Ewe mwanamke hebu njoo unipe jibu hapa!!!!!!

Ewe mwanamke hebu njoo unipe jibu hapa!!!!!!

Mkuu uleikoroga mwenyewe....

Wape maelezo ya kutosha wanaohusika ili wajifahamu au wajue dunia ya nje inawaonaje...

Vinginevyo huwezi kukwepa kiti hiki!!

Babu DC!!

Haya Babu ngoja waje ili niwape maelezo watakayoyataka!
 
^^
Eiyer usiumize akili wanawake wa jf ndo wako hivo..mara pesa hawataki mara wanataka,,ukitaka kuwajua tazama mkufu..ukiuweka hivi unaegemea kule,ukiweka kule unarudi huku.
Amini wanachotenda majumbani na mitaani japo nyumba zinaficha mengi.
^^
Mkuu nimekupata vyema sana
Hawa ndio wanawake bana!
 
yapo mengi ila kwa leo ntakuorodheshea machache-kuna kuwajibika ktk ndoa,ushirikiano,mawasiliano mazuri,kujitolea na kuepuka kero kwa mwenzio!!

Kwa haya uliyoorodhesha hapa huyo jamaa niliyemsema hapo kwenye mada amekosa mangapi?
 
uzinifu mbaya bwana inauma ukijua mumeo anagawa nje mali yako acha kabisa.akiwa safi kipande hiyo then maswala ya pesa na maamuzi tutakaa tuongee kumuacha si suluhisho kwani unaweza kumuacha ukapata mwenye pesa na usiwe na amani.
ukiona mtu kamuacha mume wa hiyo ujue kuna akichokifata na si mapenzi ya dhati.
na huyo goigoi hope anafundishika mana kama hafundishiki na hataki kutafuta maendekeo huo ni msala kwa kweli

Mngekuwa mnatenda sawa na mnavyoongea dunia ingekuwa paradiso!
 
^^
Hutamuacha kwa sababu ni muaminifu lakini utamsaliti kwa sababu utavutiwa na wenye pesa kutafuta security kwa wanawake wenzio!
Prove me otherwise
^^
Na hiki kinawaponza wengi sana!
 
^^
Wanawake huvutiwa sana na mwanaume mwenye wanawake wengi hutaka kujua wanachokosa kwa walio wao!
Lakini wanaume huchukia mwanamke mwenye mwanaume wengi kwa hofu ya kulinganishwa.
Cc: Lady doctor mimi49
^^

Kweli
Wanawake hupeana michapo kuhusiana na wanaume wanaolala nao
Hii iliwahi kunikuta

Nilishangaa nilipokuja kuulizwa na rafiki yake mpenzi wangu jambo ambalo kama asingeambiwa na mhusika ambae ni mpenzi wangu asingejua

Tangu siku hiyo nilijua aina ya mtu niliyenae!
 
Haya Babu ngoja waje ili niwape maelezo watakayoyataka!

:focus:
Mwanamume wa namna hiyo umemuona wapi??

He is by no doubt a time bomb....

Kama mwanamke wa namna hiyo angekuwa binti yangu au mjukuu wangu, ningemwambia atoke nduki kama kaumwa na manyigu!!

Babu DC!!
 
^^
Wanawake huvutiwa sana na mwanaume mwenye wanawake wengi hutaka kujua wanachokosa kwa walio wao!
Lakini wanaume huchukia mwanamke mwenye mwanaume wengi kwa hofu ya kulinganishwa.
Cc: Lady doctor mimi49
^^
Mimi sitaki kusikia kabisa habari za mwanaume mwenye wanawake wengi mwanaume wangu ni wangu mimi tu kushare na mtu siwezi nina wivu sana!
 
Mimi sitaki kusikia kabisa habari za mwanaume mwenye wanawake wengi mwanaume wangu ni wangu mimi tu kushare na mtu siwezi nina wivu sana!

^^
Mmmm! Angalia usivunje keyboard Maana lol
^^
 
Mimi sitaki kusikia kabisa habari za mwanaume mwenye wanawake wengi mwanaume wangu ni wangu mimi tu kushare na mtu siwezi nina wivu sana!

Kwa hilo nakupa pole....! Mume si wa mmoja ati!
 
Huyu ndiye mume ninayemtaka maana napenda sana kupendwa. Atanipenda sana na nitamuheshimu sana.
 
Back
Top Bottom