That's not true!
Kwanini usijifunze kuhusu tamabora[sio tamaduni] zingine ili kuepusha migogoro?
Not true
Kuna watu wanaishi kwa kuogopa kutengana kwasababu dini imesema kutengana ni dhambi
Kuna watu wanaishi na kuzeshana kwa sababu mmoja ni tajiri na sio mapenzi au upendo
Kuna wengine wamezeeshana kwasababu wakiachana na wenza wao hawana pa kwenda na sio upendo
Kuna wengine wamezeeshana kwasababu wana watoto na sio upendo
Kuna wengine wamezeeshana kwa sababu wazazi wao waliwaambia kuvunja ndoa ni laana na sio upendo
Halafu fahamu upendo unaweza usihusike pia kwenye ndoa tu!
Sijaelewa context ya mfano wako
Halafu sijui unamhusishaje Mungu hapo!