Ewe mwanamke hebu njoo unipe jibu hapa!!!!!!

Ewe mwanamke hebu njoo unipe jibu hapa!!!!!!

Mbona sikutani nao!
To be honest am so selfish sipendi kushare mapenzi mwanaume wa tabia hiyo atanifaa kabisa sitakuwa na pressure ya mapenzi namiliki mwenyewe tu

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Ongea na mimi nikupe mmoja
Tuna chama cha watu wa aina hii....LOL!
 
sio kwamba huyu wanamkubali kwasababu ya ugoi goi wake........ wanapata nafasi ya kuwa kchwa ktk familia (nafasi ambayo ni nadra kuipata?)

Hili lina ka ukweli fulani hivi
Lakini pia inaonesha pia wanawake wana ka tabia ka kutamani kuongoza ila wanakakosa tu!
 
Hebu chukulia tu kwamba ulikuwa na boy friend ambae mlikuwa pamoja toka secondary halafu mkamaliza pamoja masomo yenu[a level] na kwenda kuendelea na maisha na baada ya muda mkaamua kuoana,maisha ya mke na mume yakaanza.

Baada ya kumaliza masomo mlifanikiwa nyote kupata kazi sehemu tofauti

Baada ya hapo wewe ukawa unajiendeleza kimasomo zaidi na ukafanikiwa kuongeza elimu yako hiyo na kupanda kiwango,kwa upande mwingine mumeo akawa busy na maisha mengine,hakupenda kuendelea kwani yeye aliridhika na elimu aliyokuwa nayo

Kitendo cha wewe kuongeza elimu yako kilikufanya ukapandishwa cheo kazini kwako kitendo kilichoongeza kipato chako kuwa kinono sana,mshahara wako ukawa ni mara 5 ya mshahara wa mumeo,ila kwa kipindi chote mlichokuwa pamoja mlikubakiana msipate kwanza mtoto ili uweze kupata muda mzuri wa kujiendeleza kimasomo

Kitabia mumeo sio mtu wa watoto[wanawake] ni mpole sana na huwa anaonesha kukujali sana kiasi kwamba mtu akija anaweza kudhani umemloga,yaani ni kama goigoi fulani hivi

Pia kwenye upande wa maamuzi ni mzito sana yaani kukiwa na tatizo anachukua muda sana kuamua yeye kama mwanaume hadi wakati mwingine unaingilia kati,yaani huduma ya maji inaweza kuondolewa hapo nyumbani kama yeye ndie alikuwa na jukumu la kulipia au kusimamia ulipaji,pia kutokana na udogo wa kipato chake mara nyingi wewe umekuwa ukichangia karo za watoto na hata mahitaji ya nyumbani kwa kiwango kikubwa sana,na hili wala halioneshi kumkera hata kidogo mumeo yeye anaona ni sawa tu

Mmefanikiwa kujenga nyumba ambayo haijaisha lakini gharama za ujenzi wa nyumba hiyo wewe umegharamia kwa 90% na imebakiza mambo madogo tu mhamie

Kutokana na shughuli unayofanya kuna wakati unachelewa kurudi nyumbani na kumkuta anakusubiri na wala haoneshwi kukerwa na hili,anaona sawa tu

Kwenye familia wewe ndio unaonekana kama mhimili wa hiyo familia kutokana na wewe kuwajibika kwa kiasi kikubwa kwenye mambo mbalimbali

SWALI NI HILI:
Ikitokea ukapewa fursa ya kubadili mume,je utamuacha huyu?
Na kwanini?

Mimi namuacha
 
Duniani hatujakamilika na kila mtu anamapungufu yake, kama nilimpenda mwenyewe na nikaamua kuishi naye kwa roho moja? Kwa nini nimtenge eti kisa Mungu kanipa uwezo zaidi yake?

Tukumbuke Kuna leo na kesho, na Mungu si baba Asha kana kwamba atakuandikia mafanikio daima, leo hii unamuacha mumeo kwa visingizio visivyo na miguu wala kichwa, kesho kazi huna au unapata kilema chochote sijui utaihudumiaje hiyo familia!

Eiyer Tunapotaka kutoa uamuzi, tusifikirie faida tu, fikiria na mbeleni pia, fikiria na utu pia, fikiria na Mungu pia!

Kwangu sitomuacha nitamvumilia huku nikimrekebisha taratibu!
Hebu niambie kati ya tabia nilizozitaja za huyo jamaa ni zipi ungezirekebisha?

Maana unasema ungemrekebisha!
 
