Ewe mwanamke hebu njoo unipe jibu hapa!!!!!!

Ewe mwanamke hebu njoo unipe jibu hapa!!!!!!

Akiamungu am speaking frankly from my heart pesa si kila kitu so long hatutaenda kuwa omba omba yanini nitake makuu?once a man sio mtu wa totoz lazima revenue yake itasomeka maana atakuambia i did this and planning to do this kwa mwanamke mwenye akili atamwambia sasa hapa itabidi tufanye hivi na ata kua hana expenditure za kipuuzi so success itakuja labda mungu awe katupanga awe masikin na nna imani mungu si mchoyo

^^
Hutamuacha kwa sababu ni muaminifu lakini utamsaliti kwa sababu utavutiwa na wenye pesa kutafuta security kwa wanawake wenzio!
Prove me otherwise
^^
 
Hili sijui lina ukweli gani Himidini hebu kuja kipande hii

Nashindwa kumuamini huyu dada kabisa!
Hapa nilipo nina ngeu kibao za kutendwa kwa sababu sina chapaa
Sasa leo niamini maneno tu?
Aaaaahhhh wapi!

^^
Eiyer usiumize akili wanawake wa jf ndo wako hivo..mara pesa hawataki mara wanataka,,ukitaka kuwajua tazama mkufu..ukiuweka hivi unaegemea kule,ukiweka kule unarudi huku.
Amini wanachotenda majumbani na mitaani japo nyumba zinaficha mengi.
^^
 
Last edited by a moderator:
Naomba nikuulize kitu
Hivi ndoa inaimarishwa na mambo mangapi?

yapo mengi ila kwa leo ntakuorodheshea machache-kuna kuwajibika ktk ndoa,ushirikiano,mawasiliano mazuri,kujitolea na kuepuka kero kwa mwenzio!!
 
^^
Hutamuacha kwa sababu ni muaminifu lakini utamsaliti kwa sababu utavutiwa na wenye pesa kutafuta security kwa wanawake wenzio!
Prove me otherwise
^^

Huwezi msaliti bwana so long atakua ana hata kile kidogo cha kujikimu
sijaona hapa cha kumsaliti
 
Daaaaaaaah!
Hivi mnaambizana mambo ya kujibu hapa?
Maana hii ya kutokuzini imekuwa big deal sana

Hawa wanawake hawapendi mwanaume mzinifu kabisa msije kusema hamjui kinachomfanya mwanamke atulie ndoani!!

uzinifu mbaya bwana inauma ukijua mumeo anagawa nje mali yako acha kabisa.akiwa safi kipande hiyo then maswala ya pesa na maamuzi tutakaa tuongee kumuacha si suluhisho kwani unaweza kumuacha ukapata mwenye pesa na usiwe na amani.
ukiona mtu kamuacha mume wa hiyo ujue kuna akichokifata na si mapenzi ya dhati.
na huyo goigoi hope anafundishika mana kama hafundishiki na hataki kutafuta maendekeo huo ni msala kwa kweli
 
Ila mwanamke akienda nje haiumi?
^^
 
^^
Wanawake huvutiwa sana na mwanaume mwenye wanawake wengi hutaka kujua wanachokosa kwa walio wao!
Lakini wanaume huchukia mwanamke mwenye mwanaume wengi kwa hofu ya kulinganishwa.
Cc: Lady doctor mimi49
^^

si kwangu!! mwanaume mwenye wanawake wengi namuogopa kama ukoma
 
Last edited by a moderator:
^^
Kuna best yako ana wanaume kama utitiri..akiachwa na mmoja anadai ameonewa..teh women!! A life project God gave man
^^

hilo nipendekezo lake mwenyewe na life style yake ya maisha, maana kunawanawake wengine kusema NO kwao ni dhambi.
 
Back
Top Bottom