European Parliament resolution on Tanzania

Historia huwa haipotei na kamwe haidanganyi. Wananchi wa Libya waliambiwa na Mabeberu kwamba Ghadafi ni tatizo na iwapo akiondoka madarakani wananchi wa Libya wataishi maisha mazuri sana. Hebu tujiulize: Wamarekani waliongoza mapambano ya kumuua na kumuondo madarakani Rais Muamar Ghadafi, JE, Libya wana maisha gani mazuri leo hii zaidi ya mateso makali?

Walibya waliahidiwa kwamba Ghadafi akiondoka madarakani nchi ya Libya itakuwa na Demokrasia safi na ya kweli. Hebu tujiulize: Iko wapi hiyo Demokrasia nchini Libya baada ya Mabeberu kumuua Ghadafi? Hakuna Demokrasia zaidi ya mateso nchini Libya na maisha magumu.

Tusisahau yanayowakuta Iraki na Siria kwa Bashar Asad ambapo mabeberu wanataka kupandikiza vibaraka wao ili wachote rasilimali ya mafuta kwa manufaa yao. Kote huko ni mateso makali. Walimuua Rais Saddam Hussein na kuwahakikishia wana dunia hii kwamba Iraki itakuwa na Demokrasia na maisha mazuri. Tujiulize yako wapi maisha mazuri Iraki zaidi ya machafuko yasiyoisha tangu Mwaka 2003 hadi leo hii?

Watanzania tunapaswa kutumia yanayowapata Walibya na wairaki kujifunza kwamba kamwe Mabeberu wa Ulaya na kwingineko duniani hawawezi kusimama na serikali yetu pale wanapoona tunajenga uchumi wetu ili tujitegemee. Lazima tufahamu kwamba watatuchonganisha na kupandikiza vibaraka wao nchini wakiwemo waafrika wenzetu ambao leo hii tunawaona wakidiriki kupigia upatu Mashinikizo yao ya kijinga yakiwemo ushoga, Mara wanatetea demokrasia yetu nk.

Wameshindwa kuisadia Libya na Iraki kama walivyoahidi na kuaminisha ulimwengu kwamba kuna matatizo makubwa ya kidemokrasia katika nchi hizo nk, hakuna amani huko zaidi wamesababisha machafuko makubwa katika nchi hizo; watawezaje kutusaidia sisi watanzania tena Taifa letu ambalo tuko salama sana, hatuna matatizo kama wanavyoeleza mabeberu na vibaraka wao?

Mabeberu hao wasiofaa hata kidogo wamekaa kimya kuhusu yanayoendelea nchini Ufaransa kana kwamba hawaoni kitu. Watu wanaandamana mwezi mzima kumshinikiza Rais Emmanuel Macron aondoke madarakani lakini tujiulize ni lini Mabeberu wa EU na vibaraka wao walitoa tamko lolote kumshinikiza beberu mwenzao aondoke madarakani? Watanzania sharti kustukia maigizo ya mabeberu na uonevu dhidi ya mataifa ya kiafrika.

Kudhibiti Makinikia na biashara harama za kutupora madini yetu haijawapendeza wazungu hata kidogo na kwa hiyo basi wameamua kupambana na sisi kwa namna mbalimbali ikibidi hata watufarakanishe ili nchi yetu ipoteze mwelekeo na isitawalike. Mabeberu wanatueleza wanapigania demokrasia ndani ya nchi yetu wakati wanajua fika walitoa ahadi ya aina hiyo kwa Libya na kwingineko duniani lakini hadi leo hii Libya hakuna demokrasia wala amani bali machafuko.

