European Parliament resolution on Tanzania

European Parliament resolution on Tanzania

Tanzania kuna wafungwa wa kisiasa ? hili la watoto wakiume kuruhusiwa kuwa kama Dada zao lazima Esther Bulaya apambane Sana kuhakikisha linapita

Hujui chato Kuna watu Kama 50 wapo mahabusu karibia mwaka sasa
 
Hao jamaa hawakusema lolote juu ya wezi wa mali ya umma! Kama ni hivyo hatuhitaji kusaidiwa kuongoza nchi. Yaani Bunge la EU halifahamu tatizo kubwa la Africa ni nini? Rushwa na wizi. Hawasemi lolote juu ya hayo na wanajidai kututetea! Nonsensical!
Jitahidi uwe unasoma kitu na kuelewa kabla ya kukimbilia kutoa povu lako
 
Lazima mjue kuna international sovereignty, huwezi kuburuza binadamu kama kuku halafu watu wakuchekee tu. Wanachofanya EU ni ku-emancipate humanity
 
Hao jamaa hawakusema lolote juu ya wezi wa mali ya umma! Kama ni hivyo hatuhitaji kusaidiwa kuongoza nchi. Yaani Bunge la EU halifahamu tatizo kubwa la Africa ni nini? Rushwa na wizi. Hawasemi lolote juu ya hayo na wanajidai kututetea! Nonsensical!
Truthful
 
Ila ukiangalia kwa jicho la mbali hawa eu watakua na sbb zao zingine,maana rwanda tu hapo kuna mabaya yanayofanyika kupitiliza haya ya hapa kwetu lkn wameuchuna tu!
Hivi ukiondoa ushoga na usagaji haya mengine kwa nini yasiwezekane ?! Na hata huo ushoga na usagaji sheria zipo. Lisiletewe tu kick kama Makonda alivyofanya na kuzua taharuki .
 
Huru huku ukikusanya 40% ya budget yako 60% ukiomba serikali zinazoongozwa na mashoga zikuchangie?
Zinakuchangia kwa kuwa zinajuwa zitakapokupiga kupitia kule kule UN ambapo hauruhusiwi kuamua wala kuchangia chochote zaidi ya kuwa msikioizaji tu lakini chochote wakitakacho wao Western Countries ni lazima ukikubali "VETO POWER"
 
Ila ukiangalia kwa jicho la mbali hawa eu watakua na sbb zao zingine,maana rwanda tu hapo kuna mabaya yanayofanyika kupitiliza haya ya hapa kwetu lkn wameuchuna tu!
Hivi huwa vichwa vya habari unasomaga kabla ya kuja hapa? Rwanda na mambo ya EU na US kwa tanzania inahusianaje?
 
Lazima mjue kuna international sovereignty, huwezi kuburuza binadamu kama kuku halafu watu wakuchekee tu. Wanachofanya EU ni ku-emancipate humanity
Humanity ya kukutawala zaidi ya miaka 50 na bila ya kukuwezesha vizuri kiuchumi zaidi ya kukukomba tu kupitia madini, mafuta na rasilimali zako kiujumla?

Mbona hawaangaiki na Somalia zaidi ya kuitolea TZ pekee jicho?

Unadhani Wazungu hawana akili hadi kuiangalia TZ pekee nakati ziko nchi kibao ambazo hazitendi hizi haki za kibinadamu lakini kwakuwa hapa kuna rasilimali ni lazima wajifanye wanawapenda.

Ndugu yangu USA siyo kichaa kama unavyomfikiria na mara nyingi huwa analumbana na nchi zilizo na aseti za mali kama vile ulivyoona Kweiti, Iran, Libya ili mnapogombana ninyi kwa ninyi anawauzia silaha na kunyonya mafuta kwa kupachika bomba la chini kwa chini hadi USA.
 
Back
Top Bottom