Ex-GF wangu kaolewa jana

Kila mwanamke anapenda aolewe. Ulipomwacha wewe na alipoona muda unakwenda akawa desperate. Jamaa alipojitokeza tu akamrukia, bila kujali kama anamfaa au sivyo. Alichotaka ni kuolewa kwanza mengine baadaye. ndiyo kawaida ya wanawake baada ya kusota muda mrefu bila kuolewa.

Mimi naamini huo si wivu ila unamwonea huruma huyo ex- wako
 
Sasa hayo ndo yanaitwa maneno ya mkosaji!!We kinachokufanya uamini huyo jamaa hamfai ni haraka yakuolewa tu ...ni nini haswa??
Kila mwanamke anapenda aolewe. Ulipomwacha wewe na alipoona muda unakwenda akawa desperate. Jamaa alipojitokeza tu akamrukia, bila kujali kama anamfaa au sivyo. Alichotaka ni kuolewa kwanza mengine baadaye. ndiyo kawaida ya wanawake baada ya kusota muda mrefu bila kuolewa.

Mimi naamini huo si wivu ila unamwonea huruma huyo ex- wako
 
Kila mwanamke anapenda aolewe. Ulipomwacha wewe na alipoona muda unakwenda akawa desperate. Jamaa alipojitokeza tu akamrukia, bila kujali kama anamfaa au sivyo. Alichotaka ni kuolewa kwanza mengine baadaye. ndiyo kawaida ya wanawake baada ya kusota muda mrefu bila kuolewa.

Mimi naamini huo si wivu ila unamwonea huruma huyo ex- wako

mie naamini ni huyu mleta mada ndio kawa desperate kwa mawivu baada ya kuona alichokiacha kina thamani labda alikokimbilia ni moto.
 
Brother man, it seems as if you weren't fully over her even though you say y'all broke up many moons ago.

Because If you had fully moved on forward past her then you wouldn't be getting those pangs of jealousy.

And too bad you have no authority to decide what kind of a man is suitable for her at this stage in her life.

Just let the girl live her life. You have yours too. Live it.
 
Wivu huoni lakini roho inauma. Ulimwachia nini?

Umegeuka hadithi ya Sungura na Zabibu, alipoona hawezi kuzipata akasema 'sizitaki zile mbovu'

Pole sana yeye amemchagua mwenyewe bila ya kulazimishwa.

Ni ndizi nadhani sio zabibu au?
 
Yani tangu tulipoachana 2005 sijawahi kum-miss wala nini, yani hata ikitokea tumeonana ni hi hi hakuna zaidi. Lakini saa hizi ninapofikiria kuwa yuko kwenye honeymoon na yule mrugaruga niliyemwona juzi, no, hapana, haikubaliki aise!

We ndo utaonekana mlugaluga sasa, wivu wa nini wewe?uliachwa ndo maana unasema jamaa hamfai, wewe ndo ulikuwa sio type yake kaka...hulehuleeeeeeeeee
 
To the disadvantage of the dear sister? Yaani ghafla kageuka kuwa dada tena?
Jamani watu hamweshi kushangaza.

Ndiyo, tulipoachana tulikubaliana tuwe kaka na dada. Na mie kama kaka namtakia mazuri dada yangu.
 
Mtu B; Uliona nini kilichokufanya udhani yule jamaa hamfai? Kwani wewe una nini kudhani wewe tu ndo unamfaa? - Wivu. Unadhani walikutana siku hiyo?. Kama ulikuwa hujui; Dem ndo alikuwacha, na jamaa ndo alisababisha. Imekula kwako.

Noooo! Hii haiwezekani bana. Yule dogo hana sifa ya kuniachanisha na demu kama yule. Ni bahati tu imemdondokea kutokana na desperation ya msichana, lakini he doesn't deserve her, that's what I feel but I'm not going to do anything about it. Nimesema feelings zangu, na najua zitaisha soon kama mmoja alivyosema. Namwombea dada yangu huyo maisha yake ya ndoa yakawe mazuri na ya furaha, maana yakiwa kinyume na hapo mtihani huu utanirudia.
 
Sio demu wako tena ni mke wa mtu!!Unajishtukia wewe kama sio wivu!Kama kweli huyo mshkaji labda sio mzuri kama wewe au hana pesa kama wewe,kinakuuma kwamba iwe vipi achaguliwe yeye!!Unachojishtukia ni kwamba mshkaji ana kitu ambacho wewe huna...pole labda anampa gemu ya ukweli na wewe ulikua unapapasa papasa tu!

