nilikuelewa vizuri sana mkuuHahahaaaa nimekumbuka hekaya za mambosasa na bashite ulivyotaja wazungu ndio wakanijia "WAZUNGU WALIOVALIA MASK" 😀😀😀😀😀😀😀😀.
Mkuu Mjusi Mweupe, hata wakituwekea vikwazo vya kiuchumi, misaada ya kibinaadamu iko pale pale, hivyo support ya TB na ARV itaendelea sambamba na misaada ya USAID itaendelea.Kwa wababe hawa ukishaingia kwenye 18 zao huchomoki!! Huwezi kuwa masikini ukajifanya jeuri!!! Labda ujifyatue tu ila madhara yake yatakuwa makubwa sana kwa wananchi!! Mfano US, aseme tu kubana kwenye ARV, babaa, mungu aepushee, panadol tu hazipstikani ije kuwa ARV!!! na dawa za TB
Nimeipenda hiiWakijenga shule- marafiki
Wakijenga mahosptal- wafadhili.
Wakisaidia Arvs- wanatupenda.
Wakitoa kodi zao kugharamia chaguzi zetu- wahisani.
Mkigawana nao raslimali zetu- wawekezaji.
Wakiwapa rushwa muwape tenda- wenye nia njema.
WAKITAKA WATU WOOTE TUFAIDI WANACHOTOA- "mabeberu"
ok usiwe tuKwamba sisi tunaounga mkono maazimio ya #EU na #Senate_ya_US ,siyo wazalendo????
~Kwani uzalendo ni kuona #Alphonce_Mawazo akiuawa kwa kukatwa na mapanga nikaamua kunyamaza kimya?!!!?,
~Uzalendo ni kumpoteza machoni Ben-Rabiu Wa Saanane nikakaa kama kasuku nisiseme jambo lolote!!!?
~Uzalendo ni kuona #Azory_Gwanda mwandishi wa habari huyu akipotea na isijulikane amepoteaje halafu nikapiga buyu!!!?
~Uzalendo ni kuona miili iliyotupwa fukweni halafu nisiseme chochote?
~Uzalendo ni kumuona #Tundu_Lissu akiwa kitandani kwa kumiminiwa risasi zaidi ya 38 na bunge likagoma kumtibia hadi leo anapigania maisha yake kwa michango yetu nalo hili ninyamaze kimya??? Nikaushe kama sioni???
~Uzalendo ni kuona kwenye nchi iliyokubali mfumo wa vyama vingi kikatiba na sheria zingine, mikutano ya hadhara na ndani/sirini ikipigwa marufuku halafu nikae kimya???
~Uzalendo ni kuwaona viongozi wa upinzani wa kisiasa wakipigwa na hata kubambikiwa kesi na kuwekwa mahabusu kwa maelekezo ya mtu halafu nikae kimya???
________________________________________
Basi kama uzalendo ndio huo mimi sitaki kuwa mzalendo, na kama tafsiri ya uzalendo inakataa manyanyaso na kujifanya mungu mtu basi nitaunga mkono maazimio yale point moja hadi mwisho, ni kweli mmefanikiwa kuwapa elimu duni wananchi ili muwafanye kuwa mtaji katika propaganda zenu za kitoto kama hizi..... Kwamba kwenye maazimio yote nyinyi mnawalazilisha wabongo waseme yote ni ushoga tu???? Hapana hatuwezi kuwa taifa la mazuzu wote na kuwa wa ndio katįka kila jambo, katika hilo la ndiyo kila jambo mmefanikisha kwa hao wabunge wenu wenye sifa ya kujua kusoma na kuandika, endeleeni nao hao hao, sisi tushawashtukia!!!
Mwache alipuliwe tu! Tutamkuta Chini ya MAKARAVATI na YEYE.Marekani wamesema watahakikisha kuakuwa na uchaguzi wa huru na haki ifikapo 2019/2020.
Sasa akili.mkichwa akishupaza shingo atalipuliwa
Dah...kumbe Kuna bunge la JMT Ulaya....dah[emoji41]USIKUBALI KUPOTOSHWA HAYA NDIYO MAAZIMIO YA BUNGE LA ULAYA EU
Waziri wa mabo ya nje asema awezi kuzungumzia azimio hilo anasubiri Raisi atoe tamko
>>>Utawala wa sheria
>>>Haki za binadamu
>>>Kamata kamata ya wapinzani
>>>Elimu
>>>Afya
>>>Haki ya kupata habari
>>>Sheria kandamizi na matamko
>>>Mikutano ya kisiasa kupigwa marufuku
>>>Kuandamwa kwa watetezi wa haki za binadamu
>>>Kufungiwa vyombo vya habari
>>>Kuandama watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja
BUNGE HILO LIMETAKA PIA HAYA YATEKELEZWE
>>>Kuachiliwa wafungwa wote wa kisiasa
>>>Kurekebisha baadhi ya sheria ikiwemo ya makosa ya mtandao , sheria ya vyombo vya habari
>>>Kuachia uwanja kwa watetezi wa haki za binadamu kufanya shughuli zake
LIMETAKA PIA HAYA YAWEPO
>>>Tume huru ya kuchunguza kutekwa na kuakamatwa kwa waandishi wa habari na watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha
>>>Hatua za kisheria kuchukuliwa kwa wale wataobainika kuvunja haki za binadamu
