monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,883
- 13,634
Mkuu, nilikujibu kule kwenye uzi wako kuhusuana na issue ya misaada,nilikwambia kwamba "ukikubali kusaidiwa basi umekubali kuuza Uhuru wako" ni kweli kwamba Tanzania ni sovereign state lkn kwa kuwa huwa tunapokea misaada ya wazungu basi hatuna budi kuyafanya yale wanayoyatakaKwanini watuingilie kwenye mambo yetu ya ndani?, hawa watu hawamjui Magufuli?.
Tanzania ni sovereign state, hatupangii watu na hatupangiwi.
Subirini tamko
P
Pia,ukumbuke kuwa hawa Wazungu wanaifaham Tz kuliko mimi na wewe tuliozaliwa hapa,pengine wanafaham kuwa hata Jiwe hakushinda uchaguzi wa 2015 kwa haki...soon watakuja na katiba mpya na tume huru ya uchaguzi!