European Parliament resolution on Tanzania

European Parliament resolution on Tanzania

Kwanini watuingilie kwenye mambo yetu ya ndani?, hawa watu hawamjui Magufuli?.
Tanzania ni sovereign state, hatupangii watu na hatupangiwi.
Subirini tamko
P
Kwa wababe hawa ukishaingia kwenye 18 zao huchomoki!! Huwezi kuwa masikini ukajifanya jeuri!!! Labda ujifyatue tu ila madhara yake yatakuwa makubwa sana kwa wananchi!! Mfano US, aseme tu kubana kwenye ARV, babaa, mungu aepushee, panadol tu hazipstikani ije kuwa ARV!!! na dawa za TB
 
USIKUBALI KUPOTOSHWA HAYA NDIYO MAAZIMIO YA BUNGE LA ULAYA EU

Waziri wa mabo ya nje asema awezi kuzungumzia azimio hilo anasubiri Raisi atoe tamko

>>>Utawala wa sheria
>>>Haki za binadamu
>>>Kamata kamata ya wapinzani
>>>Elimu
>>>Afya
>>>Haki ya kupata habari
>>>Sheria kandamizi na matamko
>>>Mikutano ya kisiasa kupigwa marufuku
>>>Kuandamwa kwa watetezi wa haki za binadamu
>>>Kufungiwa vyombo vya habari
>>>Kuandama watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja

BUNGE HILO LIMETAKA PIA HAYA YATEKELEZWE

>>>Kuachiliwa wafungwa wote wa kisiasa
>>>Kurekebisha baadhi ya sheria ikiwemo ya makosa ya mtandao , sheria ya vyombo vya habari
>>>Kuachia uwanja kwa watetezi wa haki za binadamu kufanya shughuli zake

LIMETAKA PIA HAYA YAWEPO

>>>Tume huru ya kuchunguza kutekwa na kuakamatwa kwa waandishi wa habari na watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha
>>>Hatua za kisheria kuchukuliwa kwa wale wataobainika kuvunja haki za binadamu
Mungu wabariki Wazungu .
 
Kwanini watuingilie kwenye mambo yetu ya ndani?, hawa watu hawamjui Magufuli?.
Tanzania ni sovereign state, hatupangii watu na hatupangiwi.
Subirini tamko
P
Kwamba sisi tunaounga mkono maazimio ya #EU na #Senate_ya_US ,siyo wazalendo????

~Kwani uzalendo ni kuona #Alphonce_Mawazo akiuawa kwa kukatwa na mapanga nikaamua kunyamaza kimya?!!!?,

~Uzalendo ni kumpoteza machoni Ben-Rabiu Wa Saanane nikakaa kama kasuku nisiseme jambo lolote!!!?

~Uzalendo ni kuona #Azory_Gwanda mwandishi wa habari huyu akipotea na isijulikane amepoteaje halafu nikapiga buyu!!!?

~Uzalendo ni kuona miili iliyotupwa fukweni halafu nisiseme chochote?

~Uzalendo ni kumuona #Tundu_Lissu akiwa kitandani kwa kumiminiwa risasi zaidi ya 38 na bunge likagoma kumtibia hadi leo anapigania maisha yake kwa michango yetu nalo hili ninyamaze kimya??? Nikaushe kama sioni???

~Uzalendo ni kuona kwenye nchi iliyokubali mfumo wa vyama vingi kikatiba na sheria zingine, mikutano ya hadhara na ndani/sirini ikipigwa marufuku halafu nikae kimya???

~Uzalendo ni kuwaona viongozi wa upinzani wa kisiasa wakipigwa na hata kubambikiwa kesi na kuwekwa mahabusu kwa maelekezo ya mtu halafu nikae kimya???
________________________________________
Basi kama uzalendo ndio huo mimi sitaki kuwa mzalendo, na kama tafsiri ya uzalendo inakataa manyanyaso na kujifanya mungu mtu basi nitaunga mkono maazimio yale point moja hadi mwisho, ni kweli mmefanikiwa kuwapa elimu duni wananchi ili muwafanye kuwa mtaji katika propaganda zenu za kitoto kama hizi..... Kwamba kwenye maazimio yote nyinyi mnawalazilisha wabongo waseme yote ni ushoga tu???? Hapana hatuwezi kuwa taifa la mazuzu wote na kuwa wa ndio katįka kila jambo, katika hilo la ndiyo kila jambo mmefanikisha kwa hao wabunge wenu wenye sifa ya kujua kusoma na kuandika, endeleeni nao hao hao, sisi tushawashtukia!!!
 
Utasikia wanasema mabeberu wanataka kutuibia, hivi Mmarekani anatuibia nini?

Kuna majambazi kama China, Ila hatajwi...

Wamemaliza na kufilisi mifuko ya jamii...sasa sijui watafyeka mini
Wakijenga shule- marafiki

Wakijenga mahosptal- wafadhili.

