European Parliament resolution on Tanzania

European Parliament resolution on Tanzania

Papaa Mobimba, Tenda kubwa unawapa waarabu Egypt wa China na wa Russia....wewe c unajiona mzee wa visasi..... sasa mabingwa wa visasi wako mlagoni kwako kwa kila aina ya visingizio (human rights) jirekebishe bwana mkuu huwezi kuwashinda wale
Lakin jamani tuwe wakweli kabisa hawa jamaa mbona wanakuja na ishu za mashoga SNA tukubaliane tu
 
Unaongelea nchi kama France ambayo population ni 69% irreligious na 29% ni atheists,ofcourse by default wataokamatwa wengi ni waislamu kwasababu pia France ndio nchi inayoongoza ulaya kwa kuwa na waarabu wengi,ambao wengi ni waislamu pia. Utamaduni wa kifaransa kwa muda mrefu sana haukubaliana na mambo ya dini,mfano mzuri ni swala la Charlie Hebdo,gazeti lilikuwa lina'attack dini zote kwenye matoleo yake but ilionekana kama waislamu ndo wanaonewa,waislamu wengi ndio waliokuwa wanalalamika,ingawa wakristo,papa,Yesu na Mungu alikuwa anachorwa mara kwa mara pia.

E.U ilituma wajumbe Belgium kuongea na Lissu,muda mrefu sana kabla ya issue za ushoga kuibuka Tanzania,hiki ni kisingizio ambacho wengi tunapenda kukitumia kwamba E.U wameibuka kwenye issue za ushoga tu.
Mambo mabovu kwenye hii nchi yameanza zamani na yalikuwa yanaangaliwa tu na mataifa mengine.

Uhuru hakushinda kesi Hague!!?baada ya kushinda kesi,umeona anavyoishi na wapinzani wake!!?..... Future za kidemokrasia ziko wapi kwa Uganda,Rwanda na Burundi!!?unataka kuishi kwenye nchi ambayo unakatwa mshahara ili kuchangia uchaguzi wa kiongozi ambaye hataki kutoka madarakani,anajibadilishia katiba tu,kila inapokaribia uchaguzi!!!?

Siamini E.U iko perfect wala Mataifa ya Magharibi yako perfect,mengi yana makosa yao pia but mengi pia yamekomaa kidemokrasia na issue za haki za binadamu,tofauti na mataifa yetu huku ambako asilimia kubwa bado tuna'cherish authoritarian over democratic rule,na kwa namna moja au nyingine tunahitaji kuwe na watchdog ili kunapotokea uminywaji wa kidemokrasia/uvunjaji wa haki za binadamu tuwe na sehemu za kwenda kulilia,nchi nyingi za Africa hazijakua kidemokrasia kuwe atleats na tume huru kama mahakama kuu Ile ya Kenya ilivyofanya kwenye uchaguzi uliyopita,so twende tukalilie wapi haki zetu!!?

Tukuwe kidemokrasia,umeona E.U au Mataifa ya Magharibi yanahangaika na Nchi kama Ghana,Namibia au Botswana!!?ni nchi zinazoendelea kukuza demokrasia ya kweli na husikii kelele wala Kiki za kijinga.

Swala la Mwisho,wakati wa JK hakukuwa na issue za mashoga!!?alipokuwa anaulizwa alikuwa anajibu nini!!?"Hili sio swala langu binafsi ni swala la Utamaduni wa Kitanzania,tukifikia wakati watanzania wanapenda kuliongelea tutaongea"....Finito,hakuna kukamata mashoga wala kuhangaika nao,nani alidhurika au kukosa chochote!!?Hii mihemko ya ushoga inatoka wapi kama sio cheap publicity stunts kuonekana kama viongozi wanafanya kazi kumbe hamna lolote,btw hizo cheap publicity stunts pia zinatumika na viongozi wa ulaya kwa wanachi wao kuonyesha wanafanya kazi na kusimamia haki za binadamu,so tusilaumu upande mmoja tu.

Wewe unaonekana unabisha ili ubishe tu. Sentesi yako ya kwanza tu sio sahihi. Zaidi ya 50% ya wafaransa wanajitambulisha kuwa na dini rasmi kama ukristo, uislam, etc. Acha kutumia wikipedia, zamia kwao wiki chache ujielimishe. Binafsi sicomentigi vitu vy kugoogle au kuhadithiwa, hivyo nitaishia hapa hapa na msimamo uleule; Bora nife masikini na watoto wangu kuliko kukubali dhihaka ya mwanaume mwenzangu. EU wakae na pesa zao, lakini utumwa mambo leo mtu hata kujamba hujambi kisa mfadhili wako atanuna, hapana.
 
