European Parliament resolution on Tanzania

Maazimio ya EU yanapaswa kutafsiriwa kuwa ni uingiliwaji wa masuala ya Taifa Huru. Kwa nini hawakutoa azimio dhidi ya Donald Trump kwa kauli yake ya kupinga ndoa za jinsia moja? Wana njama dhidi ya Waafrika na wanashtushwa na utekelezaji wa Rais Magufuli
 
wanasema kuna uminywaji wa vyombo vya habari lakini donald trump kuipiga marufuku CNN kutohudhuria mkutano wake hawaoni ni tatizo kwa vyombo vya habari. Magufuli anawabinya wazungu mpaka wanakosa muelekeo. wanataka watu wafanye kampeni baada ya uchaguzi, wakati hata nchini mwao hawafanyi siasa zahivyo
 
Sisi ni sehemu ya dunia pakichafuka hata wao hawako Salama watalamika kuhudumia wakimbizi
Maazimio ya EU yanapaswa kutafsiriwa kuwa ni uingiliwaji wa masuala ya Taifa Huru. Kwa nini hawakutoa azimio dhidi ya Donald Trump kwa kauli yake ya kupinga ndoa za jinsia moja? Wana njama dhidi ya Waafrika na wanashtushwa na utekelezaji wa Rais Magufuli
 
Sharti moja kuu

Lisiungwe mkono kwa namna yoyote ile

HAKUNA HAKI KWA MASHOGA NA WASAGAJI
Mambo mengine yanafikirisha, mm sipendi ushoga na mashoga kabisaa! Sipendi ukatoliki na wakatoliki sipendi uislam na waislam, sasa kwanini niitake serikali kuwanyima haki zao eti kwa sababu sipendi ukatoliki,uislam au ushoga? Hizi haki zinawahusu wao sasa mimi inaniuma nini kama mashoga, wakatoliki waislam wanaoewa haki zao mimi zangu za kilokole ziko palepale sinyanganywi? Mbona huu ni ubinafsi? Mm kama mlokole naona wakatoliki ni public enemy halafu ni wengi kuliko mashoga, mitaa ya kwetu sijaona shoga hata mmoja lakini wakatoliki na waislam wamejaa kibao wanaharibu mila na desturi zetu za kiafrica, hebu tuiombe serikali izifute hizi haki za hawa wakatoliki na waislam
 
Maazimio ya EU yanapaswa kutafsiriwa kuwa ni uingiliwaji wa masuala ya Taifa Huru. Kwa nini hawakutoa azimio dhidi ya Donald Trump kwa kauli yake ya kupinga ndoa za jinsia moja? Wana njama dhidi ya Waafrika na wanashtushwa na utekelezaji wa Rais Magufuli
 
Habari za Asubuhi wanaJF na watanzania kwa ujumla.
"Tusimame ili tuhesabiwe"

Katika kutafuta taarifa hapa na pale ili kujibu hoja zinazotolewa na baadhi ya wadau humu jamvini eti Sisi tunashambulia Sana Issue ya Ushoga badala ya hoja nyingine nimekutana na Ushahidi usio na shaka kwamba waliowasilisha na kuupigia kura muswada au motion kuhusu resolutions za EU kwa Tanzania ni wabunge wa EU parliement ambao ni kundi au muungano wa wabunge watetezi wa mashoga.

Hivyo ni wazi kuwa resolutions hizi zimeandaliwa kwa niaba ya watetea ushoga.

Hii ni kadhia na aibu ya mwaka kwa EU kutaka kutulazimishia Ushoga.

Hapa Chini nitaweka link ya orodha ya wabunge na vyama hivyo vya utetezi wa Ushoga.

Pia nitaweka link ya Wabunge au vyama vilivyowasilisha na kuipitisha hiyo motion kwa kishindo.

MWISHO
Watanzania hasa vijana tusimame imara sana na tujilinde na kubakia na "marinda"
Ushoga utalazimishwa kwa njia mbalimbali lakini tusimamie maadili ya Taifa.

Joint motion for a resolution on Tanzania - RC-B8-0570/2018

European Parliament Intergroup on LGBT Rights - Wikipedia

pascall Mayalla FTP Mwanahabari Huru Mzee Mwanakijiji BAK
 
Kwa maoni yangu wako sawa unasema hvyo kwa sababu hujashuruyishwa na awamu hii ,mahakama na bunge ambayo ndo mhimili kimbilio kwa wananchi wanaonewa na either viongozi au watu wenye influence na wakubwa,kwa bahat mbaya vyombo hivi kajimilikisha jiwe,swali unataka wanaoonewa watakimbilia wapi?Mpasuko wa kitaifa mara nyingi husababishwa na viongozi wasiozingatia sheria za nchi na kufanya maamuzi kwa utashi binafs
 
EU na USA wametupa Tanzania zawadi ya Xmass × Mwaka Mpya. Ila hilo swala la ushoga hatutakubaliana nalo.[emoji53]
 
Hoja za bunge la ulaya ni ushoga tu?? Mbona mnatengeneza chokochoko mbaya zaidi!! ? Mnajitoa ufahamu sio??
Habari za Asubuhi wanaJF na watanzania kwa ujumla.
"Tusimame ili tuhesabiwe"

Katika kutafuta taarifa hapa na pale ili kujibu hoja zinazotolewa na baadhi ya wadau humu jamvini eti Sisi tunashambulia Sana Issue ya Ushoga badala ya hoja nyingine nimekutana na Ushahidi usio na shaka kwamba waliowasilisha na kuupigia kura muswada au motion kuhusu resolutions za EU kwa Tanzania ni wabunge wa EU parliement ambao ni kundi au muungano wa wabunge watetezi wa mashoga.

Hivyo ni wazi kuwa resolutions hizi zimeandaliwa kwa niaba ya watetea ushoga.

Hii ni kadhia na aibu ya mwaka kwa EU kutaka kutulazimishia Ushoga.

Hapa Chini nitaweka link ya orodha ya wabunge na vyama hivyo vya utetezi wa Ushoga.

Pia nitaweka link ya Wabunge au vyama vilivyowasilisha na kuipitisha hiyo motion kwa kishindo.

MWISHO
Watanzania hasa vijana tusimame imara sana na tujilinde na kubakia na "marinda"
Ushoga utalazimishwa kwa njia mbalimbali lakini tusimamie maadili ya Taifa.

Joint motion for a resolution on Tanzania - RC-B8-0570/2018

European Parliament Intergroup on LGBT Rights - Wikipedia

pascall Mayalla FTP Mwanahabari Huru Mzee Mwanakijiji BAK
 
Maazimio ya EU yanapaswa kutafsiriwa kuwa ni uingiliwaji wa masuala ya Taifa Huru. Kwa nini hawakutoa azimio dhidi ya Donald Trump kwa kauli yake ya kupinga ndoa za jinsia moja? Wana njama dhidi ya Waafrika na wanashtushwa na utekelezaji wa Rais Magufuli
 
EU wameshasema Uchaguzi mkuu watausimamia tume ilkileta wizi ndio watatumia nguvu kumtoa saddam wa Kuwait.
 
Back
Top Bottom