European Parliament resolution on Tanzania

European Parliament resolution on Tanzania

Na waafrika wanafurahia kujadiliwa, very stupid
Mapiga dili tu hayo wala hayana lolote, yalishazoea kukaa tu vijiweni yakisubiri kahawa huku kaka, Dada zao wakirudi home toka kazini kwa kila siku tayari ana mapato ya 3,000,000/= hadi 5,000,000/=.

Huo upumbavu Magufuli kashaukataa kabisa tangu aingie madarakani.
 
miaka 50 hata bajaji unaagiza china; wewe ni ombaomba tu na lazima uwasikilize hao watoa pesa.
Na bado tu mnawashobokea hao mnaowasikiliza kuwa ni Watu wazuri kwenu maana watawasaidia kiuchumi.

Hivi mtu aache kupambana na hali ya kiuchumi katika kujiimarisha yeye mwenyewe na raia wake, aanze kuhangaika na wewe pasipokuwa na faida yoyote?

Ndugu wezangu mnaibiwa kabisa na hao Wazungu.

Nchi hii ina vichaa wengi sana.
 
>>>Haki za binadamu
>>>Kamata kamata ya wapinzani
>>>Elimu
>>>Afya
>>>Haki ya kupata habari
>>>Sheria kandamizi na matamko
>>>Mikutano ya kisiasa kupigwa marufuku
>>>Kuandamwa kwa watetezi wa haki za binadamu
>>>Kufungiwa vyombo vya habari
>>>Kuandama watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja (ushoga/usagaji. CCM wanasimamia ushoga tu, usagaji hawausemei ina maana wanaukubali)

BUNGE HILO LIMETAKA PIA HAYA YATEKELEZWE
>>>Kuachiliwa wafungwa wote wa kisiasa
>>>Kurekebisha baadhi ya sheria ikiwemo ya makosa ya mtandao , sheria ya vyombo vya habari
>>>Kuachia uwanja kwa watetezi wa haki za binadamu kufanya shughuli zake
LIMETAKA PIA HAYA YAWEPO
>>>Tume huru ya kuchunguza kutekwa na kuakamatwa kwa waandishi wa habari na watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha
>>>Hatua za kisheria kuchukuliwa kwa wale wataobainika kuvunja haki za binadamu
Yap
 
Na bado tu mnawashobokea hao mnaowasikiliza kuwa ni Watu wazuri kwenu maana watawasaidia kiuchumi.

Hivi mtu aache kupambana na hali ya kiuchumi katika kujiimarisha yeye mwenyewe na raia wake, aanze kuhangaika na wewe pasipokuwa na faida yoyote?

Ndugu wezangu mnaibiwa kabisa na hao Wazungu.

Nchi hii ina vichaa wengi sana.
mfano simpo hata uchaguzi unakushinda kuongoza kwa haki; sasa we ni mtu wa karne hii kweli?
 
Pongezi kwa maaskofu, walikemea tabia ya jiwe ya kishetani mapema. Shetani na mama mkwe wake sasa wamekaliya misumari. Walijua wanatukomoa wa tz, sasa wamejikomoa wenyewe.
 
watu weusi kwenye kujitawala tumeshindwa vbaya
 
Ila ukiangalia kwa jicho la mbali hawa eu watakua na sbb zao zingine,maana rwanda tu hapo kuna mabaya yanayofanyika kupitiliza haya ya hapa kwetu lkn wameuchuna tu!
Amegusa maslahi yao, halafu mbaya zaidi anadili nao kibabe sio kwa hoja... wakati wao vitu vingi wanafanya kwa mjibu wa sheria na mikataba tuliosaini wenyewe....
 
Ila ukiangalia kwa jicho la mbali hawa eu watakua na sbb zao zingine,maana rwanda tu hapo kuna mabaya yanayofanyika kupitiliza haya ya hapa kwetu lkn wameuchuna tu!
Usiulinganishe ujinga wa jirani yako na wako hata siku moja kwani hamfanani! Kujilinganisha na mkoa ilihali wewe ni bara kubwa hujitendei haki! Rwanda ina maendeleo makubwa na juzi kawaachia waliokuwa wapingaji wa serikali yake! Hujiulizi ni kwanini kafanya vile?
 
I hope wakina Zitto watayapinga haya maamuzi ya EU maana waliomba Mungu tupate rais dikteta ili awashikishe adabu kwa sababu walimchoka JK kwa udhaifu wake.
Tulikuwa tunataka tupate Rais bora zaidi kuliko JK lakini bahati mbaya tukampata mbaya zaidi. Sijui tuna bahati mbaya gani!

Hivi Tanzania haiwezi kumpata kiongozi mwenye kufanana na Kitumire Masire, aliyekuwa Rais wa Botswana.

Kitumire aliweza kujenga uchumi imara na misingi imara ya demokrasia nchini mwake.

Kwa kuwa wapo watu katika nchi hii wamekuwa wakiomba siku zote kwaajili yetu, huenda Mungu wetu ameisikiliza sala yetu. Ataipatia Tanzania mfumo mzuri wa utawala kwa kupitia mtawala mbaya.
 
