European Parliament resolution on Tanzania

European Parliament resolution on Tanzania

Tulikuwa tunataka tupate Rais bora zaidi kuliko JK lakini bahati mbaya tukampata mbaya zaidi. Sijui tuna bahati mbaya gani!

Hivi Tanzania haiwezi kumpata kiongozi mwenye kufanana na Kitumire Masire, aliyekuwa Rais wa Botswana.

Kitumire aliweza kujenga uchumi imara na misingi imara ya demokrasia nchini mwake.

Kwa kuwa wapo watu katika nchi hii wamekuwa wakiomba siku zote kwaajili yetu, huenda Mungu wetu ameisikiliza sala yetu. Ataipatia Tanzania mfumo mzuri wa utawala kwa kupitia mtawala mbaya.


Tanzania hatuna bahati mbaya hata kidogo, Mungu katupendelea kwa kutupa rais mzuri kama Magufuli.
 
Nyie wazungu mnawafurahia bila kufahamau. Mnawachekelea bila kufikiria na mnawashangilia bila kufahamu mchezo wauchezao. Kwa kifupi ni hivii, wazungu hawapendi tupige hatua hata kama ni sentimita moja. Kununua ndege kwa cash kwao ni matusi. Kujenga reli ya SGR kwao ni kero. Kujenga lile bwawa la Stiglas kwao ni kasheshe kubwa sana. Mchanga wao mpaka sasa tunao na tumesiliba mianya yao ya kupata vitu na mali zetu chelelee hawatatupenda wala kukubali. Kwa anaedhani wazungu wanatupenda saaana na wanatuomnea tutoke siku moja anajidanganya sana na sana. Waliweza kumgombanisha Mzee Muamal Gadafi na watu wake ambao waliishi bure wakipewa kila kitu na selikari na sasa wanajuta kupita kiasi na naona hatujajifunza tuu. Jifunzeni kwa Sadam, Gadafi na hata Mubarak na muangalie kama kuna kitu cha maana wamepata baada ya waliouita msaada wa wazungu ili kupata demokrasia. Hawa wanataka dhahabu, almasi, na vito vingine bila kizuizi na wala sio demokrasia. Waogopeni kama ukoma na kama mnaweza unganeni muwe kitu kimoja hawatatuweza. Someni hata histiria kidogo mtawaelewa. Hakuna mzungu anapenda mswahili but wanataka mali zetu tuu na hakuna jipya.
Rubbish! Kwahiyo kuwanyima raia haki zao na kuteka na kuua ndio mbinu za kujenga sgr ambayo wazungu wanataka kuizuia! Hivi ukivaa magwanda ya kijani huruhusiwi kufikiri?
 
Mkuu naona umeona ushoga tu kwasababu ushajipanga kuelekea huko..

Document imeongelea haki kibao mkuu....jaribu kusoma vizuri!

Watu emotional wanakimbilia kile kilichostua emotions zao wanaacha mambo chungu nzima ya maana vilevile..

Ondoa neno ushoga kichwani mwako for a minute and re-read the document uone vitu vingine!
Jaribu kuondoa hayo mengine bakiza ushoga na jipe mda kutafakari.Hao jamaa wamechanganya habari yaani wanalazimishia
 
>>>Haki za binadamu
>>>Kamata kamata ya wapinzani
>>>Elimu
>>>Afya
>>>Haki ya kupata habari
>>>Sheria kandamizi na matamko
>>>Mikutano ya kisiasa kupigwa marufuku
>>>Kuandamwa kwa watetezi wa haki za binadamu
>>>Kufungiwa vyombo vya habari
>>>Kuandama watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja (ushoga/usagaji. CCM wanasimamia ushoga tu, usagaji hawausemei ina maana wanaukubali)

BUNGE HILO LIMETAKA PIA HAYA YATEKELEZWE
>>>Kuachiliwa wafungwa wote wa kisiasa
>>>Kurekebisha baadhi ya sheria ikiwemo ya makosa ya mtandao , sheria ya vyombo vya habari
>>>Kuachia uwanja kwa watetezi wa haki za binadamu kufanya shughuli zake
LIMETAKA PIA HAYA YAWEPO
>>>Tume huru ya kuchunguza kutekwa na kuakamatwa kwa waandishi wa habari na watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha
>>>Hatua za kisheria kuchukuliwa kwa wale wataobainika kuvunja haki za binadamu

EU wapambane na wakimbizi waliotengeza Libya, Tanzania sio jimbo la EU!
 
