European Parliament resolution on Tanzania

European Parliament resolution on Tanzania

Nyie wazungu mnawafurahia bila kufahamau. Mnawachekelea bila kufikiria na mnawashangilia bila kufahamu mchezo wauchezao. Kwa kifupi ni hivii, wazungu hawapendi tupige hatua hata kama ni sentimita moja. Kununua ndege kwa cash kwao ni matusi. Kujenga reli ya SGR kwao ni kero. Kujenga lile bwawa la Stiglas kwao ni kasheshe kubwa sana. Mchanga wao mpaka sasa tunao na tumesiliba mianya yao ya kupata vitu na mali zetu chelelee hawatatupenda wala kukubali. Kwa anaedhani wazungu wanatupenda saaana na wanatuomnea tutoke siku moja anajidanganya sana na sana. Waliweza kumgombanisha Mzee Muamal Gadafi na watu wake ambao waliishi bure wakipewa kila kitu na selikari na sasa wanajuta kupita kiasi na naona hatujajifunza tuu. Jifunzeni kwa Sadam, Gadafi na hata Mubarak na muangalie kama kuna kitu cha maana wamepata baada ya waliouita msaada wa wazungu ili kupata demokrasia. Hawa wanataka dhahabu, almasi, na vito vingine bila kizuizi na wala sio demokrasia. Waogopeni kama ukoma na kama mnaweza unganeni muwe kitu kimoja hawatatuweza. Someni hata histiria kidogo mtawaelewa. Hakuna mzungu anapenda mswahili but wanataka mali zetu tuu na hakuna jipya.

Mimi binafsi nasema nawazichukue tu, ila watutolee hilo jiwe basiiiiii
 
Nikiona mTanzania mwenye akili ya kuleta maneno kama haya hapa namdharau sana,wewe kumbe mtu anaweza akatoka huko atokako akaja hata nyumbani akakwambia mke wako awe wa kwake kwa uhulu wa mtu binafsi utamkubalia.mzungu atoke huko atokako aje na upumbavu wake kwetu na sisi tuupokee?wakati mwingine watu wanaoandika maneno kama haya ni wale waliobanwa na Makonda hivi majuzi sasa eti wanataka uhulu wao,mTanzania mependa taifa lake na mzalendo hawezi kuja na upuuzi huu

Zinduna unachekesha, akili hizi eti bashite kabana watu, nasema “ WEWE NI SAWA NA BASHITE” natamani hata watoto wako na kizazi chako chote muwe na akili kama za bashite.
 
Tusisahau yanayowakuta Iraki na Siria kwa Bashar Asad ambapo mabeberu wanataka kupandikiza vibaraka wao ili wachote rasilimali ya mafuta kwa manufaa yao.
Ukosefu wa akili na busara ni jambo baya sana.

Wewe huoni mnazidi kuwarahisishia kazi yao hao mabeberu kwa juhudi zenu za kuwatengeneza unaowaita "vibaraka?"

Mtu kama unayo akili nzuri na unajua tabia za hao wanaokuzonga, utafanya kila juhudi za kuwanyima fursa hiyo. Unafanya mambo yako bila kuzalisha vibaraka.

Sasa, kwa mifano uliyotoa hapo juu, matokeo yake tunayajua. Kama mtaendelea kuzalisha 'vibaraka' na nyinyi mtakumbwa na kimbunga kile kile kilichowakumba Ghadafi na Saddam.
 
USIKUBALI KUPOTOSHWA HAYA NDIYO MAAZIMIO YA BUNGE LA ULAYA EU

Waziri wa mabo ya nje asema awezi kuzungumzia azimio hilo anasubiri Raisi atoe tamko

>>>Utawala wa sheria
>>>Haki za binadamu
>>>Kamata kamata ya wapinzani
>>>Elimu
>>>Afya
>>>Haki ya kupata habari
>>>Sheria kandamizi na matamko
>>>Mikutano ya kisiasa kupigwa marufuku
>>>Kuandamwa kwa watetezi wa haki za binadamu
>>>Kufungiwa vyombo vya habari
>>>Kuandama watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja

BUNGE HILO LIMETAKA PIA HAYA YATEKELEZWE

>>>Kuachiliwa wafungwa wote wa kisiasa
>>>Kurekebisha baadhi ya sheria ikiwemo ya makosa ya mtandao , sheria ya vyombo vya habari
>>>Kuachia uwanja kwa watetezi wa haki za binadamu kufanya shughuli zake

LIMETAKA PIA HAYA YAWEPO

>>>Tume huru ya kuchunguza kutekwa na kuakamatwa kwa waandishi wa habari na watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha
>>>Hatua za kisheria kuchukuliwa kwa wale wataobainika kuvunja haki za binadamu

Saaaaaafi sana naona safari ya jiwe imeishia njiani
 
Tusipofanya watatufanya nini? Kweli Bunge la Ulaya linatawala Tanzania?

Nachojua sisi ni wanachama wa jumuia ya umoja wa kimataifa UNO na sio EU. EU sisi inatuhusu nini?

