Jana Nimevamiwa huku Qatar. Usalama wangu umekuwa hatarini. Wakiendelea hivi Nitaondoka kwa kweli

Bill Lugano

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
1,186
6,402
Kwa kweli jana nlikuwa na hali ngumu sana. Haraka ilibidi niite walinzi wangu waliokuwa mapumziko Dubai. Nlipokuja Qatar sikupenda kabisa watu wanijue nina pesa. Ndo maana nlikuwa natembea na watu wachache tu. Secretary wangu, Katibu,Mwanasheria na Daktari wangu.

Hawa watanzania of course sasa wanakuja kila mara nlipo kula na kunywa sababu nliwaruhusu baada ya kuona wanaishi kwa ugumu sana. Sikutaka kuja na walinzi sababu inge draw unnecessary attention.

Jana baada ya Brazil kutolewa wadada wengi wa Kibrazil walichanganyikiwa. Walikuja mezani Hotelin kwangu wakakuta kuna Hennessy zimejaa pale wale wabongo walioniahidi kunipeleka kwa Mperlangeh na boyfriends wao wanajinywea tu.

Nao kwa hasira wakavamia meza yetu na kuanza kujibebea kila mtu chupa walikuwa kama nane hivi. Walinzi wa Hotel walipoona vile wakataka kuja waondoa. Nliwaonea huruma sana. Nliwaambia tu wachukue meza karibu wakae wale na kunywa kupunguza hasira. Aiseee.....wale wabrazil ni wazuri sana. Wana shapes n.k

Wakaanza nilazimisha eti tukafanye mapenzi. Nliwakatalia kabisa.wale akina Kubwembeh wakaanza omba basi wapewe wao hiyo nafasi. Wadada waligoma wakawa wanasema "queremos a este hombre" huku wananing'ang'ania.

Ilikuwa ngumu kuwaondoa maana nilikuwa navutwa shati, wengine wananivuta mikono wengine wamenishika miguu. Yaani kama wanataka kugawana mimi.

Kumbe kitambo walikuwa wananipenda so jana walipata sababu. Akaja Neymar maana ile Hotel wabrazil wamefikia pale. Akashtuka kuona nimeng'ang'aniwa vile akauliza. "Qué pasa?" Hakuna hata aliyejali.

Huku Qatar wamekuja watoto wazuri sana. Miss Brazil 2021 jana alikuwa amekaa nami anahoji kuhusu Tanzania. Anauliza je Tanzania wapo watu kama mimi wengi?nlimwambia tupo wengi ( sikutaka kuwaponda watanzania) sasa akauliza wale wengine pale mbona hawafanani na mimi nikamwambia wal ni Wakenya.

Ametamani sana angalau nifanye fanye vitu apate mimba yangu. Hilo nilimgomea kabisa. Yule dada hakunielewa. Akanionesha msg ambazo Neymar na Christian Ronaldo wanamtumia wakimtongoza anawakataa...akanionesha msg aliyotumiwa na Elon Musk kuwa akidate naye mara moja tu anampa bil 50. Demu akamtolea nje.

Sasa akawa ananilazimisha angalau tu akanifanyie BJ. Nikajua huu mtego huu. Mwishowe atasema nikagusishe kichwa.... Siku mbili tatu aseme ana mimba yangu.nikasema moyoni hunipati kiivyo.

Yaani Qatar kumenoga.mimi kila baada ya siku mbili nabadilisha Hotel. Sitaki mazoea. Ila watu wameshaanza kunifahamu maana wanaambiana kuwa huyu bwana mdogo ana pesa balaaa. Mi sioni kama napesa. Basi tu. Moyoni nasema hivi wangemwona mzee wangu ingekuaje? Wangewaona wadogo zangu ingekuaje?

Na vile mimi si mtu wa matumizi na show off basi hadi home huwa wananicheka sana. Wananiambia tumia pesa bro. Tumia pesa ili na wengine wapate...pesa siyo chupi kuwa uwe unavaa peke yako. Share it. Ndo maana nami sasa nawapa watu maskini na wanaoishi kwenye mazingira magumu kama hawa watanzania waliotumwa na Radio/Tv zao kuja kuchukua habari za WC Qatar.

Naipenda sana nchi yangu basi tu yenyewe ndo haipendeki, hainipendi. Ndugu zangu wengine hawataki hata kuisikia Africa. Wanaamini huku ukitembea tu unakutana na miili iliyokufa barabarani. Wanaamini huku hali ni ya kutisha. Nikiwaambia ni kweli watu huku wanakula Milo mitatu kwa siku sababu ya shida wanaumia sana. Nliwatumia picha za maeneo ya Sinza,masaki, Kijitonyama na Mwenge.

