European Parliament resolution on Tanzania

Kwa ninavyo mjua tamko lake halitakuwa la heri kwa nchi yetu itakuwa ni sawa na kumwagwa petro kwenye moto unaowaka na watakao endelea kuumia ni wananchi.
Tukijifunza kua na nguvu ya kufanya kazi kwa bidii na kujitegemea hatuwezi kuunga mkono kila matamko ya mzungu kwenye nchi zetu.ni ujinga kuwaakubalia kila kitu eti kwa uoga wa kuzuia misaada yao,kwa mfano hili la haki za binadamu wewe broo ukisikia wanalazimisha ndoa za jinsia moja ni lazima kwetu utaunga mkono?then ukaona kijana wako m1 anakua shoga au msagaji na ukawa poa tu akilini kwamba ni haki za binadamu?hawa hawa wazungu ndo wameleta mfumo wa vyama vingi na neno demokrasia lisilo na maana sana huku Afrika kwa karine hii ambayo bado Afrika ni masikini
 
Kuku anaweza kufikiri vizuri kuliko wewe
 
kwa nini mnatolea mfano kwenye jambo moja tu la ushoga? kwa nini mambo mengine ambayo yanatufanya tunyimwe misaada hamuyasemi?.

Tutajifunzaje kufanya kazi kwa bidii wakati tumebanwa kila kona hata uhuru wa kufanya kazi yenyewe haupo, pembejeo za kilimo bei haikamatiki madukani, watumishi wa umma robo pensheni, katika mazingira kama haya hiyo nguvu ya kufanya kazi kwa bidii itatoka wapi?.
 
Kwa hiyo unapenda tuishi kwa kupewa misaada? unakumbuka watu waliwahi kusema tutasaidiwa mpaka lini na kukopa pesa za wazungu mpaka lini,unakumbuka maneno haya?
kwa nini mnatolea mfano kwenye jambo moja tu la ushoga? kwa nini mambo mengine ambayo yanatufanya tunyimwe misaada hamuyasemi?.

Tutajifunzaje kufanya kazi kwa bidii wakati tumebanwa kila kona hata uhuru wa kufanya kazi yenyewe haupo, penjeo za kilimo bei haikamatiki madukani, watumishi wa umma robo pensheni, katika mazingira kama haya hiyo nguvu ya kufanya kazi kwa bidii itatoka wapi?.
 
USIKUBALI KUPOTOSHWA HAYA NDIYO MAAZIMIO YA BUNGE LA ULAYA EU

Waziri wa mabo ya nje asema awezi kuzungumzia azimio hilo anasubiri Raisi atoe tamko

>>>Utawala wa sheria
>>>Haki za binadamu
>>>Kamata kamata ya wapinzani
>>>Elimu
>>>Afya
>>>Haki ya kupata habari
>>>Sheria kandamizi na matamko
>>>Mikutano ya kisiasa kupigwa marufuku
>>>Kuandamwa kwa watetezi wa haki za binadamu
>>>Kufungiwa vyombo vya habari
>>>Kuandama watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja

BUNGE HILO LIMETAKA PIA HAYA YATEKELEZWE

>>>Kuachiliwa wafungwa wote wa kisiasa
>>>Kurekebisha baadhi ya sheria ikiwemo ya makosa ya mtandao , sheria ya vyombo vya habari
>>>Kuachia uwanja kwa watetezi wa haki za binadamu kufanya shughuli zake

LIMETAKA PIA HAYA YAWEPO

>>>Tume huru ya kuchunguza kutekwa na kuakamatwa kwa waandishi wa habari na watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha
>>>Hatua za kisheria kuchukuliwa kwa wale wataobainika kuvunja haki za binadamu

Vinginevyo Bunge hilo linaweza kuondoa shilingi kwenye budget support ya Tanzania.

Kumbuka nusu ya bajeti ya Tanzania inapitishwa na mabunge ya wafadhili.
 
Kwa wababe hawa ukishaingia kwenye 18 zao huchomoki!! Huwezi kuwa masikini ukajifanya jeuri!!! Labda ujifyatue tu ila madhara yake yatakuwa makubwa sana kwa wananchi!! Mfano US, aseme tu kubana kwenye ARV, babaa, mungu aepushee, panadol tu hazipstikani ije kuwa ARV!!! na dawa za TB
Kwa nini ARV? hiyo wasilete kabisa watu waache dhambi.
 
Kwa jinsi tunavyofata NYAYO, utasikia: "WASITUYUMBISHEYUMBISHE ....., ANAYEGEUKA NA AGEUKE AWE JIWE!"
Rais wangu Magufuli, makali ya matokeo ya kauli zako tutayasikia ZAIDI sisi wanyonge ... CHONDE CHONDE BABA!
 