Mimi namuacha

Wewe ni wa pili kutoa haya majibu na kwa mtazamo wangu ni kwamba yanaendana na uhalisia unaotokea mitaani kwetu,nakupongeza kwa kuwa mkweli[sijasema wengine ni waongo]

Lakini niambie ni kwanini ungemuacha?
 
Hebu niambie kati ya tabia nilizozitaja za huyo jamaa ni zipi ungezirekebisha?

Maana unasema ungemrekebisha!

sikiliza Eiyer, ili mradi umesema si mtu wa wanawake ina maana si mzinifu, hayo mengine ya kuwa mzito wa kutoa maamuzi n.k, haimati sana kwangu na hata kama asipo badilika nitamvumilia nami nitaziba hilo gape la udhaifu aliyonao.. Ujue sometime Mungu anafanya mambo kwa makusudi, maana jamaa angekutana na mtu mwenye ubongo mzito kama wake nadhani hatua zao zingekuwa fupi sana!
 
Last edited by a moderator:

Hivi ni kwanini nyie hampendi kushea mapenzi na wanawake wengine?
Hampendani eeeh.......LOL!
 
siwezi kumwacha hata kwa dawa. kuwa na nwanaume ambaye si mzinifu ni big deal so hayo mapungufu mengine hayahusu na wala hamtajua kama acontribute chochote ndani ni siri yetu mimi na yeye cha maana ni upendo wa dhati.
mi kitakacho niondoa kwa mume ni kama akiwa mzinifu tu mengine tutarekebishana
no body is an angel we make mistakes smtime ila sio mistake yauzinifu
 
Daaaaaaaah!
Hivi mnaambizana mambo ya kujibu hapa?
Maana hii ya kutokuzini imekuwa big deal sana

Hawa wanawake hawapendi mwanaume mzinifu kabisa msije kusema hamjui kinachomfanya mwanamke atulie ndoani!!
 
Seriously mi mwanaume ambae hacheat hata kama nitakua ndo nnamuwezesha 90% let him stay

Kuna jamaa yangu aliachwa na mpenzi wake kisa hakuwa na hela kama mwanamke
Mwanamke alikuwa anafanya kazi kwenye wizara moja hivi na mwanaume alikuwa mfanya biashara

Baada ya kuachana shemeji yangu yule alikuja kunieleza sababu iliyofanya akamuacha jamaa yangu kuwa ni pesa,alisema hawezi kuwa na mwanaume anaemzidi fedha
Na jamaa yangu hakuwa mtu wa watoto kabisa!

Ndio maana nawaona kama mnatudanganya tu hapa kwa maneno yenu haya!
 
Akiamungu am speaking frankly from my heart pesa si kila kitu so long hatutaenda kuwa omba omba yanini nitake makuu?once a man sio mtu wa totoz lazima revenue yake itasomeka maana atakuambia i did this and planning to do this kwa mwanamke mwenye akili atamwambia sasa hapa itabidi tufanye hivi na ata kua hana expenditure za kipuuzi so success itakuja labda mungu awe katupanga awe masikin na nna imani mungu si mchoyo
 
Hili sijui lina ukweli gani Himidini hebu kuja kipande hii

Nashindwa kumuamini huyu dada kabisa!
Hapa nilipo nina ngeu kibao za kutendwa kwa sababu sina chapaa
Sasa leo niamini maneno tu?
Aaaaahhhh wapi!
 
Last edited by a moderator:
Hili sijui lina ukweli gani Himidini hebu kuja kipande hii

Nashindwa kumuamini huyu dada kabisa!
Hapa nilipo nina ngeu kibao za kutendwa kwa sababu sina chapaa
Sasa leo niamini maneno tu?
Aaaaahhhh wapi!

Hahahha pole #Eiyer kwa kutendwa ila huo ndio msimamo wangu
 
Last edited by a moderator:
The big problem with you ladies here ni kwamba mnadhani mtu akiwa muaminifu tu inatosha

Lakini hii naona iko kinadharia zaidi kwani wengi wenu mnayoyafanya huku mitaani ni kinyume sana na mnayosema hapa!

Hii ni nini?
Hapana aisee not with me..i do what i say...
 
Ha,ha,ha,haaa!
Mkuu unataka kuniuzia kesi!

Hapana Babu!

Mkuu uleikoroga mwenyewe....

Wape maelezo ya kutosha wanaohusika ili wajifahamu au wajue dunia ya nje inawaonaje...

Vinginevyo huwezi kukwepa kiti hiki!!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom