Ewe mwanamke hebu njoo unipe jibu hapa!!!!!!

Ewe mwanamke hebu njoo unipe jibu hapa!!!!!!

^^
Hutamuacha kwa sababu ni muaminifu lakini utamsaliti kwa sababu utavutiwa na wenye pesa kutafuta security kwa wanawake wenzio!
Prove me otherwise
^^

Hapana kama the guy hayupo naive sasa ya nini niende seek security kwa kuimpress my girlfriends siwez
tatizo ambalo lawatatiza nyinyi ndugu zetu wa kiume hampendi sijui niseme hamuwezi kutusoma sisi wanawake maana ukimjua lady wako anataka nini hata siku moja hawezi kukuona we unaboa i personally i cant date a man hu is not talkative hatutawezana
mjue how to make yur lady smile hato cheat hata mkigombana atajua zile siku njema mlizokua nazo zitawarudisha
 
Una matatizo?
Maana kumhitaji mtu wa aina hiyo ni lazima kuwe na tatizo mahali!!

hahah hapana sina matatizo but rule number 1 my man should make me smile nisiwe attracted na a guy who makes my day
 
hahah hapana sina matatizo but rule number 1 my man should make me smile nisiwe attracted na a guy who makes my day

Hujui kama hakuna mtu wa aina hiyo duniani?
Kwa taarifa yako hiyo ni kazi yako
Hakuna mtu atakaeweza kukufanya utabasam tofauti na wewe mwenyewe!

Wake up!
 
Hujui kama hakuna mtu wa aina hiyo duniani?
Kwa taarifa yako hiyo ni kazi yako
Hakuna mtu atakaeweza kukufanya utabasam tofauti na wewe mwenyewe!

Wake up!

Yeah ni kweli happiness yatoka moyoni and its an individual kufanya hayo ila a great part can be played by your better half
when yur down wapata mtu wa kukufariji and cheer yu up ila hiki nacho sijui ni kipaji mtu mwingine ukiongea nae lazima ufurahi na wengine ukiongea nae hata sentensi 10 lazima uboeke
 
Babu naomba ufute kauli yako maana wapo watu wanakuhitaji sana na nina uhakika 100000% wanaume hao wapo wengi sana

Njoo Rock City nikuoneshe!

Wewe bwana acha utani.

Labda kama kuna wanaume siku hizi ambao wanaendeshwa na eotrogen hormone...mwanamume mwenye testosterone inayoflow vizuri katika damu haweza kukubali uzezeta...

May usema wako under limbwata...which I don't believe in anyway!!

Babu DC!!
 
Seriously mi mwanaume ambae hacheat hata kama nitakua ndo nnamuwezesha 90% let him stay

Kuanzia sasa nitacheat responsibly aisee! Vimada mchana, jioni kwa mke wangu kimyaaa!!!
 
^^
Wanawake huvutiwa sana na mwanaume mwenye wanawake wengi hutaka kujua wanachokosa kwa walio wao!
Lakini wanaume huchukia mwanamke mwenye mwanaume wengi kwa hofu ya kulinganishwa.
Cc: Lady doctor mimi49
^^

Sorry bro, here you are very wrong about women!!
 
Last edited by a moderator:
hahaha Eiyer hapa unataka kusema siye hatuconcentrate kwenye familia sio

orait,,,lakini ujue bado napendwa tu...jiulize kwa nini?

CC AshaDii gfsonwin DEMBA

Namsubiri Eiyer ajibu maswali yako...

Kwa ujio wako...naweza sasa kwenda kufanya majukumu mengine ya kupass over knowledge kwa wajukuu...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Kuanzia sasa nitacheat responsibly aisee! Vimada mchana, jioni kwa mke wangu kimyaaa!!!

Mweee nani kakuambia kuwa silence ndio itakayo kujustify u dont cheat
wanaume wa kimya ni wabaya zaid ya cobra au black mamba maana ni silent killers nnawaogopa ongea na kuwa free avoid totoz kwan unapata cha GOLD huko kwa vimada?usipo cheat sio kama wewe sio rijal na uwingi wa wanawake sio kama we ni mjanja sana its just another way of devaluating yourself
 
Unaposema mume si wa mmoja unamaanisha nini kama sio uzinzi??Na kwanini useme kitu ambacho hakiapply kwako??

Kumbe kinachoapply kwangu tu ndo nna haki ya kukisema! Kha... kwani naishi kwenye jamii yangu pekee, sioni wala sijifunzi kupitia kwa wengine..... SMFH...
 
Yeah ni kweli happiness yatoka moyoni and its an individual kufanya hayo ila a great part can be played by your better half
when yur down wapata mtu wa kukufariji and cheer yu up ila hiki nacho sijui ni kipaji mtu mwingine ukiongea nae lazima ufurahi na wengine ukiongea nae hata sentensi 10 lazima uboeke
Kama vile unavyoinjoy kuongea na mimi...LOL!

Kiukweli kuna mambo ambayo mnatakiwa muwe pamoja kwenye mahusiano
Lakini kikubwa ni kuwa sio mwenzako anawaza kula wewe unawaza kulala hiyo ni mbaya sana!
 
Back
Top Bottom