Utasikia wanasema mabeberu wanataka kutuibia, hivi Mmarekani anatuibia nini?

Kuna majambazi kama China, Ila hatajwi...

Wamemaliza na kufilisi mifuko ya jamii...sasa sijui watafyeka mini
Ni bora ukakaa kimya Chief

China na Marekani,ni wale wale tu
sema kila mmoja na style yake ya wizi
 
Kwanini watuingilie kwenye mambo yetu ya ndani?, hawa watu hawamjui Magufuli?.
Tanzania ni sovereign state, hatupangii watu na hatupangiwi.
Subirini tamko
P
Mnaingiliwa kwa sababu mmeacha mlango wazi huku mwachinjana huko chumbani kwenu.
CCTV camera za eneo aliposhambuliwa Tundu Lissu zilitolewa na nani?
(halafu msiingiliwe kweli?)
 
Huyu mchina anaependwa kwa sasa ni mbaya zaidi kwa Africa na dunia yote.
Zamani alipokuwa na dhiki alikuwa mzuri sana yaani kawa kama mtu wa kijijini na sasa kawa wa mjini, maana ule ukarimu hana tena baada ya uchumi wake kuwa juu.

Sasa anapambana na kuwa juu zaidi ila mbaya zaidi mchina ni mwizi na ni muharibifu
Hata akikuta nge na watoto wake anawala wote.
Atamaliza mpaka vizazi vya viumbe vyote
Kuhusu hawa wazungu watupe amani ila kwa masharti hayo sijui kama yatakubalika labda kidiplomasia kama ya watangulizi
Sharti moja kuu

Lisiungwe mkono kwa namna yoyote ile

HAKUNA HAKI KWA MASHOGA NA WASAGAJI
 
Haaaaa haaaa Bunge tena,kwa mfumo ule ule hata sauti ya mh aliyesinzia ikisikika ndioooooooo basi jambo limepita we can't achieve what we need.Tubadili ule mfumo au tuwapime IQ watakaoenda kujadili hilo suala
 
Historia huwa haipotei na kamwe haidanganyi. Wananchi wa Libya waliambiwa na Mabeberu kwamba Ghadafi ni tatizo na iwapo akiondoka madarakani wananchi wa Libya wataishi maisha mazuri sana. Hebu tujiulize: Wamarekani waliongoza mapambano ya kumuua na kumuondo madarakani Rais Muamar Ghadafi, JE, Libya wana maisha gani mazuri leo hii zaidi ya mateso makali?

Walibya waliahidiwa kwamba Ghadafi akiondoka madarakani nchi ya Libya itakuwa na Demokrasia safi na ya kweli. Hebu tujiulize: Iko wapi hiyo Demokrasia nchini Libya baada ya Mabeberu kumuua Ghadafi? Hakuna Demokrasia zaidi ya mateso nchini Libya na maisha magumu.

Tusisahau yanayowakuta Iraki na Siria kwa Bashar Asad ambapo mabeberu wanataka kupandikiza vibaraka wao ili wachote rasilimali ya mafuta kwa manufaa yao. Kote huko ni mateso makali. Walimuua Rais Saddam Hussein na kuwahakikishia wana dunia hii kwamba Iraki itakuwa na Demokrasia na maisha mazuri. Tujiulize yako wapi maisha mazuri Iraki zaidi ya machafuko yasiyoisha tangu Mwaka 2003 hadi leo hii?

Watanzania tunapaswa kutumia yanayowapata Walibya na wairaki kujifunza kwamba kamwe Mabeberu wa Ulaya na kwingineko duniani hawawezi kusimama na serikali yetu pale wanapoona tunajenga uchumi wetu ili tujitegemee. Lazima tufahamu kwamba watatuchonganisha na kupandikiza vibaraka wao nchini wakiwemo waafrika wenzetu ambao leo hii tunawaona wakidiriki kupigia upatu Mashinikizo yao ya kijinga yakiwemo ushoga, Mara wanatetea demokrasia yetu nk.

Wameshindwa kuisadia Libya na Iraki kama walivyoahidi na kuaminisha ulimwengu kwamba kuna matatizo makubwa ya kidemokrasia katika nchi hizo nk, hakuna amani huko zaidi wamesababisha machafuko makubwa katika nchi hizo; watawezaje kutusaidia sisi watanzania tena Taifa letu ambalo tuko salama sana, hatuna matatizo kama wanavyoeleza mabeberu na vibaraka wao?