Mhusika mwenyewe hajawahi kunipa mpasho wa hivi, so naamini hii ni speculation yako tu.
 
Sasa sijui ni kwanini nilipomwona yule mchumba wake alhamisi ile, nikaanza kuhisi kwenye nafsi yangu kwamba yule jamaa hamfai, yaani kwa ninavyomfahamu yule dada ile siyo type yake kabisa!!

Kijana acha dharau yeye ndo chaguo lake ndo maana alikukataa wewe kaamua kuolewa na huyo jamaa
 
Mhusika mwenyewe hajawahi kunipa mpasho wa hivi, so naamini hii ni speculation yako tu.
Endelea kujipa moyo kwamba wewe ni bora zaidi ila unajua sana sivyo!Ndio maana unang'ang'ania mwenzio sio bora wakati AMESHATHIBITISHWA!
 
alichoka na vituko akaona bora akimbieeeeeee,ulikuwa humthamini!value has value if only value is valuad
 
Tuliachanaga miaka mingi sana kwa hiyo nilijua sina hisia yoyote naye tena. Alivyonijulisha anaolewa anaomba mchango wa send-off nikamchangia kama kawaida na send-off nimeshiriki sherehe juzi 9 December. Sasa sijui ni kwanini nilipomwona yule mchumba wake alhamisi ile, nikaanza kuhisi kwenye nafsi yangu kwamba yule jamaa hamfai, yaani kwa ninavyomfahamu yule dada ile siyo type yake kabisa! Dada kakosea kuchagua bana, no! Siwezi kueleza hii hali, naamini siyo wivu but no, siyo yule kabisa bana!
Love is blind bana,huwezi jua jamaa anampa nini,mabrzamen hawajui kukonga nyoyo za watu wao wanaleta mapenzi ya kwenye Tamthilia..
 
Kila mwanamke anapenda aolewe. Ulipomwacha wewe na alipoona muda unakwenda akawa desperate. Jamaa alipojitokeza tu akamrukia, bila kujali kama anamfaa au sivyo. Alichotaka ni kuolewa kwanza mengine baadaye. ndiyo kawaida ya wanawake baada ya kusota muda mrefu bila kuolewa.

Mimi naamini huo si wivu ila unamwonea huruma huyo ex- wako
We nawe acha ku-generalize mambo!Kakudanganya nani kila mwanamke anapenda aolewe?
 
Tuliachanaga miaka mingi sana kwa hiyo nilijua sina hisia yoyote naye tena. Alivyonijulisha anaolewa anaomba mchango wa send-off nikamchangia kama kawaida na send-off nimeshiriki sherehe juzi 9 December. Sasa sijui ni kwanini nilipomwona yule mchumba wake alhamisi ile, nikaanza kuhisi kwenye nafsi yangu kwamba yule jamaa hamfai, yaani kwa ninavyomfahamu yule dada ile siyo type yake kabisa! Dada kakosea kuchagua bana, no! Siwezi kueleza hii hali, naamini siyo wivu but no, siyo yule kabisa bana!

we ndo ulikuwa si type yake, hufai ndo maana mkaachana. Mwache aendelee na maisha yake ndo chaguo lake! Ganda la muwa la jana, chungu kaona kivuno.
 
Kila mwanamke anapenda aolewe. Ulipomwacha wewe na alipoona muda unakwenda akawa desperate. Jamaa alipojitokeza tu akamrukia, bila kujali kama anamfaa au sivyo. Alichotaka ni kuolewa kwanza mengine baadaye. ndiyo kawaida ya wanawake baada ya kusota muda mrefu bila kuolewa.

Mimi naamini huo si wivu ila unamwonea huruma huyo ex- wako

Mawenzi hebu fafanua hapo kwenye red,anamwonea huruma ya nini? Anamfahamu huyo mume wa huyo dada mpaka amwonee huruma? Yalimshinda atulie. Tatizo la wanaume wengi sana huwa wanapenda kujikweza na kujiona wao ndo wanastahili kuwa na mtu fulani na inapotokea tofauti na matarajio yao ndo utasikia oo hamfai oo mara mdada alikosa kwa hiyo alipotokea huyo akaamua kuolewa nae, hivyo mara nyingi huwa tu ni visingizio kwa mkosaji.
 
Kichwa cha huu uzi na yaliyomo ndani ni tofauti! Hauwezi sema demu wako kaolewa ilhali umesema mliachana long time! Ungesema aliyekuwa demu wangu kaolewa ningekuelewa! Ila pole kwa wivu na mauchungu,ndo ukubwa huo.
 
Back
Top Bottom