Nyie nafikiri mtambabaisha nani? Magufuli?

Akili zenu ziko matakoni. Mnashindwa kutambua function ya EU. Kama Tanazania inakiuka haki za binadam wampeleke Rais wetu basi in The Hague. Si walifanya hivyo baada ya uchaguzi? Waliishia wapi?

Kama Tanzania ingekuwa inakiuka haki za binadam UNO si ingeingilia kati na kulaani kitendo hicho na kutuma vyombo vinavyo husika kuja kufanya mashauriano na serikali na kama tusinge acha UNO ingepitisha Azimio lolote zidi ya nchi yetu na sio EU. Mbona Kenya walifanya hivyo?

Kila mara nasikia EU EU EU EU EU EU EU EU mbona si sikii UNO UNO UNO UNO UNO UNO. What is EU?

Mnaamini kweli member states za EU zitumie maelfu yao ya pesa kuitisha kikako ili kuijadili Tanzania? Wamepata wapi mamlaka hayo? Kwa misingi ipi? Kwani nchi yetu ni member state ya EU?
 
USIKUBALI KUPOTOSHWA HAYA NDIYO MAAZIMIO YA BUNGE LA ULAYA EU

Waziri wa mabo ya nje asema awezi kuzungumzia azimio hilo anasubiri Raisi atoe tamko

>>>Utawala wa sheria
>>>Haki za binadamu
>>>Kamata kamata ya wapinzani
>>>Elimu
>>>Afya
>>>Haki ya kupata habari
>>>Sheria kandamizi na matamko
>>>Mikutano ya kisiasa kupigwa marufuku
>>>Kuandamwa kwa watetezi wa haki za binadamu
>>>Kufungiwa vyombo vya habari
>>>Kuandama watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja

BUNGE HILO LIMETAKA PIA HAYA YATEKELEZWE

>>>Kuachiliwa wafungwa wote wa kisiasa
>>>Kurekebisha baadhi ya sheria ikiwemo ya makosa ya mtandao , sheria ya vyombo vya habari
>>>Kuachia uwanja kwa watetezi wa haki za binadamu kufanya shughuli zake

LIMETAKA PIA HAYA YAWEPO

>>>Tume huru ya kuchunguza kutekwa na kuakamatwa kwa waandishi wa habari na watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha
>>>Hatua za kisheria kuchukuliwa kwa wale wataobainika kuvunja haki za binadamu
Wapumbavu sana kwa kipindi cha jakaya na kipindi hiki ni kipindi kipi kulikua na ukiukwaji wa haki za binaadam zaidi
 
Kwanini watuingilie kwenye mambo yetu ya ndani?, hawa watu hawamjui Magufuli?.
Tanzania ni sovereign state, hatupangii watu na hatupangiwi.
Subirini tamko
P
Nimependa jibu la Waziri Mahiga. Jamaa akili nyingi sana. Ameona Tanzania haina sera inayoeleweka ya mambo ya nje na yeye kama Waziri mwenye dhamana anashindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo kwa kua kuna mtu mmoja tu ndio anajua mwelekeo wa wetu kwa siasa za kimataifa ukoje

Kimsingi Waziri Mahiga ni kama vile kajivua lawama na anasema anayejua kila kitu ni mtukufu Rais na tusubiri yeye atoe tamko
 
Mkuu Mjusi Mweupe, hata wakituwekea vikwazo vya kiuchumi, misaada ya kibinaadamu iko pale pale, hivyo support ya TB na ARV itaendelea sambamba na misaada ya USAID itaendelea.
P
Nchi ikuwekee vikwazo alafu ikupe misaada???[emoji23][emoji23] Hivi lumumba huwa mnajaza ujinga tu huko eti
 
Wapumbavu sana kwa kipindi cha jakaya na kipindi hiki ni kipindi kipi kulikua na ukiukwaji wa haki za binaadam zaidi
Moto uliosukumiwa jana usiku haukutosha eti??? Unatafuta bwana...
 
Nikisoma comment za watu hapa najisikia homa moja kwa moja, yaani mijitu inamuabudu mzungu kuliko Mungu.
 
Hili ni somo kwa tanzania,maamuzi ya kukurupuka ngoja tukose wote.kwanza hiyo misaada na mikopo kutoka mataifa ya magharibi haina maslahi kwa wananchi yaani inaishia mikononi mwa wakoloni weusi ambao ndo ccm.binafsi naunga mkono hoja za msingi kumi na tano( 15 ) za bunge la ulaya.
 
Rais yupo yupo tu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtakufa kama kuku mzee baba.. Arv sio 200..!! Hiyo elimu bure pesa za msaada hizo... Vyuoni mikopo ni misaada tu... Sasa jidai unajiwezaa ufe kibudu
 
Katiba ilikusaidia nini enzi za Kikwete au Mkapa? Mwacheni Magufuli asafishe nchi, wananchi inabidi wahamke maana ujinga umewazidi.
 
Back
Top Bottom