Mabeberu hao wasiofaa hata kidogo wamekaa kimya kuhusu yanayoendelea nchini Ufaransa kana kwamba hawaoni kitu. Watu wanaandamana mwezi mzima kumshinikiza Rais Emmanuel Macron aondoke madarakani lakini tujiulize ni lini Mabeberu wa EU na vibaraka wao walitoa tamko lolote kumshinikiza beberu mwenzao aondoke madarakani? Watanzania sharti kustukia maigizo ya mabeberu na uonevu dhidi ya mataifa ya kiafrika.

Kudhibiti Makinikia na biashara harama za kutupora madini yetu haijawapendeza wazungu hata kidogo na kwa hiyo basi wameamua kupambana na sisi kwa namna mbalimbali ikibidi hata watufarakanishe ili nchi yetu ipoteze mwelekeo na isitawalike. Mabeberu wanatueleza wanapigania demokrasia ndani ya nchi yetu wakati wanajua fika walitoa ahadi ya aina hiyo kwa Libya na kwingineko duniani lakini hadi leo hii Libya hakuna demokrasia wala amani bali machafuko.

Walibya wanajuka kukubali kuhadaiwa na mabeberu, wanamkumbuka ghadafi na kujuta sana kuuawa kwa Rais Muamar Ghadafi. Wanakumbuka fadhila za Ghadafi aliyekuwa akiwapatia malipo ya chakula kila mwezi wananchi masikini, leo hakuna malipo hayo. Wanamkumbuka ghadafi aliyekuwa akiwalipia mahali za kuoa walibya masikini lakini leo hakuna fadhila hizo. Wanamkumbuka ghadafi aliyeapa kupambana na ubeberu ili usiitawale afrika. Ghadafi alijipambanua kama kiongozi asiyetaka kuona Afrika inaonewa na kushikizwa kufanya mambo ya kijinga kwa maslahi ya mabeberu.

Watanzania tupeuke mtego uliowamaliza walibya ili tusije kujuta kama walibya leo hii. Hawa vibaraka na vijakazi wa mabeberu wanaopiga kelele kwamba Tanzania tunaenda vibaya hawana mana kabisa bali wanatumikia mabeberu wanaotaka kututawala ili wapole rasilimali zetu. Hawa vibaraka na mabeberu wao tuwaogope kama Ukoma.

Pinga UBEBERU NA VIBARAKA wao wote kwa maslahi ya Taifa hili.
Fresh tu bora iwe ivo
 
Kwa hiyo unapenda tuishi kwa kupewa misaada? unakumbuka watu waliwahi kusema tutasaidiwa mpaka lini na kukopa pesa za wazungu mpaka lini,unakumbuka maneno haya?
Sipendi tuishi kwa kutegemea misaada ila sipendi tukatiwe misaada kwa sababu ya ujinga wa mtu mmoja.
 
I see
images.jpeg
 
Mimi kama mwananchi wa kawaida niombe Wizara ya mambo ya nje iyamalize ,matatizo yetu na nchi za ulaya ,tunajua wazi hao wenzetu huringia nini ,na sisi tunataka nini basi,waswahili walisema Adui mupishe siyo lazima mupigane ,sisi tuonyeshe kukubaliana na tusiyotaka kukubaliana
Tushindane au tusishindane Nchi yetu itabaki Tanzania.
Niwaombe wanaoshangilia hili ni sawa na Ngamia kuweka kichwa kwenye Mchanga kuwa hawezi zulika,ukweli tutakao umia na aina yoyote ya vikwazo ni watu wa kada ya chini hasa vijijini ambako gharama za mafuta ya taa itapanda ,usafiri utapanda ,waalimu mishara kutopata kwa muda ,na n.k Heri nusu Shari kuliko Shari kamili.tukubari wao ni wababe kwani sie hatuna uwezo wa kuwaonya.
AMANI NI TUNU YETU
Hakuna kuwaomba tuna Jiwe
 
Mchina sio mtu mzuri na hana huruma hata chembe. Bora hao wazungu wana utu lakini mchina afadhali ukutane na simba anaweza kukuonea aibu akakuacha
Hawa wachina mpaka kufika walipo wameuwawa sana na vijiji kuchomwa moto kwa so called maendeleo.

Sasa wanataka kubeba rasilimali zetu bure kwa mikataba ya uonezi.
Bila kuangalia na njaa zetu tutaingia shimo ambalo hatutaweza kutoka.
Na generation ijayo watasema hivi babu zetu walirogwa?
Na hiyo haitasaidia kitu maana itakuwa majuto mjukuu
 
Historia huwa haipotei na kamwe haidanganyi. Wananchi wa Libya waliambiwa na Mabeberu kwamba Ghadafi ni tatizo na iwapo akiondoka madarakani wananchi wa Libya wataishi maisha mazuri sana. Hebu tujiulize: Wamarekani waliongoza mapambano ya kumuua na kumuondo madarakani Rais Muamar Ghadafi, JE, Libya wana maisha gani mazuri leo hii zaidi ya mateso makali?