Haya masuala hayataki hasira unaweza kujikuta tunaingia kwenye shida. katika points zote zinatekelezeka point ya ushoga haina nguvu sana tuikatae lakini ukifanya 90% watu watakuelewa. mbona nchi nyingi zinakataa ushoga na uhusiano uko ok. Mimi nadhani hilo wameliingiza tu sababu yako ya msingi ndio muhimu kwao na kwetu. Tujiulize ni kwanini sasa na sio huko nyuma? tukubali yako mambo hayako sawa haiwezekani matukio kama ya Lissu' watu kupotea sijui watu kufungwa uchunguzi miaka hakuna kesi halafu sijui kutekwa mwisho wa siku tusijue nani anafanya haya kama nchi, hapo ndio kunatia shaka ni lazima tujisafishe. Ushoga ni sehemu tu lakini sio muhimu na wala sisi hatukutakiwa kusema hayo katika media kama vita kwa faida ya nani? suala la misaada ni kwamba tutake tusitake ukiwa huwezi kujitegemea basi lazima ukubali aina fulani ya utumwa hata kama unamtegemea kaka au dada akulishe basi utakuwa chini yake tu heshima inakuja ukijitegemea. Sasa je tuna uwezo wa kujitegemea 100%? jibu NO. lazima tuwe wa pole na tukikataa basi iwe kwa adabu tukijifanya jeuri basi ya Mugabe hayako mbali huo ndio ukweli japo ni mchungu.
 
Kuna mambo ta msingi anbayo serikali sikivu lazima iyafanyie kazi.
 
Habari za Asubuhi wanaJF na watanzania kwa ujumla.
"Tusimame ili tuhesabiwe"

Katika kutafuta taarifa hapa na pale ili kujibu hoja zinazotolewa na baadhi ya wadau humu jamvini eti Sisi tunashambulia Sana Issue ya Ushoga badala ya hoja nyingine nimekutana na Ushahidi usio na shaka kwamba waliowasilisha na kuupigia kura muswada au motion kuhusu resolutions za EU kwa Tanzania ni wabunge wa EU parliement ambao ni kundi au muungano wa wabunge watetezi wa mashoga.

Hivyo ni wazi kuwa resolutions hizi zimeandaliwa kwa niaba ya watetea ushoga.

Hii ni kadhia na aibu ya mwaka kwa EU kutaka kutulazimishia Ushoga.

Hapa Chini nitaweka link ya orodha ya wabunge na vyama hivyo vya utetezi wa Ushoga.

Pia nitaweka link ya Wabunge au vyama vilivyowasilisha na kuipitisha hiyo motion kwa kishindo.

MWISHO
Watanzania hasa vijana tusimame imara sana na tujilinde na kubakia na "marinda"
Ushoga utalazimishwa kwa njia mbalimbali lakini tusimamie maadili ya Taifa.

Joint motion for a resolution on Tanzania - RC-B8-0570/2018


European Parliament Intergroup on LGBT Rights - Wikipedia


pascall Mayalla FTP Mwanahabari Huru Mzee Mwanakijiji BAK
 
Historia huwa haipotei na kamwe haidanganyi. Wananchi wa Libya waliambiwa na Mabeberu kwamba Ghadafi ni tatizo na iwapo akiondoka madarakani wananchi wa Libya wataishi maisha mazuri sana. Hebu tujiulize: Wamarekani waliongoza mapambano ya kumuua na kumuondo madarakani Rais Muamar Ghadafi, JE, Libya wana maisha gani mazuri leo hii zaidi ya mateso makali?

Walibya waliahidiwa kwamba Ghadafi akiondoka madarakani nchi ya Libya itakuwa na Demokrasia safi na ya kweli. Hebu tujiulize: Iko wapi hiyo Demokrasia nchini Libya baada ya Mabeberu kumuua Ghadafi? Hakuna Demokrasia zaidi ya mateso nchini Libya na maisha magumu.