Umejitahidi kujibu, hongera japo mengine umeyaacha. Kwa mfano kuna statement moja kwenye hilo azimio la bunge la ulaya kulikoandikwa kuwa kuna mbunge mmoja wa Chadema ameuawa. Ni uongo mtupu, haya ni mambo ya ajabu sana.
Ni diwani, na siyo mbunge. Hata diwani ni kiongozi, ni mtanzania, ni binadamu.

Hata kama siyo mbunge lakini ni ukweli kuwa ni kiongozi wa CHADEMA, na ni kweli ameuawa
 
Statistics za dini na France,kila mtu atavuta upande wake since 50% Catholics na minorities 8% pia iko Wikipedia, as 29% atheists and 69% irreligious,so usiwe so mwepesi ku'jugde watu while unatumia sources hizohizo, tatizo tulilonalo wote wawili tume'fall victim wa confirmation bias,tunafuata data zinakubaliana na tunachosema.so hakuna aliye sahihi.

"Bora ufe maskini kuliko kukubali aibu ya mwanaume Mwenzio"

Zimbabwe iko wapi leo!!?na kiburi chote cha kujitenga na mataifa ya ulaya na kuikumbatia China,unafikiri akina Mwalimu na kwame walikuwa wajinga walipojiunga na NAM!!?

Tutajitenga na kupoteza miaka 10 if we luck ya maendeleo,uchumi ukidorora na kusinzia,and then tutarudi na kuomba msamaha na kuanza tena kuomba misaada kwa haohao wazungu, ambao watakuwa na masharti magumu zaidi ya haya ya leo.

Ndio maana wenye akili huwa wanajifunza toka kwenye historia coz "History tends to repeat itself"

Wewe unaonekana unabisha ili ubishe tu. Sentesi yako ya kwanza tu sio sahihi. Zaidi ya 50% ya wafaransa wanajitambulisha kuwa na dini rasmi kama ukristo, uislam, etc. Acha kutumia wikipedia, zamia kwao wiki chache ujielimishe. Binafsi sicomentigi vitu vy kugoogle au kuhadithiwa, hivyo nitaishia hapa hapa na msimamo uleule; Bora nife masikini na watoto wangu kuliko kukubali dhihaka ya mwanaume mwenzangu. EU wakae na pesa zao, lakini utumwa mambo leo mtu hata kujamba hujambi kisa mfadhili wako atanuna, hapana.
 
Ni diwani, na siyo mbunge. Hata diwani ni kiongozi, ni mtanzania, ni binadamu.

Hata kama siyo mbunge lakini ni ukweli kuwa ni kiongozi wa CHADEMA, na ni kweli ameuawa
umetoka nje ya hoja
 
>>>Haki za binadamu
>>>Kamata kamata ya wapinzani
>>>Elimu
>>>Afya
>>>Haki ya kupata habari
>>>Sheria kandamizi na matamko
>>>Mikutano ya kisiasa kupigwa marufuku
>>>Kuandamwa kwa watetezi wa haki za binadamu
>>>Kufungiwa vyombo vya habari
>>>Kuandama watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja (ushoga/usagaji. CCM wanasimamia ushoga tu, usagaji hawausemei ina maana wanaukubali)

BUNGE HILO LIMETAKA PIA HAYA YATEKELEZWE
>>>Kuachiliwa wafungwa wote wa kisiasa
>>>Kurekebisha baadhi ya sheria ikiwemo ya makosa ya mtandao , sheria ya vyombo vya habari
>>>Kuachia uwanja kwa watetezi wa haki za binadamu kufanya shughuli zake
LIMETAKA PIA HAYA YAWEPO
>>>Tume huru ya kuchunguza kutekwa na kuakamatwa kwa waandishi wa habari na watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha
>>>Hatua za kisheria kuchukuliwa kwa wale wataobainika kuvunja haki za binadamu
 
Daaa Aisee Magu kayataka mwenyewe, hivi yasipotekelezwa itakuwaje
 
Hayo yote sikuona sababu hata moja yalipokuwa yanazuiliwa.. Nilikuwa nashangazwa sana kwa mtu mcha Mungu kuzuia haki za raia wake... Ila anaweza achia EU na US wamemzodoa tu kwa kumuambia ukweli kuwa ukandamizi sio mwake kabisa only for the people who have roho mbaya... Jiwe alikuwa anasubiri Jogoo EU awike akawika now jogoo US nae kawika so akiendelea na roho mbaya vikwazo nami niviunga mkono kwani anayefaidika na keki ya taifa ni yeye na regime yake
 
Back
Top Bottom