Ewe mwanamke hebu njoo unipe jibu hapa!!!!!!

:focus:
Mwanamume wa namna hiyo umemuona wapi??

He is by no doubt a time bomb....

Kama mwanamke wa namna hiyo angekuwa binti yangu au mjukuu wangu, ningemwambia atoke nduki kama kaumwa na manyigu!!

Babu DC!!

Babu hebu soma maoni ya wanawake humu halafu ufukiri tena!
Ndivyo watakavyo
Huenda ndio sababu ndoa nyingi zinavunjika siku hizi
Wanataka mandondocha!
 
mbona hana shida kabisa huyo Eiyer ... ningeendelea kumpenda zaidi na zaidi.

La muhimu katika mahusiano ni amani na mapenzi ya dhati, as long as tunapendana na kumpita kwangu kwa kipato na elimu hakumbugudhi fresh tu!

But ili kuwaziba wanafiki midomo na kumjengea yeye comfidence nitamshauri tuanzishe biashara za familia na yeye awe ni mfuatiliaji wa karibu ili asibweteke but pia kama mwanaume ajishughulishe..

baaaaaaaaaaaaas
 
Last edited by a moderator:

kwi kwiiiiiiiiii... jamani mandondocha tenaaa????
Ambacho nakiona kwamba kiuhalisia hakiwezekani ni uwepo wa Mwanaume asie na pesa, umempita kipato, elimu na ujuzi wa masuala mbalimbali alafu asikusumbue...

Inferiority yake ndio itakayoua hayo mahusiano thats all
 
Una uzoefu na hili?
 
Babu hebu soma maoni ya wanawake humu halafu ufukiri tena!
Ndivyo watakavyo
Huenda ndio sababu ndoa nyingi zinavunjika siku hizi
Wanataka mandondocha!

Nitajaribu kutafuta muda nisome michango...

But mark my words...that's suicidal!

Babu DC!!
 
mbona hana shida kabisa huyo Eiyer ... ningeendelea kumpenda zaidi na zaidi.

La muhimu katika mahusiano ni amani na mapenzi ya dhati, as long as tunapendana na kumpita kwangu kwa kipato na elimu hakumbugudhi fresh tu!

But ili kuwaziba wanafiki midomo na kumjengea yeye comfidence nitamshauri tuanzishe biashara za familia na yeye awe ni mfuatiliaji wa karibu ili asibweteke but pia kama mwanaume ajishughulishe..

baaaaaaaaaaaaas

kwi kwiiiiiiiiii... jamani mandondocha tenaaa????
Ambacho nakiona kwamba kiuhalisia hakiwezekani ni uwepo wa Mwanaume asie na pesa, umempita kipato, elimu na ujuzi wa masuala mbalimbali alafu asikusumbue...

Inferiority yake ndio itakayoua hayo mahusiano thats all

Ukisoma post zako mbili, utaona kuwa hapo chini umekuwa sober zaidi....

Hakuna mwanamume anaweza kukubali kuzidiwa na mke wake na akatulia kama huyo anayeelezewa na Eiyer....

Kama yupo nitaomba nioneshwe ili nimruhusu Muumba anichukue kwa amani..

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Ukweli ndio huo hamko serious nyie!

Aseee katika vitu ambavyo nko serious ni commitment siwez fanya hivyo so long na yeye awe serious mi sina shida
alaf nyie mwadhani sisi twataka pesa tu yapo mengi bhana ila huyu poor man of mine should make me smile
 
Ukisoma post zako mbili, utaona kuwa hapo chini umekuwa sober zaidi....

Hakuna mwanamume anaweza kukubali kuzidiwa na mke wake na akatulia kama huyo anayeelezewa na Eiyer....

Kama yupo nitaomba nioneshwe ili nimruhusu Muumba anichukue kwa amani..

Babu DC!!
Babu naomba ufute kauli yako maana wapo watu wanakuhitaji sana na nina uhakika 100000% wanaume hao wapo wengi sana

Njoo Rock City nikuoneshe!
 
Back
Top Bottom