Walibya wanajuka kukubali kuhadaiwa na mabeberu, wanamkumbuka ghadafi na kujuta sana kuuawa kwa Rais Muamar Ghadafi. Wanakumbuka fadhila za Ghadafi aliyekuwa akiwapatia malipo ya chakula kila mwezi wananchi masikini, leo hakuna malipo hayo. Wanamkumbuka ghadafi aliyekuwa akiwalipia mahali za kuoa walibya masikini lakini leo hakuna fadhila hizo. Wanamkumbuka ghadafi aliyeapa kupambana na ubeberu ili usiitawale afrika. Ghadafi alijipambanua kama kiongozi asiyetaka kuona Afrika inaonewa na kushikizwa kufanya mambo ya kijinga kwa maslahi ya mabeberu.

Watanzania tupeuke mtego uliowamaliza walibya ili tusije kujuta kama walibya leo hii. Hawa vibaraka na vijakazi wa mabeberu wanaopiga kelele kwamba Tanzania tunaenda vibaya hawana mana kabisa bali wanatumikia mabeberu wanaotaka kututawala ili wapole rasilimali zetu. Hawa vibaraka na mabeberu wao tuwaogope kama Ukoma.

Pinga UBEBERU NA VIBARAKA wao wote kwa maslahi ya Taifa hili.
Unahangaika na gazeti, beberu lipo magogoni anaendesha tingatinga kuharibu nchi. Pinga libeberu hilo. Ni wazi ni akili sifuri inayoowashirikisha akina Makonda wa kutatuliwa malinda.
 
Ukifanya hayo yote unakuwa Jiwe wa hadithi ya Mwalimu Nyerere ukifanya hayo hauwi taifa huru..... Wahangaike kwanza na utawala wa washington kwa kuingilia ingilia siasa za nje na Mauaji ya weusi.. Wamkomalie kwanza Saudia kwa kumuua kashogi Tanzania bado si giza kiwango hicho
 
Nyie wazungu mnawafurahia bila kufahamau. Mnawachekelea bila kufikiria na mnawashangilia bila kufahamu mchezo wauchezao. Kwa kifupi ni hivii, wazungu hawapendi tupige hatua hata kama ni sentimita moja. Kununua ndege kwa cash kwao ni matusi. Kujenga reli ya SGR kwao ni kero. Kujenga lile bwawa la Stiglas kwao ni kasheshe kubwa sana. Mchanga wao mpaka sasa tunao na tumesiliba mianya yao ya kupata vitu na mali zetu chelelee hawatatupenda wala kukubali. Kwa anaedhani wazungu wanatupenda saaana na wanatuomnea tutoke siku moja anajidanganya sana na sana. Waliweza kumgombanisha Mzee Muamal Gadafi na watu wake ambao waliishi bure wakipewa kila kitu na selikari na sasa wanajuta kupita kiasi na naona hatujajifunza tuu. Jifunzeni kwa Sadam, Gadafi na hata Mubarak na muangalie kama kuna kitu cha maana wamepata baada ya waliouita msaada wa wazungu ili kupata demokrasia. Hawa wanataka dhahabu, almasi, na vito vingine bila kizuizi na wala sio demokrasia. Waogopeni kama ukoma na kama mnaweza unganeni muwe kitu kimoja hawatatuweza. Someni hata histiria kidogo mtawaelewa. Hakuna mzungu anapenda mswahili but wanataka mali zetu tuu na hakuna jipya.
Hivi ******** akiweka haki sawa nani atamchekelea mzungu? Mdindifu anawakaribisha yeye mwenyewe hawa jamaa kwa kiburi chake na roho mbaya yake na ukatili wake.
 
Msishangae mtu kuchukua wale wazee wachovu na kuwakatia posho na kuwahutubia. Hapo ndio mtaelewa akili zingine zinakimbia vivuli vyao
 
Mimi ndugu zangu niko kijijini kwetu huku ndani ndani hakuna hata TV na internet ya simu yenyewe mpaka nalazimika kupanda juu ya mbuyu kujua dunia inavyoenda.....

Nimeshindwa kabisa kuamini kuwa hawa jamaa wa dunia mwisho wa siku wameshindwa kumvumilia Dictator Pombe Makufuli na sasa wameamua kumkabili kisawasawa...

