Ewe mwanamke hebu njoo unipe jibu hapa!!!!!!

Ewe mwanamke hebu njoo unipe jibu hapa!!!!!!

NO!!! sijaona sababu ya kuacha mume hapo. he is
  • faithful
  • cares about her money
  • doesn't ''suffocate'' her with his ''insecurities''

hapo pa ''takes too long to decide'' sio deal breaker. ni jambo la kukaa chini na kuongea naye. perhaps yuko hesitant because he makes less, usually thr bread winner ana 'final say' kwenye mambo 'makubwa' kwenye familia
 
Japokua napenda sana mwanaume anapokua anaongea na kua na maamuzi ila siwezi kumuacha huyo kwa sabab anazo sifa nyingine za muhimu (sio mtu wa wanawake)
ntajaribu kumuweka karibu zaidi na kumsaidia awe huru kwangu...
Mtambuzi inaonekana kati ya tabia ambazo wanawake wanazichukia na kutotaka wenza wao wawe nazo ni uzinzi
Hii ni ishara ya ubinafsi au kitu gani?

Eti Jawilat kizuri si unakula na nduguyo?
Mbona unang'aka bibie?
 
Last edited by a moderator:
NO!!! sijaona sababu ya kuacha mume hapo. he is
  • faithful
  • cares about her money
  • doesn't ''suffocate'' her with his ''insecurities''

hapo pa ''takes too long to decide'' sio deal breaker. ni jambo la kukaa chini na kuongea naye. perhaps yuko hesitant because he makes less, usually thr bread winner ana 'final say' kwenye mambo 'makubwa' kwenye familia

Mkuu wewe ni ke?
Maana namna ulivyojibu mmmmmhhhhh!!!!!

En ways,nijuavyo mwanamke anaweza kuvunja ndoa kwa sababu ndogo sana na isiyokuwa na msingi kabisa
Kama vile kunuka miguu.....lol!
 
Hapana siwezi kumuacha kwani nitakua nimemfahamu muda mrefu as u said tangu tupo sekondari na kama alikua na hiyo tabia ya ukimya basi nimeizoea tangu kitambo lakini hata hivyo kama imeanza tukiwa kwenye ndoa nitajichunguza kama mimi ndio sababu mayb kwasababu nimemzidi basi nitajishusha na kumpa heshima yake.Lakini siwezi kumuacha wala kutaka kubadilishiwa will love my hubby with my body n soul!!!!!!!!!!!!!!
Hapa nitazama majibu yenu tu!
 
Wewe ukimkuta mwenzio yupo na mwingne utajisikiaje????

Afanye yote kipind cha ujana tukishaingia kwenye ndoa ajifunze kufunga zipu atokapo na kufungua anaporud ndani...
Sipendi uzinz kwa sababu unapunguza ata concentratn ndani ya familia...
 
Aisee
Hii aione Dark City Bishanga Asprin Kaizer watu8 ....!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
nimemfumania
akinigeuza punching bag, na nyingine nying tuuu...ss mtu anaekupenda kwa dhati ivo unaanzaje tu kumuacha?.ndo chanzo cha kukutana na watesaji uko af unaanza kutumia ngeli za maneno
Inayptosha ni ipi mwallu ?
 
nimeisoma hii thread kwa umakin...lakin nimeona kuna vitu vitanifanya nisimuanche huyu mwanaume...

No body is perfect..nitaachana na huyu anaechelewa kutoa maamuzi..ntaenda kwa anae act immedietly

lakin ni kiwembe tena kile Gillette..We should learn to appreciate what we have..not what we don't have

He loves ME..yes.I love him yes why leaving such a nice man

Hana pesa nying but he contribute something to our life that's okay....Most men are NATURAL LEADERS they just step

back when their wives think they want to be the leaders..Mbona hakuact hivo when we were boyfriend what If I am the

SOURCE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!I will consider some facts before I pull the PLUG..

This's the best of all comments on this thread. Receive my big ''Like'' Heaven on earth
 
Aisee kiuhalisia hapa mwanamke lazima awe na hekima,busara na mapenzi ya juu sana kwa huyo mumewe otherwise ni mchezo wa pata potea!! Si tunayaonaa!!! Btw-binafsi!! kama mambo mengine Yupo fiti ananijali,2naelewana,2nasikilizana,baaasi NIMBADILI WA NINI? ataendelea kuwa mume wangu wa kufa na kuzikana ! Baaaasi!!!! Kuna lingine Eiyer ?
 
Last edited by a moderator:
nimemfumania
akinigeuza punching bag, na nyingine nying tuuu...ss mtu anaekupenda kwa dhati ivo unaanzaje tu kumuacha?.ndo chanzo cha kukutana na watesaji uko af unaanza kutumia ngeli za maneno

Unajua kuwa aliyeonja chungu na akajirudi ni mzuri kuliko ambae hajaonja?
 
Back
Top Bottom