Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,359
Opss what!!!!!!
Hahahahahaaaa!
Gud qn!!
...
Kukimbia tatizo sio kutatua tatizo!!!
Kama ulivyosema hakuna mkamilifu, unajua huyo mwengine ungemkuta na weakness gani?????????
...
Kuna msemo unasema "Mbwa ukimjua jina hakupi tabu!"
hahahaha!
Waukumbuka huu?
Mwanaume hata awe na akili kiasi gani, ni lazima atapata athari za kisaikojia pale akiwa na kipato kidogo kuliko mkewe! Hii hutokana na hicho unachokiita NATURAL LEADER!
Yap! Usipochukua hatua atazidi na kuzidi kuwa bwe.ge!
Fahamtum!!!!
...
Kwanini usimfanye ajihisi superior kabla ya kuchukua uamuzi wa kumuacha????????