Nyie wazungu mnawafurahia bila kufahamau. Mnawachekelea bila kufikiria na mnawashangilia bila kufahamu mchezo wauchezao. Kwa kifupi ni hivii, wazungu hawapendi tupige hatua hata kama ni sentimita moja. Kununua ndege kwa cash kwao ni matusi. Kujenga reli ya SGR kwao ni kero. Kujenga lile bwawa la Stiglas kwao ni kasheshe kubwa sana. Mchanga wao mpaka sasa tunao na tumesiliba mianya yao ya kupata vitu na mali zetu chelelee hawatatupenda wala kukubali. Kwa anaedhani wazungu wanatupenda saaana na wanatuomnea tutoke siku moja anajidanganya sana na sana. Waliweza kumgombanisha Mzee Muamal Gadafi na watu wake ambao waliishi bure wakipewa kila kitu na selikari na sasa wanajuta kupita kiasi na naona hatujajifunza tuu. Jifunzeni kwa Sadam, Gadafi na hata Mubarak na muangalie kama kuna kitu cha maana wamepata baada ya waliouita msaada wa wazungu ili kupata demokrasia. Hawa wanataka dhahabu, almasi, na vito vingine bila kizuizi na wala sio demokrasia. Waogopeni kama ukoma na kama mnaweza unganeni muwe kitu kimoja hawatatuweza. Someni hata histiria kidogo mtawaelewa. Hakuna mzungu anapenda mswahili but wanataka mali zetu tuu na hakuna jipya.USIKUBALI KUPOTOSHWA HAYA NDIYO MAAZIMIO YA BUNGE LA ULAYA EU
Waziri wa mabo ya nje asema awezi kuzungumzia azimio hilo anasubiri Raisi atoe tamko
>>>Utawala wa sheria
>>>Haki za binadamu
>>>Kamata kamata ya wapinzani
>>>Elimu
>>>Afya
>>>Haki ya kupata habari
>>>Sheria kandamizi na matamko
>>>Mikutano ya kisiasa kupigwa marufuku
>>>Kuandamwa kwa watetezi wa haki za binadamu
>>>Kufungiwa vyombo vya habari
>>>Kuandama watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja
BUNGE HILO LIMETAKA PIA HAYA YATEKELEZWE
>>>Kuachiliwa wafungwa wote wa kisiasa
>>>Kurekebisha baadhi ya sheria ikiwemo ya makosa ya mtandao , sheria ya vyombo vya habari
>>>Kuachia uwanja kwa watetezi wa haki za binadamu kufanya shughuli zake
LIMETAKA PIA HAYA YAWEPO
>>>Tume huru ya kuchunguza kutekwa na kuakamatwa kwa waandishi wa habari na watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha
>>>Hatua za kisheria kuchukuliwa kwa wale wataobainika kuvunja haki za binadamu
Na hawa ndiyo wenye Global Fund!!!Kwa wababe hawa ukishaingia kwenye 18 zao huchomoki!! Huwezi kuwa masikini ukajifanya jeuri!!! Labda ujifyatue tu ila madhara yake yatakuwa makubwa sana kwa wananchi!! Mfano US, aseme tu kubana kwenye ARV, babaa, mungu aepushee, panadol tu hazipstikani ije kuwa ARV!!! na dawa za TB
Ebu tuambie alitweka na Nani??Wala hata MO hakuwahi kutekwa na Wazungu mkuu .
Kwa vipi?Jiwe asipo kunja mkia tumboni 2020 ndiyo itakuwa mwisho wake.
[emoji41][emoji41][emoji41]Sikio la kufa halisikii dawa
Kwanini watuingilie kwenye mambo yetu ya ndani?, hawa watu hawamjui Magufuli?.
Tanzania ni sovereign state, hatupangii watu na hatupangiwi.
Subirini tamko
P
USIKUBALI KUPOTOSHWA HAYA NDIYO MAAZIMIO YA BUNGE LA ULAYA EU
Waziri wa mabo ya nje asema awezi kuzungumzia azimio hilo anasubiri Raisi atoe tamko
>>>Utawala wa sheria
>>>Haki za binadamu
>>>Kamata kamata ya wapinzani
>>>Elimu
>>>Afya
>>>Haki ya kupata habari
>>>Sheria kandamizi na matamko
>>>Mikutano ya kisiasa kupigwa marufuku
>>>Kuandamwa kwa watetezi wa haki za binadamu
>>>Kufungiwa vyombo vya habari
>>>Kuandama watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja
BUNGE HILO LIMETAKA PIA HAYA YATEKELEZWE
>>>Kuachiliwa wafungwa wote wa kisiasa
>>>Kurekebisha baadhi ya sheria ikiwemo ya makosa ya mtandao , sheria ya vyombo vya habari
>>>Kuachia uwanja kwa watetezi wa haki za binadamu kufanya shughuli zake
LIMETAKA PIA HAYA YAWEPO
>>>Tume huru ya kuchunguza kutekwa na kuakamatwa kwa waandishi wa habari na watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha
>>>Hatua za kisheria kuchukuliwa kwa wale wataobainika kuvunja haki za binadamu
They wont dare,Habari za wikiendi wana JF! Baada ya Jumuiya ya Ulaya na maseneta wa Marekani kutoa matamko na maazimio kuhusu Tanzania tunasubiri Vyombo vyetu vya habari hususan Runinga pendwa ya taifa iwajulishe watanzania jinsi ambavyo wazungu hawa hawatutakii mema. Mtanzania wa kijijini asiyesoma mitandao ya kijamii ana haki kujua jinsi tunavyosemwa vibaya na wazungu. Mtanzania ana haki ya kujua anavyotuhumiwa na anavyotetewa. TBC - get this broadcasted to the nation!!!
Yaani kauli zao ni za kuchefua sana,sasa kati ya Wazungu na wao wapiga ZUMARI nani hatutakii mema?wazungu hawa hawatutakii mema.