MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,643
- 33,427
Ukisoma hizi shutuma kwa ufahamu wa saba utajua kipo zaidi ya hiki kinatafutwa na EU. Hizo tuhuma ni kama wamepata sehemu ya kushikia tu. Mijadala kama hii inahitaji umakini na ufahamu wa kutosha ili tusije kujikuta tunafanya kazi ya shetani bila kujua.