Mimi nakubaliana nao kabisa na kuwaunga mkono. Siuungi mkono utawala wa serikali hii chini ya Makufuli....

Kama ni lazima kumfyekelea mbali hata leo niko tayari. Watupe strategies haraka

Mwisho nimejiridhisha bila shaka yoyote kuwa uwepo wa Tundu Antipas Mughwai Lissu kule Belgium kumbe una manufaa sana kwetu....

Walidhani wamempiga risasi kumaliza uwezo wake, kumbe ndiyo hasa wamemsaidia chura kuongeza spidi ya kuliendea bomu la nuclear kuwasambaratisha...

HongeraTundu Antipas Mughwai Lissu kwani sauti yako na uwepo wako Ulaya ni sumu kwa Jiwe na CCM yake!!
 
Historia huwa haipotei na kamwe haidanganyi. Wananchi wa Libya waliambiwa na Mabeberu kwamba Ghadafi ni tatizo na iwapo akiondoka madarakani wananchi wa Libya wataishi maisha mazuri sana. Hebu tujiulize: Wamarekani waliongoza mapambano ya kumuua na kumuondo madarakani Rais Muamar Ghadafi, JE, Libya wana maisha gani mazuri leo hii zaidi ya mateso makali?

Walibya waliahidiwa kwamba Ghadafi akiondoka madarakani nchi ya Libya itakuwa na Demokrasia safi na ya kweli. Hebu tujiulize: Iko wapi hiyo Demokrasia nchini Libya baada ya Mabeberu kumuua Ghadafi? Hakuna Demokrasia zaidi ya mateso nchini Libya na maisha magumu.

Tusisahau yanayowakuta Iraki na Siria kwa Bashar Asad ambapo mabeberu wanataka kupandikiza vibaraka wao ili wachote rasilimali ya mafuta kwa manufaa yao. Kote huko ni mateso makali. Walimuua Rais Saddam Hussein na kuwahakikishia wana dunia hii kwamba Iraki itakuwa na Demokrasia na maisha mazuri. Tujiulize yako wapi maisha mazuri Iraki zaidi ya machafuko yasiyoisha tangu Mwaka 2003 hadi leo hii?

Watanzania tunapaswa kutumia yanayowapata Walibya na wairaki kujifunza kwamba kamwe Mabeberu wa Ulaya na kwingineko duniani hawawezi kusimama na serikali yetu pale wanapoona tunajenga uchumi wetu ili tujitegemee. Lazima tufahamu kwamba watatuchonganisha na kupandikiza vibaraka wao nchini wakiwemo waafrika wenzetu ambao leo hii tunawaona wakidiriki kupigia upatu Mashinikizo yao ya kijinga yakiwemo ushoga, Mara wanatetea demokrasia yetu nk.

Wameshindwa kuisadia Libya na Iraki kama walivyoahidi na kuaminisha ulimwengu kwamba kuna matatizo makubwa ya kidemokrasia katika nchi hizo nk, hakuna amani huko zaidi wamesababisha machafuko makubwa katika nchi hizo; watawezaje kutusaidia sisi watanzania tena Taifa letu ambalo tuko salama sana, hatuna matatizo kama wanavyoeleza mabeberu na vibaraka wao?

Mabeberu hao wasiofaa hata kidogo wamekaa kimya kuhusu yanayoendelea nchini Ufaransa kana kwamba hawaoni kitu. Watu wanaandamana mwezi mzima kumshinikiza Rais Emmanuel Macron aondoke madarakani lakini tujiulize ni lini Mabeberu wa EU na vibaraka wao walitoa tamko lolote kumshinikiza beberu mwenzao aondoke madarakani? Watanzania sharti kustukia maigizo ya mabeberu na uonevu dhidi ya mataifa ya kiafrika.

