuteka akakulaghai ikafika atua mkaaachana na kutoleana maneno mabaya kweny mitandao
Swali : kwako ulishawahi kuwa na mahusiano na mtu kupitia hii njia?

, nalala bac ikiwa tyr Daby plz niamshe