Wakisaidia Arvs- wanatupenda.

Wakitoa kodi zao kugharamia chaguzi zetu- wahisani.

Mkigawana nao raslimali zetu- wawekezaji.

Wakiwapa rushwa muwape tenda- wenye nia njema.

WAKITAKA WATU WOOTE TUFAIDI WANACHOTOA- "mabeberu"
 
Huyu mchina anaependwa kwa sasa ni mbaya zaidi kwa Africa na dunia yote.
Zamani alipokuwa na dhiki alikuwa mzuri sana yaani kawa kama mtu wa kijijini na sasa kawa wa mjini, maana ule ukarimu hana tena baada ya uchumi wake kuwa juu.

Sasa anapambana na kuwa juu zaidi ila mbaya zaidi mchina ni mwizi na ni muharibifu
Hata akikuta nge na watoto wake anawala wote.
Atamaliza mpaka vizazi vya viumbe vyote
Kuhusu hawa wazungu watupe amani ila kwa masharti hayo sijui kama yatakubalika labda kidiplomasia kama ya watangulizi
 
USIKUBALI KUPOTOSHWA HAYA NDIYO MAAZIMIO YA BUNGE LA ULAYA EU

Waziri wa mabo ya nje asema awezi kuzungumzia azimio hilo anasubiri Raisi atoe tamko

>>>Utawala wa sheria
>>>Haki za binadamu
>>>Kamata kamata ya wapinzani
>>>Elimu
>>>Afya
>>>Haki ya kupata habari
>>>Sheria kandamizi na matamko
>>>Mikutano ya kisiasa kupigwa marufuku
>>>Kuandamwa kwa watetezi wa haki za binadamu
>>>Kufungiwa vyombo vya habari
>>>Kuandama watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja

BUNGE HILO LIMETAKA PIA HAYA YATEKELEZWE

>>>Kuachiliwa wafungwa wote wa kisiasa
>>>Kurekebisha baadhi ya sheria ikiwemo ya makosa ya mtandao , sheria ya vyombo vya habari
>>>Kuachia uwanja kwa watetezi wa haki za binadamu kufanya shughuli zake

LIMETAKA PIA HAYA YAWEPO

>>>Tume huru ya kuchunguza kutekwa na kuakamatwa kwa waandishi wa habari na watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha
>>>Hatua za kisheria kuchukuliwa kwa wale wataobainika kuvunja haki za binadamu
Marekani wamesema watahakikisha kuakuwa na uchaguzi wa huru na haki ifikapo 2019/2020.

Sasa akili.mkichwa akishupaza shingo atalipuliwa
 
Kwanini watuingilie kwenye mambo yetu ya ndani?, hawa watu hawamjui Magufuli?.
Tanzania ni sovereign state, hatupangii watu na hatupangiwi.
Subirini tamko
P
tumewaruhusu sisi waingilie mambo yetu kwa kukubali kufuata mfumo wao wa utawala hebu bwana pasco jiulize tulikubali kufuata mfumo wa vyama vingi vya siasa lakini bado hatuwapatii hao wapinzani jukwaa huru la kuendeshea shughuri zao hebu tazama wanavyopishana mahakani
 
USIKUBALI KUPOTOSHWA HAYA NDIYO MAAZIMIO YA BUNGE LA ULAYA EU

Waziri wa mabo ya nje asema awezi kuzungumzia azimio hilo anasubiri Raisi atoe tamko

>>>Utawala wa sheria
>>>Haki za binadamu
>>>Kamata kamata ya wapinzani
>>>Elimu
>>>Afya
>>>Haki ya kupata habari
>>>Sheria kandamizi na matamko
>>>Mikutano ya kisiasa kupigwa marufuku
>>>Kuandamwa kwa watetezi wa haki za binadamu
>>>Kufungiwa vyombo vya habari
>>>Kuandama watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja

BUNGE HILO LIMETAKA PIA HAYA YATEKELEZWE

>>>Kuachiliwa wafungwa wote wa kisiasa
>>>Kurekebisha baadhi ya sheria ikiwemo ya makosa ya mtandao , sheria ya vyombo vya habari
>>>Kuachia uwanja kwa watetezi wa haki za binadamu kufanya shughuli zake

LIMETAKA PIA HAYA YAWEPO

>>>Tume huru ya kuchunguza kutekwa na kuakamatwa kwa waandishi wa habari na watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha
>>>Hatua za kisheria kuchukuliwa kwa wale wataobainika kuvunja haki za binadamu
Noted.
 
Kwanini watuingilie kwenye mambo yetu ya ndani?, hawa watu hawamjui Magufuli?.
Tanzania ni sovereign state, hatupangii watu na hatupangiwi.
Subirini tamko
P
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wanakuelewa wachache sana .

Kikubwa Ukiondoa ushoga na usagaji vingine vinatekelezeka. Msimuache mami peke yake [emoji120][emoji40]
 
Back
Top Bottom