Kudhibiti Makinikia na biashara harama za kutupora madini yetu haijawapendeza wazungu hata kidogo na kwa hiyo basi wameamua kupambana na sisi kwa namna mbalimbali ikibidi hata watufarakanishe ili nchi yetu ipoteze mwelekeo na isitawalike. Mabeberu wanatueleza wanapigania demokrasia ndani ya nchi yetu wakati wanajua fika walitoa ahadi ya aina hiyo kwa Libya na kwingineko duniani lakini hadi leo hii Libya hakuna demokrasia wala amani bali machafuko.

Walibya wanajuka kukubali kuhadaiwa na mabeberu, wanamkumbuka ghadafi na kujuta sana kuuawa kwa Rais Muamar Ghadafi. Wanakumbuka fadhila za Ghadafi aliyekuwa akiwapatia malipo ya chakula kila mwezi wananchi masikini, leo hakuna malipo hayo. Wanamkumbuka ghadafi aliyekuwa akiwalipia mahali za kuoa walibya masikini lakini leo hakuna fadhila hizo. Wanamkumbuka ghadafi aliyeapa kupambana na ubeberu ili usiitawale afrika. Ghadafi alijipambanua kama kiongozi asiyetaka kuona Afrika inaonewa na kushikizwa kufanya mambo ya kijinga kwa maslahi ya mabeberu.

Watanzania tupeuke mtego uliowamaliza walibya ili tusije kujuta kama walibya leo hii. Hawa vibaraka na vijakazi wa mabeberu wanaopiga kelele kwamba Tanzania tunaenda vibaya hawana mana kabisa bali wanatumikia mabeberu wanaotaka kututawala ili wapole rasilimali zetu. Hawa vibaraka na mabeberu wao tuwaogope kama Ukoma.

Pinga UBEBERU NA VIBARAKA wao wote kwa maslahi ya Taifa hili.
Kijana acha kutishia watu kana kwamba hawajui lolote
 
Kwa harakaharaka wew ni mtu mwenye chuki tu binafsi na unaye mlenga,eidha za ukabila,uchama,ushule au usiasa.kaa jitafakari kwa makini uone kama upo sawa
lugha kama hizi huwamnazisema pale ambapo huwa hamtaki kuambiwa ukweli,watu wakiwaambia ukweli mnasema wametumwa.
 
Kuwaambia kina nani?hapa huongei na mtu wa chama chochote,unaongea na mtu anaeuona uhalisia.
lugha kama hizi huwamnazisema pale ambapo huwa hamtaki kuambiwa ukweli,watu wakiwaambia ukweli mnasema wametumwa.
 
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji116]
tapatalk_1544853514742.jpeg
 
Dah....Kuna mijitu mingine...ama kwa kujua....au kutokujua inadhani wazungu wanatupenda sanaaa....[emoji41]
 
Historia huwa haipotei na kamwe haidanganyi. Wananchi wa Libya waliambiwa na Mabeberu kwamba Ghadafi ni tatizo na iwapo akiondoka madarakani wananchi wa Libya wataishi maisha mazuri sana. Hebu tujiulize: Wamarekani waliongoza mapambano ya kumuua na kumuondo madarakani Rais Muamar Ghadafi, JE, Libya wana maisha gani mazuri leo hii zaidi ya mateso makali?

Walibya waliahidiwa kwamba Ghadafi akiondoka madarakani nchi ya Libya itakuwa na Demokrasia safi na ya kweli. Hebu tujiulize: Iko wapi hiyo Demokrasia nchini Libya baada ya Mabeberu kumuua Ghadafi? Hakuna Demokrasia zaidi ya mateso nchini Libya na maisha magumu.

Tusisahau yanayowakuta Iraki na Siria kwa Bashar Asad ambapo mabeberu wanataka kupandikiza vibaraka wao ili wachote rasilimali ya mafuta kwa manufaa yao. Kote huko ni mateso makali. Walimuua Rais Saddam Hussein na kuwahakikishia wana dunia hii kwamba Iraki itakuwa na Demokrasia na maisha mazuri. Tujiulize yako wapi maisha mazuri Iraki zaidi ya machafuko yasiyoisha tangu Mwaka 2003 hadi leo hii?