Walibya waliahidiwa kwamba Ghadafi akiondoka madarakani nchi ya Libya itakuwa na Demokrasia safi na ya kweli. Hebu tujiulize: Iko wapi hiyo Demokrasia nchini Libya baada ya Mabeberu kumuua Ghadafi? Hakuna Demokrasia zaidi ya mateso nchini Libya na maisha magumu.

Tusisahau yanayowakuta Iraki na Siria kwa Bashar Asad ambapo mabeberu wanataka kupandikiza vibaraka wao ili wachote rasilimali ya mafuta kwa manufaa yao. Kote huko ni mateso makali. Walimuua Rais Saddam Hussein na kuwahakikishia wana dunia hii kwamba Iraki itakuwa na Demokrasia na maisha mazuri. Tujiulize yako wapi maisha mazuri Iraki zaidi ya machafuko yasiyoisha tangu Mwaka 2003 hadi leo hii?

Watanzania tunapaswa kutumia yanayowapata Walibya na wairaki kujifunza kwamba kamwe Mabeberu wa Ulaya na kwingineko duniani hawawezi kusimama na serikali yetu pale wanapoona tunajenga uchumi wetu ili tujitegemee. Lazima tufahamu kwamba watatuchonganisha na kupandikiza vibaraka wao nchini wakiwemo waafrika wenzetu ambao leo hii tunawaona wakidiriki kupigia upatu Mashinikizo yao ya kijinga yakiwemo ushoga, Mara wanatetea demokrasia yetu nk.

Wameshindwa kuisadia Libya na Iraki kama walivyoahidi na kuaminisha ulimwengu kwamba kuna matatizo makubwa ya kidemokrasia katika nchi hizo nk, hakuna amani huko zaidi wamesababisha machafuko makubwa katika nchi hizo; watawezaje kutusaidia sisi watanzania tena Taifa letu ambalo tuko salama sana, hatuna matatizo kama wanavyoeleza mabeberu na vibaraka wao?

Mabeberu hao wasiofaa hata kidogo wamekaa kimya kuhusu yanayoendelea nchini Ufaransa kana kwamba hawaoni kitu. Watu wanaandamana mwezi mzima kumshinikiza Rais Emmanuel Macron aondoke madarakani lakini tujiulize ni lini Mabeberu wa EU na vibaraka wao walitoa tamko lolote kumshinikiza beberu mwenzao aondoke madarakani? Watanzania sharti kustukia maigizo ya mabeberu na uonevu dhidi ya mataifa ya kiafrika.

Kudhibiti Makinikia na biashara harama za kutupora madini yetu haijawapendeza wazungu hata kidogo na kwa hiyo basi wameamua kupambana na sisi kwa namna mbalimbali ikibidi hata watufarakanishe ili nchi yetu ipoteze mwelekeo na isitawalike. Mabeberu wanatueleza wanapigania demokrasia ndani ya nchi yetu wakati wanajua fika walitoa ahadi ya aina hiyo kwa Libya na kwingineko duniani lakini hadi leo hii Libya hakuna demokrasia wala amani bali machafuko.

Walibya wanajuka kukubali kuhadaiwa na mabeberu, wanamkumbuka ghadafi na kujuta sana kuuawa kwa Rais Muamar Ghadafi. Wanakumbuka fadhila za Ghadafi aliyekuwa akiwapatia malipo ya chakula kila mwezi wananchi masikini, leo hakuna malipo hayo. Wanamkumbuka ghadafi aliyekuwa akiwalipia mahali za kuoa walibya masikini lakini leo hakuna fadhila hizo. Wanamkumbuka ghadafi aliyeapa kupambana na ubeberu ili usiitawale afrika. Ghadafi alijipambanua kama kiongozi asiyetaka kuona Afrika inaonewa na kushikizwa kufanya mambo ya kijinga kwa maslahi ya mabeberu.

Watanzania tupeuke mtego uliowamaliza walibya ili tusije kujuta kama walibya leo hii. Hawa vibaraka na vijakazi wa mabeberu wanaopiga kelele kwamba Tanzania tunaenda vibaya hawana mana kabisa bali wanatumikia mabeberu wanaotaka kututawala ili wapole rasilimali zetu. Hawa vibaraka na mabeberu wao tuwaogope kama Ukoma.

Pinga UBEBERU NA VIBARAKA wao wote kwa maslahi ya Taifa hili.
umeandika hekaya ndefuuu..mwambie Jiwe aache ushenzi
 
Back
Top Bottom