Kumekuwa na mashinikizo kutoka EU na US kuwa twaweza kuwekewa vikwazo kwa sababu zaidi ya 15 walizoziona kuwa serikali yetu haiheshimu. Sababu hizo zilianza kupigiwa kelele humu ndani na sasa wakubwa wa dunia wameona waingilie kati.
Nafahamu wapo watu kama Mugabe ambao walikataa kukubali masharti ya EU na US na raia wakaendelea kuvumilia taabu kwa vile waliheshimu historia ya Mugabe katika upiganiaji uhuru wa nchi yao na jinsi alivyo teseka kwa kukaa hata gerezani muda mrefu kwa ajili ya nchi yake.
Jee ni halali kwetu mtu asiye na historia yeyote na nchi hii ambaye mwenyewe anasema "alisukumiziwa" madaraka hayo makubwa tukavumilia mateso yatakayo tokana na vikwazo kwa ajili ya maamuzi yake ya kiburi?
Nadhani kama uzalendo ausemao kila siku upo kwake, basi aamue kukaa pembeni kuepusha mateso kwa raia maana yeye haonyeshi kuyakubali masharti hayo kwani atageuka jiwe la chumvi.
Tunamshukuru kwa aliyo fanya hadi sasa na wengine wataendelea, ila kumvumilia kama Mugabe itakuwa ngumu kwani hana kabisa historia inayo stahili hilo
 
USIKUBALI KUPOTOSHWA HAYA NDIYO MAAZIMIO YA BUNGE LA ULAYA EU

Waziri wa mabo ya nje asema awezi kuzungumzia azimio hilo anasubiri Raisi atoe tamko

>>>Utawala wa sheria
>>>Haki za binadamu
>>>Kamata kamata ya wapinzani
>>>Elimu
>>>Afya
>>>Haki ya kupata habari
>>>Sheria kandamizi na matamko
>>>Mikutano ya kisiasa kupigwa marufuku
>>>Kuandamwa kwa watetezi wa haki za binadamu
>>>Kufungiwa vyombo vya habari
>>>Kuandama watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja

BUNGE HILO LIMETAKA PIA HAYA YATEKELEZWE

>>>Kuachiliwa wafungwa wote wa kisiasa
>>>Kurekebisha baadhi ya sheria ikiwemo ya makosa ya mtandao , sheria ya vyombo vya habari
>>>Kuachia uwanja kwa watetezi wa haki za binadamu kufanya shughuli zake

LIMETAKA PIA HAYA YAWEPO

>>>Tume huru ya kuchunguza kutekwa na kuakamatwa kwa waandishi wa habari na watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha
>>>Hatua za kisheria kuchukuliwa kwa wale wataobainika kuvunja haki za binadamu
 
China ni komba mwiko ni Mkoloni hatari kuliko hata mzungu
Wengi wamefumbwa,hawajui china ni mwizi wa wazi,tena ananyang'anya tu. Bora wazungu mara 100,hata wakiiba ni hesabu ambazo wewe hujaziona. Ona wachina toka walivyoingia nchini walivyoanza kutorosha kwa wingi magogo ya miti pori,wanyama
 
Kumekuwa na mashinikizo kutoka EU na US kuwa twaweza kuwekewa vikwazo kwa sababu zaidi ya 15 walizoziona kuwa serikali yetu haiheshimu. Sababu hizo zilianza kupigiwa kelele humu ndani na sasa wakubwa wa dunia wameona waingilie kati.
Nafahamu wapo watu kama Mugabe ambao walikataa kukubali masharti ya EU na US na raia wakaendelea kuvumilia taabu kwa vile waliheshimu historia ya Mugabe katika upiganiaji uhuru wa nchi yao na jinsi alivyo teseka kwa kukaa hata gerezani muda mrefu kwa ajili ya nchi yake.
Jee ni halali kwetu mtu asiye na historia yeyote na nchi hii ambaye mwenyewe anasema "alisukumiziwa" madaraka hayo makubwa tukavumilia mateso yatakayo tokana na vikwazo kwa ajili ya maamuzi yake ya kiburi?
Nadhani kama uzalendo ausemao kila siku upo kwake, basi aamue kukaa pembeni kuepusha mateso kwa raia maana yeye haonyeshi kuyakubali masharti hayo kwani atageuka jiwe la chumvi.
Tunamshukuru kwa aliyo fanya hadi sasa na wengine wataendelea, ila kumvumilia kama Mugabe itakuwa ngumu kwani hana kabisa historia inayo stahili hilo
"Jee ni halali kwetu mtu asiye na historia yeyote na nchi hii ambaye mwenyewe anasema "alisukumiziwa" madaraka hayo makubwa tukavumilia mateso yatakayo tokana na vikwazo kwa ajili ya maamuzi yake...." [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Historia anayo alikua waziri kwa miaka 20 kajenga bara za rami, madaraja, nyumba za Taifa, kafufua shirika la ndege, flyover ya kwanza Tz Tazara....nk
 
Back
Top Bottom