Tusisahau yanayowakuta Iraki na Siria kwa Bashar Asad ambapo mabeberu wanataka kupandikiza vibaraka wao ili wachote rasilimali ya mafuta kwa manufaa yao. Kote huko ni mateso makali. Walimuua Rais Saddam Hussein na kuwahakikishia wana dunia hii kwamba Iraki itakuwa na Demokrasia na maisha mazuri. Tujiulize yako wapi maisha mazuri Iraki zaidi ya machafuko yasiyoisha tangu Mwaka 2003 hadi leo hii?

Watanzania tunapaswa kutumia yanayowapata Walibya na wairaki kujifunza kwamba kamwe Mabeberu wa Ulaya na kwingineko duniani hawawezi kusimama na serikali yetu pale wanapoona tunajenga uchumi wetu ili tujitegemee. Lazima tufahamu kwamba watatuchonganisha na kupandikiza vibaraka wao nchini wakiwemo waafrika wenzetu ambao leo hii tunawaona wakidiriki kupigia upatu Mashinikizo yao ya kijinga yakiwemo ushoga, Mara wanatetea demokrasia yetu nk.

Wameshindwa kuisadia Libya na Iraki kama walivyoahidi na kuaminisha ulimwengu kwamba kuna matatizo makubwa ya kidemokrasia katika nchi hizo nk, hakuna amani huko zaidi wamesababisha machafuko makubwa katika nchi hizo; watawezaje kutusaidia sisi watanzania tena Taifa letu ambalo tuko salama sana, hatuna matatizo kama wanavyoeleza mabeberu na vibaraka wao?

Mabeberu hao wasiofaa hata kidogo wamekaa kimya kuhusu yanayoendelea nchini Ufaransa kana kwamba hawaoni kitu. Watu wanaandamana mwezi mzima kumshinikiza Rais Emmanuel Macron aondoke madarakani lakini tujiulize ni lini Mabeberu wa EU na vibaraka wao walitoa tamko lolote kumshinikiza beberu mwenzao aondoke madarakani? Watanzania sharti kustukia maigizo ya mabeberu na uonevu dhidi ya mataifa ya kiafrika.

Kudhibiti Makinikia na biashara harama za kutupora madini yetu haijawapendeza wazungu hata kidogo na kwa hiyo basi wameamua kupambana na sisi kwa namna mbalimbali ikibidi hata watufarakanishe ili nchi yetu ipoteze mwelekeo na isitawalike. Mabeberu wanatueleza wanapigania demokrasia ndani ya nchi yetu wakati wanajua fika walitoa ahadi ya aina hiyo kwa Libya na kwingineko duniani lakini hadi leo hii Libya hakuna demokrasia wala amani bali machafuko.

Walibya wanajuka kukubali kuhadaiwa na mabeberu, wanamkumbuka ghadafi na kujuta sana kuuawa kwa Rais Muamar Ghadafi. Wanakumbuka fadhila za Ghadafi aliyekuwa akiwapatia malipo ya chakula kila mwezi wananchi masikini, leo hakuna malipo hayo. Wanamkumbuka ghadafi aliyekuwa akiwalipia mahali za kuoa walibya masikini lakini leo hakuna fadhila hizo. Wanamkumbuka ghadafi aliyeapa kupambana na ubeberu ili usiitawale afrika. Ghadafi alijipambanua kama kiongozi asiyetaka kuona Afrika inaonewa na kushikizwa kufanya mambo ya kijinga kwa maslahi ya mabeberu.

Watanzania tupeuke mtego uliowamaliza walibya ili tusije kujuta kama walibya leo hii. Hawa vibaraka na vijakazi wa mabeberu wanaopiga kelele kwamba Tanzania tunaenda vibaya hawana mana kabisa bali wanatumikia mabeberu wanaotaka kututawala ili wapole rasilimali zetu. Hawa vibaraka na mabeberu wao tuwaogope kama Ukoma.

