My bradah just mind your business and stop day time dreams, aliye uchi haoni aibu wewe unaechungulia ndio unauna aibu ebooo, imetokaaa ikurudi pancha!Samahani mkuu, nimeeleza tu hisia zangu kwa nilichoona alhamisi 9 Dec 2010
Mi nimesema tuliachana, hayo ya kupigwa chini umeyaleta wewe. Bado nasisitiza kilichotokea jana ni a total mismatch, to the disadvantage of the dear sister. Kwa mtazamo wangu, she deserves better, siyo type ile kabisa. Nahisi kakosa uvumilivu tu.
Naona watu wameninangaaa! Poa washkaji. Lakini namshukuru Preta kanielewa. Badae wakuu.
acha kutapatapa wewe. acha jamaa ale vitu vyake, we si ulijifanya kichwa ngumu?
Tena keshanasisha
Tuliachanaga miaka mingi sana kwa hiyo nilijua sina hisia yoyote naye tena. Alivyonijulisha anaolewa anaomba mchango wa send-off nikamchangia kama kawaida na send-off nimeshiriki sherehe juzi 9 December. Sasa sijui ni kwanini nilipomwona yule mchumba wake alhamisi ile, nikaanza kuhisi kwenye nafsi yangu kwamba yule jamaa hamfai, yaani kwa ninavyomfahamu yule dada ile siyo type yake kabisa! Dada kakosea kuchagua bana, no! Siwezi kueleza hii hali, naamini siyo wivu but no, siyo yule kabisa bana!
Habri yako bwana Kimbweka. Tuashumu huyo,kwa avatar yako ndo anaolewa bila ridhaa yako baada ya hapo....
:hail:
Tuliachanaga miaka mingi sana kwa hiyo nilijua sina hisia yoyote naye tena. Alivyonijulisha anaolewa anaomba mchango wa send-off nikamchangia kama kawaida na send-off nimeshiriki sherehe juzi 9 December. Sasa sijui ni kwanini nilipomwona yule mchumba wake alhamisi ile, nikaanza kuhisi kwenye nafsi yangu kwamba yule jamaa hamfai, yaani kwa ninavyomfahamu yule dada ile siyo type yake kabisa! Dada kakosea kuchagua bana, no! Siwezi kueleza hii hali, naamini siyo wivu but no, siyo yule kabisa bana!
Habari ndungu huwa sitembelei anga hizi lakini naona hapa imebidi....... Kama ameolewa hatakuwaje demu wako tena..... jamaa hamfai???? kumbuka..... True love is not finding a perfect man, but loving an imperfect man perfectly...
punguza kujikweza dogo. Eti huwa hutembei anga hizi
Habari ndungu huwa sitembelei anga hizi lakini naona hapa imebidi....... Kama ameolewa hatakuwaje demu wako tena..... jamaa hamfai???? kumbuka..... True love is not finding a perfect man, but loving an imperfect man perfectly...
...... wake alhamisi ile, nikaanza kuhisi kwenye nafsi yangu kwamba yule jamaa hamfai, yaani kwa ninavyomfahamu yule dada ile siyo type yake kabisa! Dada kakosea kuchagua bana, no! Siwezi kueleza hii hali, naamini siyo wivu but no, siyo yule kabisa bana!
samora unapenda kujibamiza chini...hivi huumii????:teeth: