Wewe bwana acha utani.
Labda kama kuna wanaume siku hizi ambao wanaendeshwa na eotrogen hormone...mwanamume mwenye testosterone inayoflow vizuri katika damu haweza kukubali uzezeta...
May usema wako under limbwata...which I don't believe in anyway!!
Babu DC!!
Huwezi kuzungumza kwa niaba ya wanaume wote nina uhakika ni wengi ambao wana msimamo tofauti na wako wa kwamba mume si wa mmoja!!!Kumbe kinachoapply kwangu tu ndo nna haki ya kukisema! Kha... kwani naishi kwenye jamii yangu pekee, sioni wala sijifunzi kupitia kwa wengine..... SMFH...
Kama vile unavyoinjoy kuongea na mimi...LOL!
Kiukweli kuna mambo ambayo mnatakiwa muwe pamoja kwenye mahusiano
Lakini kikubwa ni kuwa sio mwenzako anawaza kula wewe unawaza kulala hiyo ni mbaya sana!
Fact:nimemaanisha yale niloyasema mimi sio hayo unayoyafikiria wewe!!Tukienda kwenye fact utashindwa vibaya trust me!
Kwenye suala la mapenzi na mahusiano mwanamke ni kituko sana
Ikitokea akawa tofauti hushangawa sana!
Fact:nimemaanisha yale niloyasema mimi sio hayo unayoyafikiria wewe!!
hahaha lol ndio yeah mutual understanding makes a perfect relationship
Kina ukweli kwangu mimi!!Ok!
Kuna kitu kinaitwa nadharia ya ukweli
Hii inasema kuwa ukweli ni kile kinachosemwa kikakubaliana na hali halisi
Kwa muktadha huu unadhani unachosema kinakubaliana na ukweli?
Kama hakikubaliani na ukweli hiyo inamaana sio kweli
Tupo pamoja?
Ok!
Can i buy you a drink tonight....????....LOL!
Ki uhalisia mwanamke ndio msingi wa karibu asilimia 80 ya uhai wa ndoa,lakini kama atasimama kwenye nafasi yake ya uanamke,sasa kama mnataka kusimamia na ya mwanaume ili muipate furaha ndoa zitakufa sana
Labda tuwe mazuzu kama anavyosema Babu Dark City !
Stop taking me into circles Eiyer!!!Nadhani hatuna cha kujadiliana zaidi lol :smile-big:Kwako tu?????????