Hii thread nimelazimika kuitafuta hadi nimeipata tena. Nilinangwa sana nilipoileta. Lakini juzi tuesday nimekutana na huyu dada (ex wangu) kwenye ukumbi wa hoteli nilikokuwa napiga deiwaka siku hiyo. She is doing very well financially and professionally. Na ana mtoto mmoja wa miaka 3. Lakini she broke up with the guy mwaka sasa na hataki kusikia lolote about him. Msiseme nafurahia, lakini I saw it coming. Walikuwa hawaendani hata ukiwaangalia unaona wazi. Imagine hata nilipompa pole kwa tukio hilo alisema hahitaji pole, labda pongezi kwa uamuzi mgumu. Na akasema she is happier now, kwa maneno yake "single but not looking".
Mi pia bado niponipo.
Kubalini tu kuwa mtu huwa anamjua mtu wake, kisichomfaa akikiona tu atajua hapa no.
mhhh kwa hyo unatuambiaje...au ndo mambo ya Kna Ina na angelo,true love standing the test of time?!!
Habari ndungu huwa sitembelei anga hizi lakini naona hapa imebidi....... Kama ameolewa hatakuwaje demu wako tena..... jamaa hamfai???? kumbuka..... True love is not finding a perfect man, but loving an imperfect man perfectly...
mweleze maana naona hajui huyu
Imekula kwako..haahaahaa, kuna m1 ameniapia hivyo,, ngoja nione mwisho wake
Tuliachanaga miaka mingi sana kwa hiyo nilijua sina hisia yoyote naye tena.
Alivyonijulisha anaolewa anaomba mchango wa send-off nikamchangia kama kawaida na send-off nimeshiriki sherehe juzi 9 December. Sasa sijui ni kwanini nilipomwona yule mchumba wake alhamisi ile, nikaanza kuhisi kwenye nafsi yangu kwamba yule jamaa hamfai, yaani kwa ninavyomfahamu yule dada ile siyo type yake kabisa!
Dada kakosea kuchagua bana, no! Siwezi kueleza hii hali, naamini siyo wivu but no, siyo yule kabisa bana!
this should have been brought to our attention 5 years ago
sasa unatuambia ili iweje
Kakuapiaje annito?
Imekula kwako..