Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,193
- Thread starter
- #61
Labda kwanini haujawahi? Hakuna mwanaume aliyejitokeza mtandaoni na kukutongoza au wanakuja wasiokidhi vigezo unawakatalia? Maana kwa ulivyo maarufu hapa lazima utakuwa umetongozwa tu.Sijawahi ila nina mifano kadhaa kupitia rafiki zangu
Hongera kwa marafiki zako kama mahusiano yao yanaenda vizuri.