Pinga UBEBERU NA VIBARAKA wao wote kwa maslahi ya Taifa hili.
Kuna hoja zaidi ya kumi za EU, jibu angalau moja au mbili t, usijaze kurasa hadithi za alfu lela ulela
 
Duh hatari sana ili tufaidi wote kampuni zao zilipe cooperate taxi hapa. Vinginevyo tutakuwa tunanyonywa na kupangiwa sheria. Mfano North Mara acacia wamewekeza dollar billion 3. Bila kulipa ushuru hapa TZ mwanachi ya Tarime wanafaidika nini. Misaaada ni mbinu ya unyonyaji
msaada wa nini? Tuna reserve ya dola bil 5
 
Kwanini watuingilie kwenye mambo yetu ya ndani?, hawa watu hawamjui Magufuli?.
Tanzania ni sovereign state, hatupangii watu na hatupangiwi.
Subirini tamko
P
Ahahaha,,kaka umehamua kuwa upande wao ,soon utakuwa mjengoni,,umehamua kusalimisha silaha,, ungekuws mme wangu ningekutupia rambo lako,,maana sipendi dume lioga oga kabisa, lol
 
Jaribu kuondoa hayo mengine bakiza ushoga na jipe mda kutafakari.Hao jamaa wamechanganya habari yaani wanalazimishia

Ushoga yenyewe umeielewa vibaya vilevile!

Hakuna mtu anasema waTZ tombaneni matakoni kwa lazima....

Kwanza matako ni yako,who cares unayafanyia nini humo vyumbani mwenu?No one!

Wanachotaka ni haki kwa yeyote hata mashoga,wana haki zao kama wanadamu...huwezi shika mashoga kama kuku na kuwatupa jela bila due process!

Wezi na wauaji wenyewe wana haki sembuse unaemuita shoga?

Kwanza shoga ni nani?How can you scientifically prove mtu ni shoga?.....

Do not confuse kabisa,mapenzi kinyume na maumbile wanafanya wanadamu wote inakuaje unabagua mashoga tu?

Wake zenu mnawatomba matakoni kila siku,na nyie tuwafanyeje?
 
Hili ni somo kwa tanzania,maamuzi ya kukurupuka ngoja tukose wote.kwanza hiyo misaada na mikopo kutoka mataifa ya magharibi haina maslahi kwa wananchi yaani inaishia mikononi mwa wakoloni weusi ambao ndo ccm.binafsi naunga mkono hoja za msingi kumi na tano( 15 ) za bunge la ulaya.
Hahahaa mchango wa bajeti kutoka washisa i ni zaidi ya 20%, mrejesho wa bajeti ya 2017/18 serikali ilitoa pesa 40%, whichi. means serikali yetu uwezo wa kujiendesha uko chini ya asilimia 20.
 
Nampenda Membe aliyewahi kusema, hata ikibidi tupate pesa kutoka kwa shetani tutazifuata ili watu wetu wasife njaa. Alisema hili alipokuwa anawajibu wapinzani wake kuhusu faida za kujiunga na OIC
Kamwambie kuna watanzania wengi hawataki kula vya shetani.
Kujenga ushirika na shetani ni laana.
Mambo ya kusafishana mitaro ya uchafu wa chakula kikuchotumika sio utamaduni wetu na sio sawa ktk imani za dini zetu na walizotuletea wageni.
 
Mungu awabariki Waafrika
na awape akili na nguvu

na atuepushe na kuwa tegemezi kwa Wanyonyaji na wanuka damu
Amina, awape nguvu na kuwaepusha na watawala madikteta wanaopiga risasi wenye mawazo tofauti na wao, wanao teka, wanaonyima uhuru wa kupeana habari, wanaotunga sheria mbovu kama za takwimu, wanaofikiri maendeleo sio proccess bali ni kama kwenda dukani kununua koti na kulivaa, hivyo hawasikii ushauri wowote, na wakishatoa amri watu wauwawe wanaenda makanisani kuomba WAOMBEWE!
 
Wachina ni wanyonyaji tu.
Hahahaa mchango wa bajeti kutoka washisa i ni zaidi ya 20%, mrejesho wa bajeti ya 2017/18 serikali ilitoa pesa 40%, whichi. means serikali yetu uwezo wa kujiendesha uko chini ya asilimia 20.
 
Mimi ninachompenda Mzungu, ni kupenda ustawi wa watu kuliko vitu! Anachofanya Jiwe ni klupambana na ustawi wa vitu huku akiminya ustawi wa watu..! Hii haiwezekani popote pale, lazima kubalance!

Hapo hata mimi naungana na Wazungu, ache waje tu, wamfunze ustaarabu.
Kwa hiyo Libya saizi wanafurahia ustaarabu wa watu sio! Ifike mahali tufikirie nje ya box!
 
Back
Top Bottom