Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,516
- 46,368
Bila kusahau alinunua kile Kivuko cha MV Bwagamoyo"Jee ni halali kwetu mtu asiye na historia yeyote na nchi hii ambaye mwenyewe anasema "alisukumiziwa" madaraka hayo makubwa tukavumilia mateso yatakayo tokana na vikwazo kwa ajili ya maamuzi yake...." [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Historia anayo alikua waziri kwa miaka 20 kajenga bara za rami, madaraja, nyumba za Taifa, kafufua shirika la ndege, flyover ya kwanza Tz Tazara....nk