Ewe mwanamke hebu njoo unipe jibu hapa!!!!!!

Ewe mwanamke hebu njoo unipe jibu hapa!!!!!!

Ha,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaa!!!!!
Naona umeamua kuwaweka na "wake" zako kuonesha msisitizo!
Lakini kumbuka kuna kuishi kimazoea tu kwakuwa wengine wameshakuwa watu wazima wanaona kuanza mambo ya divorce inakua haifai

So umekubali hilo la kutokutulia?
we Eiyer unamfanza nini hazibandi Kaizer mbona analalamika?
 
Last edited by a moderator:
Eiyer, nitamuheshimu huyu baba na kumpenda kupita maelezo. Kujiendeleza kote huko pia kwaweza kuwa kumechangiwa na presence yake. Some blessinga are because we relate with some people. Kuamua kwa kuchelewa ni weakness tu, I am never looking for a perfect man, they never exist.
 
Huachi halafu umekaa kama mwanasheria fulani hivi ha ha ha najiona kama nipo court room!!

Kwenye familia yetu kuna historia hiyo ya sheria
Dingi alikuwa na kazi hiyo

So ni kama maji kufuata mkondo japokuwa mimi niliishia darasa la 4!
So,where is my answer?
 
Eiyer, nitamuheshimu huyu baba na kumpenda kupita maelezo. Kujiendeleza kote huko pia kwaweza kuwa kumechangiwa na presence yake. Some blessinga are because we relate with some people. Kuamua kwa kuchelewa ni weakness tu, I am never looking for a perfect man, they never exist.

Nimekuelewa mama
Babu Dark City kuja pande hii ujionee
Sijui kama tutapata mke kweli
CC: Mentor ...LOL!
 
Last edited by a moderator:
Kwenye familia yetu kuna historia hiyo ya sheria
Dingi alikuwa na kazi hiyo

So ni kama maji kufuata mkondo japokuwa mimi niliishia darasa la 4!
So,where is my answer?
Kwahio wewe pia mwanasheria?
 
Back
Top Bottom