Wakashangaa kuwa hawa watu wanaishije ktk mazingira magumu na machafu namna hiyo?but anyway angalau kidogo sisi wa Oysterbay hata serikali inatuheshimu barabara zetu haiweki hata matuta. Inajua ukiwa na pesa automatically una akili na unapenda kuishi na kuona wengine wanaishi. Huwez endesha gari hovyo hovyo.

Niwaletee nini toka Qatar? Wapenzi wa tende zipo na halua. Zipo tende nzuri unakuta box la 1 kg usd 1,000. Au zile za kg 1 usd 2,000. Ni nzuri. Mi nakula tu mayai ya kukaanga ya samaki. Very delicious Sahani moja ndogo tu usd 5,000. Halafu na maziwa ya Tembo ni mazuri sana kwa afya. Ukinywa yale halafu ukafanya tendo la ndoa... Unamwaga sperms lita za chini kabisa 2 kwa bao moja ambapo hilo bao unachukua masaa 2-3 kupiga.

That time nlikuwa na girfriend mmoja wa kilatino akaomba nimwagie ndani...alifurika....maana ilikuwa lita kama 2 na nusu hivi. Yule dada alishangaa sana. Alipata ujauzito wa mapacha 9. Bahati mbaya walifariki.

Anyway...madaktari wananishauri nijaribu kula vitu vya kupunguza nguvu za kiume.maana nlishapata kesi kadhaa sababu hiyo. Sema tu ukiwa na pesa mambo hayawi mengi. Na wala sijisifu na sitaki kuonekana nawakomoa warembo. No i dont do that.

Ukiwa na pesa nyingi, unakula vizuri nguvu za kiume zinakuwa nyingi mpaka kero. Dr wangu aliwahi niambia ili nilidhike inabidi niwe na sex na wasichana wasiopungua 30 kwa wakati mmoja. But aaargh....mi nisha nanii watoto wazuri sana. Sometimes naona tu nisitumie vibaya haya mambo. So nawapa tu pesa wana enjoy. Na sometimes ndo nawapa vijana pesa na chakula kizuri ili waka enjoy nao tendo hilo.

Hawa wajamaa walioko huku Qatar wanasema toka wameanza kuwa wanaonana nami wanakula kwangu wanaona mabadiliko....nao wameanza kuvutia mademu wakali na wanapata nguvu kama za Simba. Anyway... Wadau wangu naenjoy maisha ndo haya haya. Karibuni Qatar tuangalie Live matches za kombe la Dunia. Na tuenjoy life. Mje muwaone live wachezaji.

Mwaka ndo unakatika huu. Usikomaze tu sura eti upo serious na maisha na sura yako utadhani unakamuliwa jipu bila ganzi. Achia sura hiyo...legeza misuri ya uso. Enjoy life. Kama Qatar au nakoenda mimi unaona mbali nenda hata Dubai hapo bajeti ya usd 10,000 haiwezi kukushinda.
 
Huyu jamaa bana.
 
Haha hilarious. Sema mkuu hawa wabrazil wako wanaoongea kihispaniola badala ya kireno ndio wametisha zaidi.
Nilikuwa nafuatilia hili nimeona yes wanaingiliana. Maana nami najua maneno mawili matatu ya lugha hiyo. Nadhani bilionea anaifahamu hiyo pia alishawahi sema anazungumza lugha zaidi ya 7 kama sikosei. Alichoniudhi ni kuto wagegeda hao watoto wazuri.....😡😡😡😡😡 Hata angenipasia mimi wawili watatu hivi.
 
Story yote hiyo unamsema Edo Kumwembe na Diamond baada ya kupost kapicha majuzi kati, tumekuelewa.
 
Nilikuwa nafuatilia hili nimeona yes wanaingiliana. Maana nami najua maneno mawili matatu ya lugha hiyo. Nadhani bilionea anaifahamu hiyo pia alishawahi sema anazungumza lugha zaidi ya 7 kama sikosei. Alichoniudhi ni kuto wagegeda hao watoto wazuri.....😡😡😡😡😡 Hata angenipasia mimi wawili watatu hivi.

Haha ongea naye fresh muambatane next time, mkuu.
 
Wenye hela wapo huko kushuhudia michuano kimya kimya tangu mashindano yaanze, halafu kina Kalubandika kujifagilia tu hivi unapata wapi ujasiri wa kudanganya we Kalubandika?
 
Back
Top Bottom