Watanzania tunapaswa kutumia yanayowapata Walibya na wairaki kujifunza kwamba kamwe Mabeberu wa Ulaya na kwingineko duniani hawawezi kusimama na serikali yetu pale wanapoona tunajenga uchumi wetu ili tujitegemee. Lazima tufahamu kwamba watatuchonganisha na kupandikiza vibaraka wao nchini wakiwemo waafrika wenzetu ambao leo hii tunawaona wakidiriki kupigia upatu Mashinikizo yao ya kijinga yakiwemo ushoga, Mara wanatetea demokrasia yetu nk.

Wameshindwa kuisadia Libya na Iraki kama walivyoahidi na kuaminisha ulimwengu kwamba kuna matatizo makubwa ya kidemokrasia katika nchi hizo nk, hakuna amani huko zaidi wamesababisha machafuko makubwa katika nchi hizo; watawezaje kutusaidia sisi watanzania tena Taifa letu ambalo tuko salama sana, hatuna matatizo kama wanavyoeleza mabeberu na vibaraka wao?

Mabeberu hao wasiofaa hata kidogo wamekaa kimya kuhusu yanayoendelea nchini Ufaransa kana kwamba hawaoni kitu. Watu wanaandamana mwezi mzima kumshinikiza Rais Emmanuel Macron aondoke madarakani lakini tujiulize ni lini Mabeberu wa EU na vibaraka wao walitoa tamko lolote kumshinikiza beberu mwenzao aondoke madarakani? Watanzania sharti kustukia maigizo ya mabeberu na uonevu dhidi ya mataifa ya kiafrika.

Kudhibiti Makinikia na biashara harama za kutupora madini yetu haijawapendeza wazungu hata kidogo na kwa hiyo basi wameamua kupambana na sisi kwa namna mbalimbali ikibidi hata watufarakanishe ili nchi yetu ipoteze mwelekeo na isitawalike. Mabeberu wanatueleza wanapigania demokrasia ndani ya nchi yetu wakati wanajua fika walitoa ahadi ya aina hiyo kwa Libya na kwingineko duniani lakini hadi leo hii Libya hakuna demokrasia wala amani bali machafuko.

Walibya wanajuka kukubali kuhadaiwa na mabeberu, wanamkumbuka ghadafi na kujuta sana kuuawa kwa Rais Muamar Ghadafi. Wanakumbuka fadhila za Ghadafi aliyekuwa akiwapatia malipo ya chakula kila mwezi wananchi masikini, leo hakuna malipo hayo. Wanamkumbuka ghadafi aliyekuwa akiwalipia mahali za kuoa walibya masikini lakini leo hakuna fadhila hizo. Wanamkumbuka ghadafi aliyeapa kupambana na ubeberu ili usiitawale afrika. Ghadafi alijipambanua kama kiongozi asiyetaka kuona Afrika inaonewa na kushikizwa kufanya mambo ya kijinga kwa maslahi ya mabeberu.

Watanzania tupeuke mtego uliowamaliza walibya ili tusije kujuta kama walibya leo hii. Hawa vibaraka na vijakazi wa mabeberu wanaopiga kelele kwamba Tanzania tunaenda vibaya hawana mana kabisa bali wanatumikia mabeberu wanaotaka kututawala ili wapole rasilimali zetu. Hawa vibaraka na mabeberu wao tuwaogope kama Ukoma.

Pinga UBEBERU NA VIBARAKA wao wote kwa maslahi ya Taifa hili.
Nitajie nchi walau mbili zilizopiga hatua kubwa kimaendeleo zenye raisi mpumbavu kama mfalme jiwe
 
Back
Top Bottom